Najua pengine naweza jisababishia maneno ya kebehi na dhihaka lakini sitoacha kusema kile nikifikiriacho kwenu ninyi ndugu zangu.
Waafrika tumekuwa tukifaulu katika kushindwa toka karne na karne.nguvu zetu zimekuwa ni udhaifu wetu. Na kwa kuwa tumeshindwa kujitathmini na kumtafuta wa kumsukumia...
Maisha ya mwanadamu ni mafupi hivyo tusimbeze yoyote anayeamua kuyalinda maisha yake na familia yake bila kuvunja sheria.
Hakuna ujasiri wowote wa mtu kufia bungeni eti anawakilisha wananchi waliomchagua, hiyo Johnthebaptist nakataa kabisa.
Kwa hili la Corona mashujaa ni wahudumu wa afya walio...
Habari za jioni wana JF,
Natumaini wote wazima humu, na moja kwa moja niende kwenye mada.
UTANGULIZI
Leo major alikuwa mwanajeshi wa Canada ambaye aliyepigana vita mbili kubwa na kuibuka shujaa wa aina yake yaani Vita Kuu ya Pili ya Dunia (1940s) na Vita vya Korea (1950s). Leo alizaliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.