used

  1. mtoto wa kibopa

    JamiiForums Tanzania nahitaji vifaa vya simu aina ya huawei mate 20 pro viwe used au vipya

    nahitaji vifaa vya huwei used hata kama ni vipya itakuwa sawa tu...vifaa ninavyovi hitaji ni mfuniko wa batri uwe na muonekano kidogo mzuri kama ni used,camera ya mbele na nyuma...au hata ikipatikana hii simu iliyokufa display nitanunua.
  2. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyotapeliwa kizembe na muuzaji wa ‘Simu used kutoka Dubai’

    Wakuu poleni na matatizo yanayoikumba nchi yetu. Poleni kwenu mliopoteza ndugu, jamaa, na marafiki kutokana na yaliyojiri oct29 Bila kuwachosha. Kuna msemo maarufu usemao """Wajinga ndiyo waliwao"""' Ilikuwa tarehe 20 mwezi wa 11 mwaka 2025 ndo siku ambayo kwa mara ya kwanza nilihisi...
  3. The Eric

    JamiiForums Tanzania Bajaji zinauzwa used na mpya

    Uzi huu ni maalumu kwa kupost bajaji, pikipiki na magari yanayouzwa..... Bajaji numbe ELV Ipo dar es salaam inauzwa Tsh. 7.5mil.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kununua gari used

    Habarini wakuu, Nataka kununua gari used kutoka kwa dalali. Ni vitu gani kuwa navyo makini nisije pigwa? (Niko based Arusha)
  5. tajiri wa fikra

    JamiiForums Tanzania URGENTLY Laptop inauzwa Ram 4,HDD 500,HP,Ram 4,processor 2.6hz Used kwa 350K

    Laptop used inauzwa HDD 500,Ram 4,processor 2.6 kwa 350K Contact: 0752650558/0712793505/0619808825
  6. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania R.I.P JPM, i used to hate u but now im even in darker room,I cry bitterly when I see JK,RM,Samia and Abdul.

    It is paining to see that you are gone,sasa naiona thamani yako ukiwa haupo,waliopo wametuonyesha walivyo chui na mbwa mwitu,hatuna la kufanya zaidi ya kukulilia wewe uliye tangulia mbele ya haki.
  7. mkadiriajimajenzi

    JamiiForums Tanzania Used Google Pixel 9 (128GB)

    used Google Pixel 9 (128GB) njoo na offer yako PM
  8. Mafunzo yote ya Udereva

    JamiiForums Tanzania Welcome back TAL in political Arena. Ila, kumbuka Adui yako mkubwa bado yupo HAI, you used to offend the wrong enemy

    Pole Sana Kwa unayopitia na uliyopitia. Najua utakuwa umepata mshangao mtu mwenye akili za juu Kama wewe kutumika kumshambulia the wrong enemy. Hii ndo Ccm inaweza kumtumia yeyote yule kwa interest zake. Kitu ambacho nakupa Kama ushauri wewe na wasaidizi wako make sure Una follow ur instinct...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Used tv , home theater na fridge zinauzwa

    Nauza Hisence TV 43" , Home Theater LG 1500watts na Fridge Hisence milango miwili. Bei vyote 1,500,000/=.call 0754410309
  10. H

    JamiiForums Tanzania Natamani kujua kodi ya Yutong ZK6110 kutoka China

    Wadau, kama kuna mtu anaweza kuwa na uwelewa kodi ya Used YUTONG ZK6110 12 meters viti 55 kutoka China ambayo bei yake ni USD 21,000 na kubadilisha steering kutoka kushoto kwenda kulia, battery mpya, marekebisho ya ndani chini (floor), dashboard mpya, mlango mpya, cover za viti, kwa jumla ya USD...
  11. AskariKanzu

    JamiiForums Tanzania THE REASON I USED TO HIDE SCHOOL EVENTS FROM MY PARENTS

    Me as a father on my way to embarrass my children at school meeting.
  12. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Hivi wadau hivi vitu used vya Chris Lukosi ni original na vipo vizuri?

    Mdau uliyewahi kununua vitu used kutoka kwa Chris Lukosi tupe ushuhuda
  13. Secret Star

    JamiiForums Tanzania Natafuta Nvidia RTX 3070 Used nina 500,000 Cash

    Wakuu nina shida na kadi Nvidia RTX 3070 kwa alienayo anicheki PM. Tafadhari
  14. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Wale Wanaopanga kumiliki magari used ya bei Nafuu: Tazama plan Yetu bila Riba

    Habari zenu wakuu. Baada ya kukutana na vijana kadhaa wanatamani wamiliki gari used kuwahi shughuli zao ila bajeti haitoshi, Yaani ni kazi kukusanya milioni 5 au 4 kwa pamoja. Naielewa vyema hali hiyo nami nilipitia nikianza maisha ya kujitafuta. Sasa nimekuja na plan kuwawezesha kutimiza...
  15. Mfilisti

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kuhusu Magari used

    Ukinunua gari used/ mtumba, utabeba mzigo wote wa aliyepita nalo. Dent, engine knock, interior mbovu – zote ni zako sasa. Cha kuchekesha, yule mmiliki wa kwanza aloyekuuzia bado analiangalia kwa jicho la kumbukumbu, na kuna muda analitamani kabisa hilo gari aliendeshe tena. Kila akikuona nalo...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kununua au kuagiza baiskeli used Japan, nerthela au kwingineko

    Msaada wazoefu nawezaje kuagiza baiskeli used toka japani nakwingineko baiskeli kama hizi
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ndoa ndio sehemu pekee ambayo mwanaume anauziwa product used kwa bei ghali. Used corolla inauzwa bei ya benz mpya na mteja halalamiki

    Pia biblia imeandika Mungu aliwasamehe makahaba. Ila lilipokuja swala la kuchagua Mama wa mwanae alimchagua mwanamke bikira anaitwa Maria. Hakuchagua used
  18. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Nauza Bati zilizotumika (USED)

    Wakuu nina Bat ziko Karibu 100 nauza ni gauge 28 zimepigwa msumari mara moja tu hazina Kutu zinaonekana kama mpya kabisa. bei ni elfu nne, elfu tano na elfu kumi na nae na nyingine elfu ishirini. Zipo malamba mwisho Kituo cha Msikitini. Ukihitaji nicheki PM hapo kwa mawasiliano zaidi Mpigie...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta pikipiki used mkoani Kilimanjaro

    Kijana wangu anahitaji pikipiki used (iliyoko kwenye hali nzuri) cc150 ili iweze kupanda milima ya Rombo ikiwa imepakia mzigo (Isiwe Boxer) IWE NA UMILIKI HALALI.....Offer yake ni shs 1mil cash japo anakaribisha maongezi kulingana na ubora wa Chombo
  20. Y

    JamiiForums Tanzania Piki piki used dar es salaam

    ..
Back
Top Bottom