ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nina kipato kwa mwezi nataka gari wewe unaleta kujua. Wengine hawataki ushauri ni maelekezo

    This is mei dei. Happy birthday dear workers world wide. Kwa wasiojua siku hii inazingatiwa na international labour organization- ILO. Niende kweny point yangu. Nilianza kuhangaikia maisha long ago. Age is so so so going fast. Nyumba yangu ya kupunzikia sio kulala. Ninayo. Watoto yesu...
  2. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wenu kwenye hili tafadhali.....

    Mimi ni kijana mdogo wa miaka 19. Hivi karibuni nimekua nikipatwa na msukumo mkubwa wa kunywa pombe na kuvuta bangi. Kusema kweli najaribu sana kujizuia, lakini naona kama hizi jitihada zangu hazitozaa matunda..... Kwa muda mrefu sasa, marafiki zangu nawaona wanachukulia hii ishu kawaida...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Samia tunaomba utamke kesho kuwarudishia misharaha watumishi walioshushwa mishahara yao

    Ni ushauri na ombi kwa Mh. Rais, ikimfaa awarudishie mishahara watumishi wote mishahara yao iliyoshushwa. Ni vyema ikimfaa alizungumze hili kesho siku ya mei mosi, ili kujenga umoja wa kitaifa na kujali watumishi, Tunakupenda sana Rais wetu, jemedari Samia Suluhu Hassan.
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa walimu wezangu watarajiwa

    Kwa walimu watarajiwa Tanzania, ninapenda kutoa ushauri huu: Jitume kufuzu kielimu: Kama unataka kuwa mwalimu bora, ni muhimu kufuzu kielimu kwa ngazi ya cheti, stashahada au shahada. Hii itakusaidia kuwa na ujuzi wa kutosha wa kufundisha na kuwasaidia wanafunzi wako kufikia malengo yao...
  5. JamiiForums Tanzania USHAURI: Nani asimame kati ya Baba mlezi na Baba mzazi kwenye send off na harusi!!

    Habari wana jf kuna ishu inachanganya huku, kuna harusi miezi 3 ijayo sasa huyu binti anayeolewa anababa yake mzazi ambaye Hakushi naye alikuwa anaishi na mama yake wa mzazi wa kumzaaa na baba wa kufikia, Sasa kwenye malezi Baba wa kufikia ndo alikuwa ana muhudumia kila kitu na alikuwa anaishi...
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri: Kwa matokeo haya naweza kuwa lecturer?

    Kama kichwa cha habari kinavojieleza mimi ni mwanafunzi mwaka wa pili chuo X degree ya ualimu( bachelor of science with education) semester ya kwanza nilipata GPA 3.5 semester ya pili 4.2 na semester ya tatu 3.2 lakini najua na ninauwezo wa kupata 3.6 kutokana na bado sjafanya field ( teaching...
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri wa namna bora ya kujenga banda bora la kuku wa mayai 500

    Nataka kuanza kufuga kuku wa mayai na nataka kujenga banda. Naomba ushauri mambo mhimu ya kuzingatia ili nisiingie chaka.
  8. JamiiForums Tanzania Amekuja tena kuomba pesa. Wajuba naomba ushauri wenu

    Huyu binti ni shemeji yangu. Anaomba pesa mara kwa mara, nilimsaidia kulipia kodi awamu mbili na kampani zingine ndogondogo. Sasa nilipoona anazidi kunipiga virungu nikamwomba nyapu akakataa katakata. Iliniuma sana maana ndo nilikuwa nimetoka kumlipia kodi kama wiki moja hivi iliyopita halafu...
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri muhimu kwa uongozi wa Yanga na mashabiki wa Yanga, hatutaki hadithi ya Simba na Jwaneng Galaxy

    Ni wazi mashabiki wengi wa Yanga wanaamini kazi imeisha, kilichobaki ni kumaliza kazi Dar. Mimi niko kinyume, kazi ndio imeanza, mpaka sasa hatuna deni na wachezaji wetu na benchi la ufundi kwa sababu wameshavuka malengo yaliyowekwa kuingia kwenye makundi, wanachotupa kwa sasa ni bonus tu...
  10. JamiiForums Tanzania Nashauri Wagombea Urais wawe wamepitia Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC)

    Kama wanavyopelekwa Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Watendaji wengine nashauri pia watu watakaotaka kugombea Urais baada ya majina yao kupitishwa na tume waende kozi ya NDC hata kwa wiki tatu. Hii inaweza kufanywa na hata kwa Baraza la Mawaziri.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kozi ipi nzuri kwenye soko la ajira?

    Habari wana jukwaa.. Natumai mko poa, niende moja kwa moja kwenye dhumuni la uzi huu. mimi ni mwalimu niliyehitimu katika shahada ya ualimu mwaka 2015 katika masomo ya chemistry na mathematics ambae bado sijapata ajira. Nahitaji kubadili fani kwenda kusomea kati ya kozi zifuatazo; 1. Diploma in...
  12. JamiiForums Tanzania Nataka kufanya biashara Kati ya Nairobi na Dar, naomba kujua mahitaji ya muhimu ni yapi?

    Nataka kufanya biashara Kati ya Nairobi na Dar es Salaam kupitia mpaka wa Tarakea! Biashara Ni ya Nguo! Naomba kujua mahitaji ya muhimu ni yapi. Kibiashara na personal
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri: Kuomba Visit Visa ya Marekani

    Habari zenu wakuu, naomba msaada hapa jinsi ya kufile kwa ajili ya kuomba visit visa. Mfano: Ikiwa mtu muda huu hana kazi wala biashara yoyote, yaani hayupo vizuri kichumi, ikiwa ina maana hawezi kuuthibitishia ubalozi kupitia taarifa za benki, kwa maana salio la benki ni chini ya millioni 2...
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri: Maisha ya mahusiano yanahitaji Mwelekeo na sio haraka

    Advice Huku mtaani ,majumbani barabarani habari ni kutelekezwa kwa watoto na kila familia Basi hukosi zao la single mothers au kijana wa ovyo aliyetia wanawake Mimba bila kuwaoa What I need to say. Maisha sio leo ni Kesho Kama asemavyo Mkuu Mshana Jr mentor wa vijana wa TANZANIA. Wakati wa...
  15. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali kuhusu muandamo wa mwezi

    Nadhani umefika wakati sasa Serikali muondoe hii sintofahamu ya sikukuu za kitaifa( public holidays) haswa zinazotegemea muandamo wa mwezi. Ni vizuri serikali (msemaji wa Serikali) akawa yeye ndio anatangaza kama ni mapumziko ya kitaifa au la. Inakuwa sio vizuri/ haijakaa vizuri kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Vyuo vinavyofundisha software engineering Tanzania

    Naombeni mnitajie list ya vyuo vinavyofundisha software engineering kwa hapa Tanzania na pia naombeni ushauri kuhusu hii programme.
  17. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwenu ACT Wazalendo, msifanye makosa yaliyofanywa na CHADEMA ya kuratibu maandamano na migomo. Jikiteni kwenye mikakati na mipango

    Ushauri huu ni mahususi kwa ajili ya ACT Wazalendo na vyama vingine vyenye muelekeo kama huu wa kuratibu maandamano na 'attention seeking' na nimetumia neno 'attention seeking' kwa sababu za ushiriki wao wa siasa za matukio ,kunapokuwa na tukio Chama kinaibuka na baadae kinapotea. Kwa mazingira...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Maafisa utumishi na watu wenye uelewa wa ajira na utumishi wa serikali naomba ushauri

    Kuna jamaa yangu ni mtumishi wa serikali kajiriwa kama mwalimu na kituo chake cha kazi ni halmashauri x na shule x , ana degree ya uhasibu na postgraduate diploma ya ualimu, hivyo kigezo alichoingilia kazini na kumpa ajira ni postgraduade diploma na sasa yupo daraja E anaenda daraja F...
  19. JamiiForums Tanzania From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)

    Yaliyojificha uwekezaji wa Hayati Dk Magufuli Chato yawekwa vitabuni Ijumaa, Aprili 14, 2023 Dar es Salaam. Ikiwa ni miaka miwili tangu aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dk John Magufuli kupoteza maisha Machi 17, 2021 akiwa madarakani, waandishi wakongwe wanne wamezindua kitabu kinachoonyesha sura...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Tufundishe Kiswahili na English kuanzia darasa la kwanza kwa manufaa ya taifa

    Kiswahili kinakuwa sana na Tanzania tunapata heshima sana kwa lugha yetu hii. Hii naina maana tusifundishe watoto wetu kiingereza-English kuanzia darasa la kwanza. Inasikitisha sana viongozi wetu wana aminisha kwamba hakuna umuhimu wa kujua kufundisha English kwa elimu ya msingi wakati watoto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…