ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Uchawi wa Kisasa : Je, Ushauri wa Kupata Mpenzi Unafanya Kazi?

    Nilitumia mbinu ya uchawi wa kisasa(Hyposis) kutoka kwenye YouTube kwa wiki moja. Nimekuwa nikikuta video mbalimbali za wanaume na wanawake wakitoa " Ushauri wa Uchawi ". Mfano, mbinu za kuongea, Kutoa Mapendekezo ambao ni ngumu kukataliwa. Mazoezi ya kujenga ujasiri, Hata " miiko" midogo ya...
  2. JamiiForums Tanzania Walionipa ushauri jinsi ya kuacha punyeto hapa JF Asanteni sana.

    Asanteni sana ndio neno la kwaza naanza nalo. Nilileta mada hapa mnishauri jinsi ya kuacha kuangalia video za uchi na kujichua. Kuna walio nishauri, walio ni benza na kunidharau na kunidhihaki kama sitokuja niache. Kuna walio nipa moyo kwamba Ata ikitokea nimejaribu kuacha ila nkafanya...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Nini kimewapumbaza Watanzania hadi wakaamini kwamba Rais Samia atasikiliza maoni, ushauri na malalamiko yao!?

    Katika kipindi hiki cha utawala wa Samia, ushauri kwake umekuwa mwingi mno na matarajio kwa wananchi yamekuwa makubwa sana. Wengi wamekuwa wakiamini atabadilika: mara “Mama rekebisha hili,” mara “Mama sikiliza hili,” mara “Usiwategemee washauri wako wanakupotosha,” mara “Mama, jichunguze vizuri...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vyombo vyetu vya Ulinzi na usalama viwe makini sana na hawa wahuni wa Chadema kwani wana nia ovu ya kuchafua amani na utulivu wa Nchi yetu

    Ushauri kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama waendelee kuwafuatilia hadi chooni hawa wahuni, genge la kihalifu ambao wamejificha kwa mwamvuli wa kisiasa Chini ya Chama Cha Chadema. Genge hili kila kukicha lina panga na kuratibu mipango miovu ya kuchafua amani ya nchi, kufanya matukio ya...
  5. B

    JamiiForums Tanzania NISHAURI; Nianze na gari ipi wakuu?

    Hii itakua gari yangu ya kwanza kumili ni mgeni kwenye hii màneno. Nataka kuagiza Japan. BAJETI Isizidi 35M MATUMIZI Kwenda kazini na misele ya town Dodoma mjini pamoja na likizo kwenda Mwanza MACHAGUO Rav4 3rd Generation Mazda CX 5 Outlander Forester Xt Nissan Duals/X strail Mambo muhimu ya...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusiana na hizi kazi mbili nilizozipata?

    Habari za sahizi waungwana? Naomba mchango wenu wa mawazo. Nimepata ajira mbili kwenye kampuni mbili tofauti. 1.kampuni ya kwanza ni kiwanda cha wachina,kazi inahusiana na professional yangu niliyosomea(uhasibu) mshahara sio mkubwa kivile ni around 1.3m kabla ya makato. 2.kampuni ya pili nayo...
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri: Tundu Lissu gomea hiyo kesi ya mchongo ili waendelee na maamuzi yao ya mchongo

    Tundu Lissu nakushauri ugomee hiyo kesi ya mchongo yenye mashahidi wa mchongo. Fanya yafuatayo: 1. Kataa usijitetee, hata kama watakupeleka kizimbani kaa kimya. 2. Waelekeze mawakili wako wasikutetetee hiyo kesi. 3. Waache mawakili wa serikali na Jaji waamue wanachotaka. Fanya mambo haya matatu...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Ushauri kwa Luhaga Mpina na ACT

    Endeleani kukamata mwizi kimya kimya. Ila fanyieni kazi mambo yafuatayo mambo: 1. Mambo ya public speaking. Mpina watu wameshakuweke wewe kama ndio mpinzani. Sasa basi, kwa siku hizi chache, jitahidi uelewe kulitawala jukwaa. Maelezo yasiwe mengi sana ila yenye tija. 2. Tafuta sauti ya...
  9. JamiiForums Tanzania Dawa Asili & Ushauri wa Afya na Dr Luu

    Habari za wakati huu. Nimeanzisha thread hii ili kutoa elimu ya mtindo wa maisha, kuelezea matibabu ya tiba lishe asili, mitishamba na huduma binafsi unayoweza kupata toka kwangu. Nitakua na mfululizo wa mada mbalimbali zinazohusu afya na mtindo wa maisha. Ndani ya makala hii tutapata faida...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna Jamaa kutokea Arusha amepata mchumba kutoka Mwanza tatizo ni kwamba Jamaa wa Chuga; dini imemkaa sana

    Kuna Jamaa kutokea Arusha(mid 30's) amepata mchumba kutoka Mwanza(pia mid 30's) na wamependana kweli ila tatizo ni kwamba Jamaa wa Chuga; dini imemkaa sana( Mkristo Mkatoliki) na mwanamke ingawa kalelewa kwenye ukristo yeye Ni Atheist na haamini Mungu au dini. Mwanzoni Jamaa alipotezea kwa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania habari za mda huo jamani naomba ushauri

    Habari zenu wana jamii forums mimi ni kijana kutoka zanzibar naomba ushauri wenu juu ya biashara ya nyanya kutoa daa kuleta zanzibar na conection maana zanzibar tunapigwa sana
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri mnaojua shule inayosaidia watoto wenye Uelewa wa taratibu (slow learners) nimpeleke mtoto wangu.

    Habari wanajamvi, Kwa masikitiko makubwa nawaomba mnisaidie kunielekeza ni shule gani hapa Dar es salaam inauwezo mkubwa kuwasaidia watoto wenye Uelewa mdogo yaani slow learners?? Kijana wangu wakiume ambaye Yuko timamu kabisaa anachangamoto darasani tuu, Yaani Yuko darasa la tatu kusoma kwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Form 6 leavers mliopata division 2 na 3, mjitahidi kuomba vyuo vingi hasa vya makanisa na private, Vya serikali ni vigumu kuingia.

    Kumbuka Division One ni zaidi ya elfu 60, Division Two karibu elfu 40, na Division Three zipo chache zaidi elfu 10. Hii inaonyesha ushindani mkubwa sana kwenye udahili unaoendelea vyuoni, hasa vile vya serikali (Udsm, Mzumbe, Udom, Must, Dit, Tia, Ifm, Mipango, Mweka, n.k) si kwamba ukiwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Nimepata kisonono kizembe sana naomba ushauri

    Ni wiki 3 sasa tangu nimekutana na mwanamke na hii ni baada ya kupima nae kabla na kukuta hana maambukizi, baada ya siku kadhaa nilikutana nae baada ya kumuamini na ndipo nilipo ona usaa kwenye uume wangu, nilienda hospital nikaanzishiwa Ceftriaxone na tabs Ciproflaxin pamoja na Dox. Nimetibiwa...
  15. H

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia itafute hekima, ukiwasikiliza waovu, utajutia ukiwa peke yako

    Kwa hapa tulipo, Rais Samia unahitaji sana hekima yako binafsi kuliko ushauri wa uovu kutoka kwa waovu waliokuzunguka. Ufahamu kuwa kila uovu unaoendelea nchi hii, yakiwemo matukio ya ushetani mkubwa kama vile kuteka na kuwaua wanaokukosoa, kumbambikia kesi Lisu, watu wanaoenda kisikiliza kesi...
  16. JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma tupeane ushauri kuhusu mikopo inayotolewa na Taasisi mbali mbali za kifedha

    Moja kwa moja kwenye mada. Leo ni mapumziko nikaamua kuzurula kwenye akaunti yangu ya ESS(Watumishi Portal). Kilichonishtua hadi kuandika mada hii ni kitu kinaitwa "Processing Fee" baada ya kuona ni Tsh871,053.93/= wakati mkopo unaombwa kwenye mfumo. Na gharama zingine kama bima ni kubwa...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Polepole Amuonya Chalamila. Asema Amemtukana Rais

    Polepole amemuonya Chalamila kuwa hana mamlaka wala uwezo wa kujibu hoja zake. Yeye Polepole alikuwa mjumbe wa kamati kuu akiwa na majukumu maalum, anayejua mambo mengi. Kaeleza kuwa Chalamila indirectly amemtukana Rais aliposema kuwa eti yeye Chalamila anaenda kufuata mafaili ya Polepole huko...
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu eneo la kupanga chumba/vyumba

    Habari za muda huu ndugu zanguni, niende moja kwa moja kwenye mada husika; Naomba msaada au ushauri wa haraka kuhusu mahali pa kupanga chumba au vyumba kwa maeneo ya karibu na kambi ya Jeshi ya Mgulani au Uwanja wa Taifa. Nimepangiwa kufanya kazi eneo la karibu na hayo niliyoyataja, na...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa chama changu cha CCM

    Naomba kukishauri Chama changu cha CCM kuwa tuheshimu maoni ya Wajumbe wa CCM waliowapigia watia nia kura. Kama kweli mtia nia ameibuka kidedea na vigezo anavyo basi huyo ndiye ateuliwe kupeperusha bendera ya CCM. Tusiwe na upendeleo kuwapendelea watoto wa wakubwa hata kama ameshika nambari 2...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Kati ya kilimo na kuuza mazao kipi kina faida?

    Habari ya leo ndungu zanguni, Jackson hapa. Naitaji ushauli ndugu zangu Hivi kati ya kujikita kwenye kilimo au kujikita kwenye kununua mazao kipi kinafaida kubwa? Na kipi kina risk kubwa? Kwa maoni yako wewe kama wewe let’s say una mtaji wa 20M TZshillings unaweza kuwekeza kwenye kilimo au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…