Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 6,220
- 10,730
Mtangazaji: Kwako ni ushauri gani ukipewa unaona ushauri wa kifala?
Hanscana: Kuoa!
Mtangazaji: Kwa nini?
Hanscana: Mtu anakushauri uoe utafikiri ni lazima. Ukiuliza kwa nini nioe? Unaambiwa eti ni utamaduni toka enzi za mababu! Sasa kwani mimi ni babu?
Kama ni utamaduni maana yake ulianzishwa na watu, so tunaweza kuanzisha utamaduni mwingine wa kutokuoa. Mi' naona wanaooa waoe na tusiooa tusioe badala ya kushauriana sana.
Mimi: (Natikisa kichwa, kama naelewa hivi)
Mtangazaji: (Kicheko) Kwa hiyo kwako huo ni ushauri wa kifala?
Hanscana: Sana, kuoa kuna ulazima gani? Baba yangu alimpa mama mimba bila kumuoa na hakuna kilichoharibika.
Mimi: 🤔🤔
Wewe umeelewaje?