used

  1. H

    JamiiForums Tanzania Natamani kujua kodi ya Yutong ZK6110 kutoka China

    Wadau, kama kuna mtu anaweza kuwa na uwelewa kodi ya Used YUTONG ZK6110 12 meters viti 55 kutoka China ambayo bei yake ni USD 21,000 na kubadilisha steering kutoka kushoto kwenda kulia, battery mpya, marekebisho ya ndani chini (floor), dashboard mpya, mlango mpya, cover za viti, kwa jumla ya USD...
  2. AskariKanzu

    JamiiForums Tanzania THE REASON I USED TO HIDE SCHOOL EVENTS FROM MY PARENTS

    Me as a father on my way to embarrass my children at school meeting.
  3. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Hivi wadau hivi vitu used vya Chris Lukosi ni original na vipo vizuri?

    Mdau uliyewahi kununua vitu used kutoka kwa Chris Lukosi tupe ushuhuda
  4. Secret Star

    JamiiForums Tanzania Natafuta Nvidia RTX 3070 Used nina 500,000 Cash

    Wakuu nina shida na kadi Nvidia RTX 3070 kwa alienayo anicheki PM. Tafadhari
  5. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Wale Wanaopanga kumiliki magari used ya bei Nafuu: Tazama plan Yetu bila Riba

    Habari zenu wakuu. Baada ya kukutana na vijana kadhaa wanatamani wamiliki gari used kuwahi shughuli zao ila bajeti haitoshi, Yaani ni kazi kukusanya milioni 5 au 4 kwa pamoja. Naielewa vyema hali hiyo nami nilipitia nikianza maisha ya kujitafuta. Sasa nimekuja na plan kuwawezesha kutimiza...
  6. Mfilisti

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kuhusu Magari used

    Ukinunua gari used/ mtumba, utabeba mzigo wote wa aliyepita nalo. Dent, engine knock, interior mbovu – zote ni zako sasa. Cha kuchekesha, yule mmiliki wa kwanza aloyekuuzia bado analiangalia kwa jicho la kumbukumbu, na kuna muda analitamani kabisa hilo gari aliendeshe tena. Kila akikuona nalo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kununua au kuagiza baiskeli used Japan, nerthela au kwingineko

    Msaada wazoefu nawezaje kuagiza baiskeli used toka japani nakwingineko baiskeli kama hizi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ndoa ndio sehemu pekee ambayo mwanaume anauziwa product used kwa bei ghali. Used corolla inauzwa bei ya benz mpya na mteja halalamiki

    Pia biblia imeandika Mungu aliwasamehe makahaba. Ila lilipokuja swala la kuchagua Mama wa mwanae alimchagua mwanamke bikira anaitwa Maria. Hakuchagua used
  9. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Nauza Bati zilizotumika (USED)

    Wakuu nina Bat ziko Karibu 100 nauza ni gauge 28 zimepigwa msumari mara moja tu hazina Kutu zinaonekana kama mpya kabisa. bei ni elfu nne, elfu tano na elfu kumi na nae na nyingine elfu ishirini. Zipo malamba mwisho Kituo cha Msikitini. Ukihitaji nicheki PM hapo kwa mawasiliano zaidi Mpigie...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta pikipiki used mkoani Kilimanjaro

    Kijana wangu anahitaji pikipiki used (iliyoko kwenye hali nzuri) cc150 ili iweze kupanda milima ya Rombo ikiwa imepakia mzigo (Isiwe Boxer) IWE NA UMILIKI HALALI.....Offer yake ni shs 1mil cash japo anakaribisha maongezi kulingana na ubora wa Chombo
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Piki piki used dar es salaam

    ..
  12. Money Bags

    JamiiForums Tanzania 1HD FT Used Engine Ya Land Cruiser Inatafutwa

    Kwema Wajumbe 😁 Husika na Kichwa Cha Habari, Nina Land Cruiser GX 105 yenye engine ya 1HZ ipo poa nzima kabisa haina tatzo lolote ila nataka kufanya an upgrade niweke engine ya 1HD FT then ni install intercooler ili gari iwe more strong and efficient. Hvyo natafuta used 1HD FT engine ya hapa...
  13. Frustration

    JamiiForums Tanzania Nahitaji PC used bajeti ni laki mbili tu

    Nipo Songea nahitaji pc yenye kuanzia 5th generation na core 5, bajeti ni kilo 2. Lakini pia napokea ushauri wenu. Nahitaji kwa kazi ya software za simu tu especially 4 bypassing services and works Meseji tu 0759189534
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nauza Tv Used - Ime tumika Miezi 2

    Aina: Hisense Inch: 55 4K Tv A6 Series Bei: 850,000 WhatsApp: 0718 380 277
  15. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji pikipiki ya kuchaji used

    Wakuu habari, nahitaji pikipiki ya kuchaji used weka Bei na waqasiliano na pcha ya pkipki
  16. RaJhumoR

    JamiiForums Tanzania Milango ya Mitondoo

    Ebwana, Habari wana JamiiForum Nimeleta muswada huu mbele yenu kutangaza biashara ya milango (USED) kutoka kwenye nyumba ya mshua mmoja mtunzaji sana wa mali zake Aisee hii milango iko katika good condition na ipo sokoni mpaka kesho kutwa ambapo boss akikosa mteja ataigawa anapojua Kwa...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Kwa nini tukinunua betri jipya mafundi huunganisha kwanza betri la zamani au used kuwasha gari halafu ndio wanaweka jipya ?

    Mara kadhaa nimeona hili, mtu akinunua battery, fundi anaenda kutafuta battery lingine aje kuwashia gari, gari likiwaka anachomoa battery, akichomoa battery bado gari linaendelea kufanya kazi ndipo anaweka battery jipya. kwanini huwa hawaweki moja kwa moja battery jipya ?
  18. R

    JamiiForums Tanzania Nauza plastick horn used za Japan, set zipo 5.Chukua zote kwa 125,000/=

    Ninazo plastick horn used za Nje Japan.Set moja nipe elfu30 zote unapata kwa bei ya jumla.Tuwasiliane 0769618684
  19. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta Stethoscope ya daktari used ya kununua, hata ikiwa mbovu sawa tu. Doctors mwenye Stethoscope mbovu atucheki

    Habari wadau. Natafuta Stethoscope used. Hata ikiwa mbovu haifanyi kazi nahitaji pia. Tunaitumia kushutia igizo la sanaa. Pia kwa wanaojua wapi used zinauzwa naombeni mniambie Najua humu kuna watu wengi.. kwa mwenye nayo anauza anipigie namba 0754003715
  20. Whitney Houston

    JamiiForums Tanzania Machimbo ya kulangulia Simu used za Batani (simu ndogo)

    Habari za majukumu wanajamvi!? Natamani kufanya biashara ya simu used za batani ila sijui pa kuzilangulia na garama za kulangua mzigo zipoje, humu jamvini hakuna linaloshindikana kwahiyo Naomba mnijuze machimbo ninayoweza kupata mzigo.soko la kuuzia tayari ninalo......natanguliza shukran
Back
Top Bottom