Ushauri kuhusu nini cha kusoma ngazi ya Shahada

Official Ric

Member
Joined
Jun 20, 2024
Posts
56
Reaction score
96
Habari wanajukwaa

Naomba ushauri wenu hapa

Kuna mdogo wangu ananiomba ushairi kati ya Architecture technology au ualimu wa mathematics na economics unaweza mshauri huyu dogo asome coz gani kati ya hizi
 
Akasome kile moyo wake unapenda.

Yeye ndoto yake ni kuwa nani?

Je anapenda kujua nini kuhusu hizo kozi ulizozitaja?

Ni vigumu kumshauri moja kwa moja asome kozi mojawapo kwa sababu hatujui yeye binafsi ana ndoto za kuwa nani, anapenda nini na kwenye hizo kozi anataka ushauri kuhusu nini hasa kuchagua tu au?

Ni muhimu akasome kile moyo wake unapenda.

Kila la kheri.
 
Yeye alisema anapenda Architecture ila ss wazazi wake wanampinga wanatak akasome ualimu n mm nachoon syo sawq je vp kuhusu hilo soko la Architecture lipoje .......??
Ila kwangu mm naon ni Architecture ni Bora coz itampa wigo mpana wa kujiajiri na kuushughulisha ubongo wake kutafuta channel nyingi ili apate kazi nyingi ila nilikuwa naomb wajuz wa mambo wanijuze ili nitakapopata nafas ya kuongea naye nimshauri vizuri
 
Kama hajui anataka nini, basi ngoja nishauri namna hii.....
Bora akachukue Architecture technology walau anaweza akawa na uwanja mpana wa kuajiriwa ama kujiajiri na pia ataheshimika, kuliko hiyo nyingine ambayo ataishia kupiga pindi na tuitions na heshma hato ipata and he or she will never grow up
 
Shukrani sana
 
Yeye alisema anapenda Architecture ila ss wazazi wake wanampinga wanatak akasome ualimu n mm nachoon syo sawq je vp kuhusu hilo soko la Architecture lipoje .......??
Ila kwangu mm naon ni Architecture ni Bora coz itampa wigo mpana wa kujiajiri na kuushughulisha ubongo wake kutafuta channel nyingi ili apate kazi nyingi ila nilikuwa naomb wajuz wa mambo wanijuze ili nitakapopata nafas ya kuongea naye nimshauri vizuri

Sawa, kama anapenda hiyo architecture basi akaisome.

Kama lengo ni kupata ajira au kuajiri architecture ni bora kuliko ualimu.

Kila la kheri.
 
Asome hiyo architecture tech...

Kwa sasa ualimu wanafunzi na wahitimu ni wengi sana. Itachukua muda ajira kubalance....
 
Walimu wa Mathematics hapo wengi sana .Na siku hizi hakuna Tuition tena .

Kwa hiyo asisome ualimu akijua eti Kuna ajira kama zamani .
 
Hilo unalosema ni kweli hata mm najaribu kumwambia atafute coz ambayo itamfanya aweze angalau kujiajiri
 
Back
Top Bottom