Kiinua mgongo cha 40M kwa usawa huu kweliii?

Hivi bado watu wakistaafu watapewa 40M na hali ya maisha ilivyo ?

Utumishi au utumwa
Polisi ndiyo wanapunjwa utakuta Mfano Mkuu wa Polisi kanda maalumu akistafu alitakiwa alipwe Milioni 100 anakuja kulipwa Milioni 20 Baada ya kikokotoo, Polisi walipwa Mafao kiduchu mpaka huruma. Utakuta Polisi analipwa kiinua mgongo milioni 13 hapo hana Nyumba ya kuishi.
 
Kuna kanuni ya kulipwa, .. kuna profession na kuna sisi wa form 4 ambao tunafunzwa kozi na kuingia kazini, duniani kote watu hulipwa kutokana na umuhimu na uhaba wa hao watu.
 
Ninavyojua Kwenye Majeshi yetu Kiinua mgongo kinalipwa kutokana na Cheo mfano pesa anayolipwa Kanali tofauti na anayolipwa Brigadier ya pesa ya luteni kanali kiinua mgongo kitakua kifogo hata kama kamzidi Elimu Brigadier General, kwakifupi Jwtz kiinua Mgogo kinakua kikubwa kutokana Cheo na Elimu, ndiyo Maana utakuta Mojor General hata Chuo kikuu hajafika na Luteni Kanali ana Elimu ya Chuo kikuu lakini kazidiwa cheo Na Meja General ambae ana Elimu ya Kidato cha sita.
 
Ndivyo ilivyo, wanaopiga kelele ni wanyonge ambao walikimbia umande kama sisi huku.
 
Polisi ndiyo wanapunjwa utakuta Mfano Mkuu wa Polisi kanda maalumu akistafu alitakiwa alipwe Milioni 100 anakuja kulipwa Milioni 20 Baada ya kikokotoo, Polisi walipwa Mafao kiduchu mpaka huruma. Utakuta Polisi analipwa kiinua mgongo milioni 13 hapo hana Nyumba ya kuishi.
Mkuu hakuna polisi anaye kosa nyumba miaka ya leo kwenye mfum6 huu wa "polisi-majambazi" .
Wengi wa polisi siku hizi tunawaona wakinyanyua mijumba mikubwa kwa hela za dhuruma
 
Polisi ndiyo wanapunjwa utakuta Mfano Mkuu wa Polisi kanda maalumu akistafu alitakiwa alipwe Milioni 100 anakuja kulipwa Milioni 20 Baada ya kikokotoo, Polisi walipwa Mafao kiduchu mpaka huruma. Utakuta Polisi analipwa kiinua mgongo milioni 13 hapo hana Nyumba ya kuishi.
Yaani SACP alipwe 20M pekee?

Hao wa chini kabisa si watakuwa wanadaiwa wakistaafu,yaani mafao -10M.

BTW: Polisi/Hakimu akishindwa kujenga akiwa kazini,huyo ni mzembe wa kutupwa!!
 
Back
Top Bottom