A
Anonymous
Guest
Habari za wakati huu wadau,
Mimi ni dereva binafsi sipingani na mpango wa suala la ukataji wa pointi katika leseni za udereva, lakini suala hili limekuwa na lengo la kukandamiza upande mmoja tu.
Suala la dereva kupewa piont 15 kwa muda wa miaka 5 sio sawa, labda ingewekwa kila mwaka dereva angepewa hizo point 15.
Pili vipi kwa upande wa dereva wa magari ya serikali na magari ya umma katika sheria hii maana wao pia wamekuwa wakivunja sheria kwa makusudi lakini tunaona busara ikitumika juu yao; basi na sisi pia itumike hivyo hivyo.
Kama sheria imewekwa basi tufate wote bila kuanglia huyu ni nani
Pia soma:
~Dereva alalamika Askari wa barabarani kuwakatia Point kwenye leseni
~Mfumo wa Pointi Leseni: Usawa Wapi?
~Serikali isirudi nyuma: Mfumo wa kukata pointi kwenye leseni usisistishwe, migomo isitumike kuchezea maisha ya abiria barabarani
~Makosa ya barabarani na point zake zitakazowekwa kwenye leseni. Kila leseni itakuwa na jumla ya pointi 15