Niletee uzo zote site yangu ipo hapa kibaha picha ya ndegeHabari za muda huu, poleni na majukumu kimfaacho mtu chake wanasema waswahili, nauza tofali used, zipo tofali mia mbili, kwa kila tofali moja ntakuuzia kwa shiling mia 5 (500Tsh.), unaweza kujengea au kuzitumia kwa matumizi mengine, Karibu kwa Muhitaji zipo Kinyerezi Makofia Dar es salam simu number 0714739838View attachment 3633722
Ningezichukua. Sema kuzibeba toka hapo hadi site yangu ni mbali, naweza kuzibeba hadi nikapatwa kikooziHabari za muda huu, poleni na majukumu kimfaacho mtu chake wanasema waswahili, nauza tofali used, zipo tofali mia mbili, kwa kila tofali moja ntakuuzia kwa shiling mia 5 (500Tsh.), unaweza kujengea au kuzitumia kwa matumizi mengine, Karibu kwa Muhitaji zipo Kinyerezi Makofia Dar es salam simu number 0714739838View attachment 3633722
Hiyo site walikunya hapo nini?Habari za muda huu, poleni na majukumu kimfaacho mtu chake wanasema waswahili, nauza tofali used, zipo tofali mia mbili, kwa kila tofali moja ntakuuzia kwa shiling mia 5 (500Tsh.), unaweza kujengea au kuzitumia kwa matumizi mengine, Karibu kwa Muhitaji zipo Kinyerezi Makofia Dar es salam simu number 0714739838View attachment 3633722
Ee, walikunya wale wapiga debe wa stendi maana yupo nayo mkabala.Hiyo site walikunya hapo nini?
Bei ya mwishoHabari za muda huu, poleni na majukumu kimfaacho mtu chake wanasema waswahili, nauza tofali used, zipo tofali mia mbili, kwa kila tofali moja ntakuuzia kwa shiling mia 5 (500Tsh.), unaweza kujengea au kuzitumia kwa matumizi mengine, Karibu kwa Muhitaji zipo Kinyerezi Makofia Dar es salam simu number 0714739838View attachment 3633722
Ili waendelee kuzinyeaSema huko mbali ningezichukua nijengee ma banda ya kuku
Lete bei ya mwisho tupate cha juu mana napafahamu apo na kunamshua anataka tofari za kujengea chemba la chooBei ya mwisho