used

  1. Aysenem

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kati ya boda boda mpya 1 na used mbili ipi ninunue

    Wakuu za mwaka mpya, Mwenzangu anataka kufanya biashara ya boda boda sasa ameniomba ushauri anunue used 2 au mpya moja na ana 1.8 M. Mimi nimemwambia anipe muda ili nimshauri vizuri, kwa kuwa mimi sijui chochote kuhusiana na biashara hii nikaona nije huku wakuu. Naomba pia kujuzwa utaratibu wa...
  2. rr4

    JamiiForums Tanzania Natafuta freezer used Moshi Mjini

    Morning everyone Kwa yeyote mwenye freezer zuri used ambalo halizidi 200,000#. Funguka lichukuliwe.
  3. biling

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei za Semi Trailers zilizotumika 'used'

    Naomba kufahamishwa bei gani naeza pata trailer kichanja zile used ambazo imported au zile kutoka kwa mtu hapa bongo zile za kichanja. Je, kwa bajeti ya milion 15 naeza pata trailer nzuri kabisa? Natanguliza shukran zangu.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Nauza mabati used Mbweni JKT

    Mabati yaliyotumika mwaka mmoja yanauzwa elfu 9 kila bati. Yapo 17 na yanapatikana Mbweni JKT. Yanafaa kwa banda la mifugo, nyumba za site, etc. Nauza pia nguzo 4 za chuma kwa elfu 20 kila nguzo. Unachukua barabara ya vumbi kutoka Boko Magengeni. Karibuni Mawasiliano 0625 536 529 (usitumie...
  5. HizMAJESTY

    JamiiForums Tanzania Used microwave na jiko la gesi vinauzwa bei rafiki

    Sold
  6. Loraa sum's

    JamiiForums Tanzania Used HP computer for sell

    used computer for sale brand: HP Ram: 4gb HHD: 500 GB Haina shida yoyote isipokuwa haikai na charge Bei: 150,000 tshs Contact: 0712518770 dar-es-salaam
  7. Elon Mzebuluni

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Kisembuzi cha DStv used full set

    Niko Mbeya Imetumika mwezi mmoja tu,ipo katika hali nzuri sana bado ina upya wake,ichukue kwa Tsh. 85,000 tu ,maelewano yapo nicheki kwa 0767142928 Utapata dstv decoder,remote yake,dish lake,waya wa dish kwenda kwenye decoder,hdmi cable,nuts na bolts
Back
Top Bottom