ushuru

  1. JamiiForums Tanzania DED Mtwara Mikindani: Muuza Samaki anayetozwa ushuru kisha akiomba risiti anatishiwa, aje aripoti tuwabaini wanaofanya hivyo

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani, Hassan Nyange ametoa ufafanuzi kuhusu malalamiko ya wafanyabiashara wa Soko la Samaki Feri, kuhusu madai ya ukiukwaji wa taratibu katika ukusanyaji wa ushuru. Hoja ya awali ya Mdau hii hapa ~ Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Feli, Manispaa ya Mtwara...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Trump apandisha ushuru wa drones kutoka nje ya Marekani hadi 100%

    Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza ushuru wa hadi asilimia 100 kwa ndege zisizo na rubani (drones) zinazoagizwa kutoka nje ya nchi pamoja na baadhi ya vipuri vyake, hatua inayolenga kuongeza uzalishaji wa teknolojia hiyo ndani ya Marekani. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Agosti 13...
  3. JamiiForums Tanzania Sealing la ufahamu: unaweza kuongeza siti/viti kwenye van bila kuongezewa gharama za ushuru?

    Kama mjuavyo magari Kama Nissan Caravan van au Hiace super GL hayawi na siti na ushuru wake uko chini ukilinganisha na magari Kama hayo hayo lakini ni Wagon. Swali langu ni je inawezekana kuongeza siti kwenye van bila kuongezewa ushuru wakati wa kubadilisha kadi ya gari? Nb. Title isomeke swali...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Feli, Manispaa ya Mtwara Mikindani tunakatwa ushuru, tukiomba risiti wanatutishia

    Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Feli, lililopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani, tunaomba msaada wa Mkuu wa Mkoa kufuatia ukiukwaji wa taratibu katika ukusanyaji wa ushuru. Tunakatwa ushuru wa kila siku bila kupewa risiti za malipo kama inavyotakiwa. Tunapodai kupewa risiti...
  5. JamiiForums Tanzania “Haki za binadamu”, ushuru wa Marekani umepata kisingizio kipya

    Serikali ya Marekani hivi karibuni imetangaza mpango mpya wa ushuru dhidi ya bidhaa zinazoagizwa kutoka nchi za nje. Kulingana na mpango huo, viwango vya ushuru vinaanzia asilimia 10 hadi 12.5, na kuhusisha karibu washirika wakuu wake wote wa kibiashara, ikiwa ni pamoja na China, Umoja wa Ulaya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Wafanyabiashara soko la Mawenzi wagoma kisa kodi kuongezwa hadi 20,000

    Wafanyabiashara Soko la Mawenzi Morogoro wamegoma kufungua biashara wakishinikiza Serikali ipunguze Kodi ya pango la Vizimba.Wafanyabishara hao wamesema licha ya kutozwa Kodi kubwa lakini bado Soko hilo lina Miundombinu mibaya jambo ambalo Wateja wanakimbia kufika hapo.Mkuu wa Wilaya ya...
  7. I

    JamiiForums Tanzania KERO Wajasiriamali wadogo wa manispaa ya Musoma tunatoa wito serikali kuingilia kati suala la ongezeko la ushuru wa siku

    Sisi wafanyabiashara wadogo wadogo wa Manispaa ya Musoma tunatoa wito kwa Serikali, TAMISEMI na viongozi wa Manispaa kuingilia kati suala la ongezeko la ushuru wa kila siku kutoka Shilingi 200 hadi Shilingi 500 kwa wafanyabiashara wadogo kama wauza mboga za majani, karanga, mandazi na biashara...
  8. JamiiForums Tanzania Wanaotembeza vitumbua, karanga, kahawa maji ya kandoro na mifuko watakiwa kuanza kulipa ushuru

    Mtu aliyejitambulisha kuwa Afisa wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam amesikika akitoa tangazo kwa kutumia kipaza sauti katika Soko la Ilala Boma na Karume akiwataka wauzaji wanaotembeza vitumbua, karanga, kahawa na mifuko kuanza rasmi kulipa ushuru kila siku. Kwa mujibu wa tangazo hilo...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ongezeko kubwa la ushuru wa kibali cha kusafisha mazao ya uvuvi, linatuumiza wafanyabiashara

    Tunapaza sauti yetu kwa heshima kuhusu ongezeko kubwa la ushuru wa kibali cha kusafisha mazao ya uvuvi kutoka kilo 50 hadi kilo 75. Uamuzi huu umetuletea changamoto kubwa sana sisi wafanyabiashara wa mazao ya uvuvi, hasa wafanyabiashara wadogo ambao tunahangaika kutafuta riziki. Ongezeko hili...
  10. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini ushuru wa kusafirisha mazao unatofautiana katika ya Halmashauri kati zao moja?

    Habari, Naomba kufahamu ni kwa nini ushuru wa kusafirisha mazao unatofautiana kati ya halmashauri, huku tofauti hiyo ikiwa kubwa licha ya kuwa ni zao la aina moja. Kwa mfano, kusafirisha mchele kutoka Mbeya au Iringa kwenda Dar es Salaam hutozwa kati ya Sh1,000 na Sh2,000 kwa kila kilo 100...
  11. JamiiForums Tanzania Ushuru wa Tesla Model 3 ya 2019 ni karibia theruthi ya Ushuru wa Toyota Crown ya mwaka huo huo. #EV4Everybody!

    Hapa namaanisha Tesla kutoka USA na Crown kutoka Japan. Walivyosema wanashusha kodi za EV walimaanisha aisee. Juzi juzi Model 3 bila Mil 20+ ya ushuru usiangaike kuitafuta leo unaipata kwa Mil 14. Muda huo huo Ushuru wa Crown generation ya 15 wamoto hatari. Unazidi Mil 38. Hybrids...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa Magari ya Umeme Mbona Bado Haujashuka?

    Serikali ya Tanzania ilitangaza katika hotuba ya Bajeti ya mwaka 2026/2027 kuwa imependekeza kupunguza ushuru wa forodha kwa baadhi ya magari ya umeme kutoka asilimia 25 hadi asilimia 10. Aidha, ilitangaza pendekezo la kusamehe VAT kwa baadhi ya vifaa vya kuchajia magari ya umeme ili kuhamasisha...
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Halmashauri ya Mkuranga watendaji wa vijiji wanatoza ushuru wa 10% ya mauzo kwa wanunuzi wa viwanja

    Watendaji wa halmashauri ya wilaya ya mkuranga wanatoza ushuru wa manunuzi ya viwanja vya futi 50/40 kwa wananchii wanayonunua viwanja hiyo. Huku wakitambua kuwa ni kosa kisheria kuuza viwanja hivyo na kutoza tozo hizo ambazo ni kinyume na taratibu za mipango miji. Kwa mfano mwananchi...
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mpimbwe, Katavi kijiji cha Mwamapuli kuna geti linalokusanya ushuru wa mazao bila utatatibu

    Kuna malalamiko kutoka Kijiji cha Mwamapuli, Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe mkoani Katavi, kuhusu geti linalodaiwa kukusanya ushuru wa mazao kinyume na taratibu. Kwa mujibu wa wanaotoa taarifa hizi, geti hilo halifanyi kazi mchana, bali huanza shughuli zake kuanzia jioni hadi usiku. Inadaiwa...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha: Magari yaliyotumika yanayoingizwa Nchini kutozwa Ushuru wa 50%

    Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, akiwasilisha Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27 bungeni Juni 11, 2026, ametangaza kupandishwa kwa viwango vya ushuru wa bidhaa kwenye magari yaliyotumika yanayoingizwa nchini, huku kigezo cha umri wa gari kikichukua nafasi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yaongeza ushuru kwenye magari ili kuongeza mapato na kupunguza uchafuzi wa mazingira

    Waziri wa fedha, Balozi Khamis Mussa Omar akiwasilisha hotuba ya bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027 amesema ..... Kuongeza kiwango cha ushuru wa bidhaa kwenye magari yaliyotumika yanayoingizwa nchini kutoka asilimia 15 hadi asilimia 20 kwa magari yenye umri wa miaka nane...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Sera ya ushuru sifuri ya China yapiga jeki mnyororo wa thamani wa maparachichi nchini Kenya

    Katika eneo la mashambani lililotanda rangi ya kijani katika Kaunti ya Murang'a katikati mwa Kenya, Jeff Ngigi Mburu alifurahia sana miparachichi yake aina ya Hass, huku akistarehe kwa upepo mwanana wa alasiri. Mkulima huyo kijana alifurahia kuzungumza na wafanyakazi kadhaa kutoka vijiji jirani...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania na Zambia Wakutana Kuboresha Mazingira ya Biashara, kujadili uondoshwaji wa vikwazo vya ushuru

    Mkutano wa Kamati ya Pamoja ya Biashara (Joint Trade Committee – JTC) kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Zambia umeanza tarehe 4 Mei 2026 mjini Tunduma mkoani Songwe, kujadili masuala ya kibiashara kati ya nchi hizo mbili ikiwemo uondoshwaji wa vikwazo vya ushuru na visivyo...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Sera ya China ya Ushuru Sifuri ni fursa kubwa kwa nchi za Afrika

    Kuanzia Mei 1, sera ya China ya ushuru sifuri kwa nchi za Afrika itajumuisha bidhaa nyingi kutoka nchi za Afrika, ikionyesha mabadiliko makubwa katika mienendo ya biashara ya kimataifa. Sera hii inakuja katika wakati muhimu kwa uchumi wa Afrika, ambao unakabiliana na mashinikizo ya nje...
  20. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sera ya ushuru sifuri ya China yafungua fursa kwa sekta ya kahawa ya nchini Kenya

    Kuanzia Mei Mosi, 2026, China itaanza kutekeleza sera ya ushuru sifuri kwa bidhaa zinazotoka nchi 53 za Afrika zenye uhusiano wa kidiplomasia na China. Sera hii inachukuliwa kama fursa muhimu kwa nchi za Afrika kuingia katika soko kubwa la China kwa kuleta bidhaa zao za kipekee na za ubora wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…