Uvumi wa kifo cha Netanyahu ulipoanza, Israel waliona taarifa hizo zinaweza kutumika kwenye vita. hawakupoteza muda, waligeuza uvumi huo kuwa silaha, kama msemo wa Wazungu unavyosema “ukipewa malimao, tengeneza juice ya lemonade.” Kwa ustadi wa hali ya juu, walitumia taarifa hizo kama chambo na...
Ni kama hawa malaika hukaa mkao wa kusubiri kutazama show, ila sasa mke akigoma kumfuata mume kitandani, wanamlaani huyo mwanamke usiku kucha....
Sio maneno yangu ila andiko hili hapa....
sahih al-bukhari 3237
Allah's Messenger (ﷺ) said, "If a husband calls his wife to his bed (i.e. to have...
Ni kipaji cha hali ya juu kama sio upendo wa agape. Niwapongeze mnaoenda uwanjani kuangalia mechi za usiku
Mbarikiwe sana sana
Mnaofunga mpoo uwanjan nanyi Comgola yenuuuu
Aisee waja tumlejelee Mungu radi iliopiga leo saa nane usiku asee ilikuwa na nguvu sana hadi nikahisi labda siku ya kiama 😂
Wewe mdau hii radi ulikukuta unafanya nini??
Swali limenyooka hio wakuu, yaan halijapinda kabisa. Sasa nakuuliza wewe hapo ni kitu gani unaweza kufanya hata ukiwa usingizini yaan umelala ila ukaambiwa ufanye na ukafanya saa 7 usiku bila shida na ukakifanya kwa kukinyoosha kabisa.
Mimi nina vitu km vitatu ila kwa leo nitataja vitu viwili...
Katika mitaa ya Dar es Salaam kulikuwa na jina lililotajwa sana na kusikika masikioni mwa watu, sana sana ukanda wa Tabata — Black Cobra.
Jambazi aliyekuwa anaogopwa. Aliingia kimya, akatoweka kama kivuli. Watu wengi waliwahi kuibiwa, wengine kujeruhiwa. Hakuwahi kuacha ushahidi.
Lakini usiku...
Nimefuatilia mechi kadhaa hasa msimu huu2025/26 na msimu uliopita wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara, kumekuwa na ongezeko la mechi zinazochezwa usiku ili kuruhusu urushaji wa moja kwa moja kupitia Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kushirikiana na wadhamini na watangazaji.
Lengo...
Jana niliona kuna member amejadili kuhusu taa hizo, nikapita usiku na kubaini kuwa alichozungumza ni kweli, taa hizo kwenye Jiji la Chalamila zinazingua na ni hatari kwa kuwa zinaweza kusababisha ajali, kwani kila upande unaweza kuhisi upo sahihi.
Mjadala huo wa Clouds FM nimeusikia asubuhi hii...
cc
D2
C2
B2
A2
🔥 POWERFUL MESSAGE: WHAT HAPPENS WHEN YOU PRAY CONSISTENTLY AT MIDNIGHT 🔥
Beloved,
There is something about midnight.
It is not just a time on the clock — it is a spiritual gateway.
It is the crossing between yesterday and tomorrow.
It is the hour when destinies shift quietly...
Wakati kabla ya mambo ya kushinda na njaa hayajaanza ilikua ukienda hata sa12 tuu huikuti.
Je, wakina nani hua wanakula sana Nguruwe hadi kwasasa iwe inabaki nyingi? Nini kimetokea?
Karibu katika mjadala.
Mapovu pia napokea nitafulia kanzu yangu.
BABA MTUMISHI ZA ASBH KWANZA NAJUA HAIJAFIKA INAKARIBIA
NIMEONA SEHEMU VIJANA MUAMKE.MAOMBI YA USIKU MAISHA YAMEKUWA MAFUPI SANA TUMJUE MUNGU
AMEN
KUONGEZEA USIKU WA LEO KAMA UJALA MASHABIKI WA BARCELONA NA ARSENAL WANAOMBA MAOMBI YAKO WAPATE AMANI NA FURAHA MAISHAN MWAOO
AMEN
Nikiwa natoka Kimara usiku huu kwenye bus
Kaka mmoja kapendeza mtanashati kansalimia nkamjibu
akaeema naona unarejea nkamjibu ndio
He naomba sh 5000. Nkamwambia na 2000 nikupe hapana naomba alf 5..nkajibu sina
Muda si mrefu akaja konda akaulizia naulii
Nikaona mwamba anatoa 10000 kumpa konda...
Mimi ni mzaliwa wa Kilimanjaro ila mkazi wa Tabata – Kimanga, Dar es Salaa. Kwanza ya yote nawashukuruni sana sana JamiiForums kwa kazi nzuri mnayoifanya kwa kutusaidia kutatua kero mbalimbali zilizopo hapa nchini kwetu Tanzania.
Mimi kero yangu ni Sungusungu / Police jamii wanaolinda usiku...
Nauli za Bajaj jijini Mwanza imekuwa tatizo hususani majira ya usiku, kutoka Mjini hadi Nyegezi Stand kwa Bajaji zenye route ya Buhongwa to Mwanza Mjini, madereva wanajipangia nauli kiholela kutoka shilingi 1,000/= hadi 2,000/=.
Sina cha kufaidika kuwadanganya katika hili ila ndio hali ilionipata usiku huo. Wala sikulala na taharuki na wlaa sikulala katika mawazo ya kitanda changu kuwa chumvi ila nilipitia hali ngumu aisee
Ningependa kupata elimu nzuri kuhusu chumvi hii ya mawe, ili tusaidiane namna nzuri ya kuitumia
Wakuu wa Jukwaa, leo na mimi nina swali ambalo linakua linanitatiza sana kichwani kwangu kwa muda kidogo sasa.
Nimekua napitia hali ya kujiuliza maswali mengi sana juu ya kiumbe hiki kinachoitwa BUNDI. Bundi ni ndege mwenye sifa kede wa kede. Sitaki kuzungumzia sifa za ndege huyu, leo nimeona...
Ruvuma–Songea–Mkuzo kumekuwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji hapa Songea.
Mamlaka ya maji (SOUWASA) wamekuwa wakifungua maji usiku kuanzia saa 9 na kuyakata tena saa 11 usiku, hali inayowaathiri wananchi wengi kushindwa kupata huduma kwa wakati unaofaa.
Ni vyema wakajirekebisha na...
Anonymous
Thread
changamoto
changamoto ya maji
kukata
maji
saa
songea
usiku
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.