Ushauri wangu kwa viongozi wa kitaifa

G'taxi

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
6,565
8,426
Sina muda mwingi kueleza mengi

Ili kukomesha suala la ushoga, usagaji na mambo machafu

1. Itungwe sheria ya dharula kupangua vipengele vya sheria katika sura ya haki za binadamu, watungiwe sheria Kali maana taswira ya haki za binadamu ililenga tamaduni za Magharibi zaidi pasi kuangalia nchi zingine zina tamaduni zake.

2. Kupitia vyombo vya ulinzi na usalama, kwa mpango mkakati naamini wanaweza kuwasaka hawa watu na kuhakikisha inawafikisha sehemu ya sheria na sheria isiangalie mambo chungu mzima na kufanya siku zisinge huku zikiwaacha mashoga na masagaji yakijipanga kumtetea shetani mwenzao, pakitolewa hukumu Kali dhidi yao wawili watatu, tutaona hali inabadilika.

3. Kupitia nguvu ya uongozi kuanzia kiongozi wa nyumba kumi mitaani nchi nzima, atambue watu wake kwa japo 90% ya maisha yao, lazima atabaini wapenzi washenzi wa jinsia moja.

4. Serikali Idara husika, ifunge kila habari yoyote inayozungumzia maswala ya LGBTQ isiweze kupita masikioni mwa wananchi hata siku moja, iwe ni TV, simu, JF hapa na popote pale

5. Uongozi ujipange kushikamana na wananchi wote wanaochukizwa na ushenzi huu kukabiliana kimazungumzo na watu wa Magharibi maana watakuja juu kana kwamba hii ni nchi yao, kuanzia ngazi ya Rais mpaka chini lazima ionyeshe kwao kwamba swala hili hapa Tanzania halikubaliki na hatulitaki, hivyo wasitulazimishe kwa sura za haki za binadamu kwa vitendo ambavyo sisi kama waTanzania na waAfrika kwa ujumla ya kwamba ni kosa kwetu

6. Mwisho Serikali isitishe baadhi ya matumizi na tujiwekee lengo la miaka kuanzia mitano mpaka kumi kuhakikisha inaweka pesa ya kuvuna maji ya mvua, na kuyahifadhi maeneo tofauti tofauti nchi nzima, ielekeze mifereji kuelekea mashambani Bure bila garama Kwa wakulima, na kutengeneza value chain itakayoweza kumtafutia mkulima masoko ndani na nje ya nchi kuhakikisha pesa zinaingia mifukoni mwa wananchi kwa jasho lao wenyewe lililo wezeshwa na Serikali, itaondoa watu wengi mijini na kuwarejesha vijijini kuliko na matunda na kupunguza watu wanaokaa mijini pasi kujua watafanya nini ilihali wameacha ardhi vijijini.

NB: Ni Jumatatu leo twendeni tukafanye kazi.

Binafsi nawasha Land Cruiser hapa niingie field katika kazi za kuhudumia jamii yenye uhitaji.

By Dereva mwaminifu.
 
Labda hio no 6 ndio ya muhimu zaidi japo najua kwa nchi zetu za waafrika weusi hasa bongo hio inaweza kuwa bado ni ndoto
 
Kwani Hilo swala msipoliandikia huwa mnapungukiwa nini?

Hujui kuwa kulisemea hata Kwa ubaya ni Moja ya promo?

Kuna mengi ya kuandika na sio Kila siku mnakomaa nalo tu
 
UMEWAZA KAMA MIMI, NATAMANI NINGEKUWA NA MBUNGE MWENYE AKILI JIMBONI KWANGU NINGEMPA HII OJA AIPELEKE BUNGENI, BUNGENI NDO KUNATUPA SHERIA ZA KULISAIDIA AU KULIANGAMIZA TAIFA, bahati mbaya ccm ilileta mbunge goi goi na akapita hvyohvyo kwa nguvu ya jiwe, sasa hata haonekani popote.

Nami naungana na wewe, serikali na viongozi wake waone haja ya kuwa na sheria kali kukomboa kizazi, tuache unafiki na kusingizia watotot kukosa malezi, mlezi wa taifa ni serikali.
 
Back
Top Bottom