GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,546
- 108,875
Baada ya kwa muda mrefu Clouds FM na Kipindi chao pendwa cha Sports Extra kutamba kwa muda mrefu kila Siku za Usiku wa Saa 3 hadi Saa 5 sasa wamempata Mpinzani wao mpya wa Kipindi cha Michezo cha Usiku.
Taarifa ikufikie kuwa kuanzia Wiki ijayo kile Kipindi pendwa cha E-Sports cha EFM kilichokuwa Kikiruka hewani kila Siku Saa 1 Usiku hadi Saa 2 Usiku na ambacho kilipotea hapa katikati sasa Kitarudi rasmi Hewani kila Siku kuanzia Saa 3 Usiku hadi Saa 5 Usiku.
Sasa ni mwendo wa Kununua Headsets / Headphones mbili mbili na zote unaziweka katika Masikio yako tofauti huku Unasikiliza Sports Extra ya Clouds FM na Kwingineko ( Sikio lingine ) unasikiliza E-Sports ya EFM.
Kazi ipo......!!!!!!