usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SSH2025_2030

    ATC ya saa 5 usiku JRO-DAR tunaondoka saa 9 alfajiri?

    1. Tumelala KIA(JRO) baada ya ndege yetu ya saa 5 usiku kucheleweshwa mpaka saa 9 na nusu alfajiri. 2. Domestic flights mtu unalala airport Karne hii? Mwezi uliopita Mwanza-Dar delay masaa 12 no apology na hakuna anayejali. 3. ATC ina CEO/MD? NB: European Union wana kila sababu kuipiga pini...
  2. T

    Hotel zinazohudumia abiria haswa usiku zingatieni usafi

    Hivi karibuni nilisafiri kutoka Mkoa flani nikalala Singida, kesho yake nikasafiri usiku kwenda Dar. Tulipofika Dodoma majira ya saa 5 usiku tukashuka kwenye moja ya hotel kwa ajili ya huduma za kijamii. Aisee mazingira ya maliwato ni mabovu. Kuchafu na maji hakuna kabisa. Nikajiuliza ni day...
  3. Subira the princess

    Ndugu zangu watanganyika usiku wa deni haukawii kukucha.

    Wasalaam. Mababu zetu zamani zile walikua na misemo ya konakona na mingine imenyooka, hatimae ule usiku wa deni umefika kesho tarehe 21/12/2024 mh mbowe atatoa msimamo wake kuhusu uenyekiti ndani ya chadema. Familia na wazee wamemnasihi asigombee, lakini machawa na wachumia tumbo wanamlazimisha...
  4. Roving Journalist

    Waziri Ulega: TANROADS mnatakiwa kufanya kazi Usiku na Mchana ili kukamilisha miradi ya dharura iliyo chini yenu

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameagiza Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) kufanya kazi usiku na mchana ili kukamilisha miradi ya dharura iliyo chini yake. Waziri Ulega ametoa maagizo hayo kwenye mkutano wake na Menejimenti na Mameneja wa TANROADS wa mikoa yote nchini uliofanyika mjini...
  5. No Escape

    JamiiForums Usiku wa manane

    Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi. Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua...
  6. A

    KERO TANESCO - Chanika, mtaa Wa Mazinda, mjitafakari mnakata umeme kila siku saa 1 usiku mnarudisha saa 5 usiku

    Yaani huwezi kuamini Wananchi baadhi huku wamekuwa wanateseka saaana na kero ya umeme! Umeme unakata saa moja usiku na kurudi saa 5 usiku! Mchana unakatika na kurudi.. "This is too much" Hii ni kwa zaidi ya miezi kibao huku nyuma yaani Chanika kwa MAZINDA nikama bado wapo miaka ya zamani sana...
  7. Meja Jenerali Isamuhyo

    Hafla ya Ugawaji wa Tuzo za CAF kwa mwaka 2024 ni Usiku huu jijini Marakech, Morocco

    Kutoka Morocco, Usiku huu ni ugawaji wa tuzo za Shirikisho la Soka barani Afrika ( CAF ) Tuzo mbalimbali katika vipengele mbalimbali zinatarajiwa kutolewa usiku huu. Baadhi ya vipengele hivyo ni; Mwanasoka bora wa mwaka ( kwa wanawake & wanaume ) Golikipa bora wa mwaka Timu bora ya mwaka...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    Nimekutana na skin walker usiku wa kuamkia leo. Alikuwa binadamu, akageuka kuwa mbwa

    Usiku wa kuamkia Leo, muda ya saa Saba usiku, nikiwa na mwanangu wa chuo kikuu cha UDSM, mke wangu, Binti wangu wa sekondari na mtoto wa kaka yangu tulikiwa tunatoka hotelini, tunalisogelea gari letu lililokuwepo maeneo ya maegesho ya Golden Tulip, Oyster Bay. Mwanga wa eneo la maegesho...
  9. Samia atosha tukutane2030

    Kilichotokea jana usiku kwa watumishi wa TRA ni matokeo ya serikali kushindwa kudhibiti rushwa na ufisadi kwenye utumishi wa umma

    Watumishi wa TRA wengi (sio wote) kila mmoja kwa kitengo chake hutumia nafasi hiyo kujipatia pesa kinyume na taratibu. Serikali inakosa mapato kwasababu watumishi wa TRA na taasisi zingine wako busy kutafuta pesa. Mmoja wa watumishi wa TRA ambaye kafariki ninafahamiana naye kiasi cha kuweza...
  10. BigTall

    KERO Tumekwama ndani ya Treni ya SGR hapa Ngerengere kwa saa tatu sasa, tunaambiwa kuna suala la kiufundi

    Baada ya Treni ya SGR kukwama awali asubuhi ya leo, Desemba 4, 2024, mimi ni mmoja kati ya abiria ambao walikuwemo kwenye treni hiyo, nikaona JamiiForums imeripoti kuhusu tukio hilo. Mpaka muda huu naandika hapa saa Tatu usiku huu ni kwamba tumekwama kwenye kituo cha Ngerengere tukiwa tunatokea...
  11. B

    Bao la usiku kwa ajili ya afya ya akili na mwili

    Hakuna mechi kali Kama Ile inayoanza saa tano na kuendelea watoto wameshalala, Aidha kama hamna watoto, basi mshamaliza task zote 👉Missionary style ndo iwe style ya mwisho, kutoa wazungu wenye asili ya wayahudi🤣 Kuna ile mechi fulani huwa inaanza Satisa usiku umeshtuka tu usingizini unavuta...
  12. JanguKamaJangu

    Raha ya ushindi wa Simba dhidi ya Bravos, mashabiki waingia mtaani usiku Pemba kusherekea

    Ushindi wa soka raha, hawa ni mashabiki wa Timu ya Simba, wakisheherekea ushindi wa timu yao dhidi ya Bravos do Maquis ya Angola, jana jioni (Novemba 27, 2024). Sherehe hizo zimefanyika katika Mitaa ya Machomanne, Wilaya ya Chake Chake, Pemba. Katika mchezo huo, goli pekee la Jean Charles...
  13. OMOYOGWANE

    Kuna uwezekano Prince Dube aliingia uwanjani akiwa na wenge la pombe ya usiku (hanging over) Yanga kuna tatizo kubwa.

    Mpaka sasanikitizama video za marudio ya mechi ya Yanga vs Al hilal nikiangalia jinsi ambavyo prince Dube alikuwa anaanguka peke yake bila kuguswa 😆 tena yupo kwenye position ya kufunga anaanguka kama walevi wa ambiance au K vant Mpaka wqchezaji wa Al hilal wakawa wanaonyesha ishara ya...
  14. Magical power

    Baada ya kusex usiku kucha alinipa tsh 2000 tu😭💔

    Habari Yako kaka magical power Naomba ushauri kidogo kama unaweza kunishauri naitwa lea nina miaka 44 nimtu mzima😭💔, nilikutana na mkaka mtandaoni ambaye yy ana miaka 49. Tukawasiliana hatimae tukaonana ijumaa iliyopita kweli akanieleza mahusiano yake yaliopita na jinsi alivyomsaidia yule dada...
  15. Magical power

    Maombi ya usiku

    Eee Bwana ni usiku tena asante kwa neema hii. Tuliikabili siku kwa juhudi zetu huku tukiwa na tumaini ndani mwetu. Yawezekana haikuwa vile tulivyotarajia yawezekana haikuwa fungu letu kesho inaweza kuwa vile tulivyotami leo Bwana wakati mwingine hili nililopitia leo ni kwasababu ya...
  16. Magical power

    Maombi ya siku

    Mungu wangu naomba usiku huu ukawe usiku uliobeba jawabu hitaji langu na ukawe mwanzo wa maisha ya furaha na tabasamu kwangu Bwana njia zako hazichunguziki za kuwajibu waja wako, wakati mwingine huwajia katika ndoto na kuwapa taswira za kesho zao njema kwa kuwapa taswira ulimwengu wa ndoto...
  17. S

    TANESCO Arumeru manyunyu kidogo tu ya usiku umeme umezimika mpaka sahizi?

    Hapa wilayani Arumeru usiku wa kuamkia leo yalipita manyunyu kidogo sana ya mvua, ajabu umeme umekatika kuanzia usiku mpaka sahizi hautarudi. Huu mfumo wa umeme una nini. Je ingetokea dhoruba kubwa tungejificha wapi, tunaishi maisha ya kubahatisha sana, mfumo wa umeme wa TANESCO umeoza, na...
  18. Magical power

    Kama ndoa ndio hii basi imenishinda

    Kaka Magical power habari ya usiku huu kaka Kaka angu ndoa imenishinda kama ndoa ndio hii basi imenishinda, nipo kwenye ndoa mimi ni Bi. Mkubwa mwanaume wangu kaoa wawili mwaka huu kwangu anakuja hata mara mbili kwa mwezi na akija anakuja nikiwa kwenye siku za kike kwasababu anajua mzunguko...
  19. Magical power

    Maombi ya usiku

    Tunasema, asante tena kwa majira haya ya usiku. Bwana uliyagawa majira na nyakati kwa ilivyokupendeza nasi tuyafurahia majira haya katika utukufu usioringanishwa na chochote. Asante kwa wakati wa kutwa zima ya leo. Bwana tunaomba ulinzi utokao kwako katika majira haya ya usiku tena. Tulale...
  20. Magical power

    Maombi ya asubuhi ya Baraka Njema

    Tunakushukru Eee Mungu Baba kwa pendo lako kuu umetulinda na hatari zote za mwili na roho tumeamka salama tunazo changamoto ndani mwetu kwasababu sisi ni wahitaji Bwana Tunaomba ututendee wema wako sisi wahitaji katika maeneo yetu ya uhitaji wetu Eee Bwana Tutakapoyakabili majukumu basi...
Back
Top Bottom