ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Thread Maalum ya kutiana moyo na ushauri wa Kisaikolojia

    Hii thread ni maalumu kwa ajili ya kutiana moyo kupeana ushauri mbalimbali wa kisaikolojia, sosholojia, falsafa nk. Una jambo lolote kutoka chanzo chochote la kutusaidia wana JF unakaribishwa.
  2. M

    Ushauri wa Tiles Nzuri za Tanzania/China/India

    Wakuu naomba msaada kwa wajuzi na watalaam wa tiles.. Ni tiles gani nzuri sana (imara na durable) zinatengenezwa Tanzania? Nahitaji zile bora hata za China na India. Kibanda changu kimefikia hatua ya kuweka tiles; nimepambana kwa 5yrs na imefikia hapa. Sijaingia bado ila umeme nishaweka, bado...
  3. S

    Ushauri; Tujipange kubadilika; Huenda miaka ijayo binadamu mzee zaidi ataishi mwaka mmoja tu na kuzeeka

    Ulishawahi kuwaza zamani watu waliishije zama wayahudi? Walikuwa na maumbo gani? Mfano ukiangalia umri wa maisha ya mfalme Suleimani alivyoishi miaka ile na wake zake?,vipi kuhusu kina yakoub, Daudi, ibrahim na wengine? Naomba hili niliweke kimahesabu ili tuone mantiki! Sitaki kujiuliza sana...
  4. Kwa waliowahi kupatwa na bomoa bomoa ya makazi tupeni uzoefu

    Habari wa na JF, Swala la bomoabomoa ni moja ya jambo linaloweza kuathiri kwa kiasi kikubwa mfumo wa maisha ya mtu...Hizi bomoa bomoa zinaweza kuwa kwa makosa ya mtu binafsi labda kujenga ndani ya eneo lisilo sahihi au upanuzi wa project mbalimbali za serikali. Katika changamoto hii tupeane...
  5. M

    Ushauri Kwa Vijana kuhusu ujenzi

    Ujenzi ni mgumu sana na unahitaji kujitoa sana na uvumilivu mkubwa . Jenga nyumba ambayo unaweza Kwa kipato chako. Narudia kipato chako sio kiwango cha pesa ulizokopa au ulizosave kwenye bank account yako maana kwenye ujenzi sio kitu cha ajabu Kwa bajeti kuisha huku kazi bado sana sasa...
  6. Ushauri wangu jinsi ya kuishi kwa Tahadhali mwezi huu. Usije ukafa

    Ukiona imeingia msg mojawapo katika hizi kipindi hiki. " Mambo my ! Nimekumiss sana" " Babe umenisusa upo kweli" " Mambo vipi? Unaendeleaje?" " Nina hamu na wewe babe?" " Siku hizi umenitenga sana" " Upo handsome?" " Hey love" " Hujambo?" Akikutumia msichana ambaye week mbi au zaidi...
  7. Ushauri wa lishe kwa wazee

    Wazee hukabiliwa na tatizo la kupungua kwa kinga ya mwili, hali inayowafanywa wawe kwenye hatari kubwa ya kupatwa na magonjwa sugu hasa kisukari, shinikizo kubwa la damu pamoja na magonjwa mengine yanayohusisha maungio ya mwili na mifupa. Hivyo, mlo sahihi unaoweza kukidhi haya ya uhitaji huu...
  8. Ushauri wa lishe kwa watu wenye Shinikizo kubwa la damu (Hypertension)

    Watu wenye changamoto ya shinikizo kubwa la damu hupaswa kufuata masharti sahihi ya mlo ili kupunguza athari za ugonjwa huu, pamoja na kusaidia katika udhibiti wake. Kwa kuzingatia umuhimu wa lishe kama sehemu ya mkakati muhimu wa kuboresha afya kwa watu wenye changamoto hii, Shirika la afya...
  9. Leo napenda nitoe Ushauri (unaweza kuuchukua au Kuucha) kuhusu watoto

    Habari za Mwaka Mpya. Vijana wengi wa mwaka (1990 to 1997 kwa wasichana) wana watoto, hakuna mzazi anaependa mtoto wake awe wa mwisho darasani, kila mzazi anapenda mtoto wake amletee "A" kwenye kila somo, tunaona wengine wanavyofurahia matokeo ya watoto wao kwenye mitandao. NAKUSHAURI; kabla...
  10. Dada kanifananisha au anataka nimtafune. Ushauri tafadhali

    Wakuu! Heri ya Mwaka 2023. Mwenzenu mwaka Jana umeisha Kwa kufananishwa na dada mmoja mrembo ambaye anauza duka la bidhaa za jumla na rejareja jirani na ninapokaa. Huyu dada siku nimekaa Kwa Hilo duka Kuna ka pub jirani take,na yeye ni mtu asiyetumia kilaji kabisa na amenyooka katika Imani...
  11. Utaratibu wa lishe wakati wa matibabu ya Saratani

    Wagonjwa wa saratani hupitia changamoto kubwa ya ulaji inayotokana na maudhi ya dawa wanazotumia au tiba wanayopatiwa. Matibabu yao huzongwa na vipindi virefu vya kubadilika kwa hamu ya kula na uzito wa mwili. Baadhi ya tiba huwafanya wapoteze hamu ya kula hivyo kusababisha kupungua kwa uzito...
  12. Ushauri kuhusu ukuaji wa kuku wa kienyeji ndani ya wiki 4 hadi 5

    Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana niliyeamua kujiajiri rasmi kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara kwa asilimia 100, nimeanza kwanza utafiti kwa kujarbu kusikiliza maoni ya watu ambao tayari weshawahi kufanya ufugaji na kujipatia uzoefu wa kutosha. Miongoni mwa maswali yangu ni je...
  13. Ushauri kuhusu ukuaji wa kuku wa kienyeji ndani ya wiki 4 hadi 5

    Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana niliyeamua kujiajiri rasmi kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara kwa asilimia 100, nimeanza kwanza utafiti kwa kujaribu kusikiliza maoni ya watu ambao tayari weshawahi kufanya ufugaji na kujipatia uzoefu wa kutosha. Miongoni mwa maswali yangu ni je...
  14. Nina umri wa miaka 30, naishi kwa kaka yangu, watu wananidharau naombeni ushauri

    Habarini za weekend ndugu zangu natumai mmeamka vema sana. Mimi kuna jambo kidogo linanitatiza nahitaji ushauri wenu. Ni hivi january ya mwaka 2020 kaka yangu alikuja mkoani basi baada ya kutusalimia aliamua kunichukua na kuja nae hapa dar es Salaam. Basi baada ya kuja huku alinipeleka kwa...
  15. USHAURI: Jiajiri kutokana na taaluma yako badala ya kulalamika ajira hamna

    Tutafute pesa Kwa maarifa yetu. 👇👇👇 Badala ya kujificha na kulalamika kuhusu ajira fungueni centers/madarasa/ ofisi Mikoani, Wilayani na hasa mikoa yenye taasisi za elimu ya juu ama vyuo vikuu, kuna fursa kubwa sana sana. Tuokoe taifa. Ni hayo tu.
  16. Ushauri: Nataka nifanye biashara hii

    Heri ya mwaka mpya . Kuna kitu nimewaza kufanya lakini sijui kama nipo sawa kimahesabu kwa Sababu sio uzoefu nayo, iko hivi nimewaza nianzishe biashra ya chakula (wali) kwa kufanya partnership na mtu. Yaani namtafuta m-mama au mdada nampa mchele 90-100 kg auze. Then mimi Nitakuwa nachukua Kila...
  17. Q

    USHAURI: Je, ananipenda au ndiyo jinsi alivyo?

    Habari zenu wadau, kuna dada mmoja tunafanya nae kazi ofisi X. Huyu dada ni mshikaji wangu since day one maana tulianza kazi siku moja na siku ya interview tulikua wote sema tulikua hatujazingatiana sana. Sasa kipindi naanza kazi siku ya kwanza Paa hyu hapa tukatambulishwa pale maana ndo...
  18. Ushauri: Mbowe aanze kuwafukuza uanachama wanaopinga jitihada zake

    Kawaida, maamuzi ya chama lazima yaheshimiwe. Lakini Martin Maranja Masese ameunda kundi la kumpinga Mbowe. Nashauri Mbowe amuonyeshe Martin Maranja Masese kilichomtoa kanga manyoya. Baada ya hapo, amalize na Mdude
  19. Rais Samia awastukia Chawa, aanza kufuata ushauri wa Askofu Bagonza

    RAIS Samia Suluhu Hassan ametangaza rasmi kuruhusu kukosolewa baada ya kilio cha muda mrefu cha wananchi na viongozi wa dini kuwa amezungukwa na watu wanaomsifu kama njia ya kumdanganya asione changamoto za nchi. Hatimaye sasa Rais Samia amewastukia watu hao na kuruhusu rasmi kukosolewa kama...
  20. K

    Ushauri kwa wafanyabiashara kwenye kodi

    Naomba niwape ushauri wale wote wafanyabiashara hasa ambao wana biashara mpya kuhusu maswala ya kodi. Watu wengi wameshangaa kuona Diamond wa wasafi media ana lalamikia TRA hili ni swala la kawaidia kwa wale wasio na uzoefu wa kulipa kodi na kuendesha kampuni. Mawazo yangu ni marahisi sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…