usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    Baada ya CDF kuhongwa Uwaziri Mkuu, Wanajeshi wa Madagascar waungana Rasmi na Wananchi

    https://x.com/marxistJorge/status/1976999644975841453?s=19 "Watoto wetu wanahangaika sana , hayupo hapa Kuwaua wala kuwpaiga .Na sisi pia tunatipitia kile kile wanachopitia watoto wetu.Ni lazima tuwaunge Mkono " . TUSIKUBALI KUHADALIWA KWA PESA AU NAFASI ". Haya ni Maneno ya Hasira na Uchungu...
  2. Mhaya

    GE2025 Viongozi Serikalini Wanataka Wananchi Mkinukishe Kwanza ili Wawaunge Mkono

    Ukifanya upembuzi yakinifu utagundua viongozi wengi serikalini sio kwamba hawaoni yanayotendeka. Shida inakuja ni kuwa wenye uwezo wa kusema hapana ni wananchi wenyewe. Hivyo viongozi wengi wanasubiri kuona nguvu ya umma ikifanya maamuzi. Fuatilia kwa umakini tu huko maofisini utagundua...
  3. Just Pray

    GE2025 Mgombea ubunge Mafinga mjini: Usalama utaimarishwa, nendeni mkapige kura tumeshajieleza sana

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Mafinga Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dickison Lutevele maarufu kama Villa, amewahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura ifikapo Oktoba 29, akiwahakikishia kuwa hali ya usalama itaimarishwa ili kila mtu ashiriki uchaguzi kwa amani. Akizungumza...
  4. Smartkahn

    Tahadhali Kabla ya Hatari, Vitisho vya Usalama, Intel analysis

    Sitaki kuamini kwamba siasa za ndani ndio zimetufikisha hatua hii... Ila inawezekana Taifa linapokea vitisho vya kiusalama vinayopelekea kua na hari hii tuliyonayo na watawala hawana namna bali ni kutii Kama sio tatizo ni nini!? Mbona mambo mengi yanaepukika, tuache upumqavu/upu-uzi huo mara...
  5. Its Tesha

    Kuna usalama hapa? Mbona kama kikohozi ni kingi, haumwi kweli?

    Hapo jijini Mwanza wakati akitoa hotuba yake alianza kulalamika kikohozi kihozi dadeki tupo naye mpaka october 29 hafiki mbali huyu amini nawaambia afiki mbali.
  6. technically

    GE2025 Hivi unawezaje kuongoza nchi ambayo Jeshi, Polisi na Usalama wa Taifa vimegawanyika?

    Bado nawaza Rais wa nchi yeyote anawezaje kuongoza Taifa ambalo jeshi limegawanyika? Yaani watu unategemea walinde mipaka halafu wanakuwa wamegawanyika!! Unawezaje kutoboa? Kawati huo huo wananchi hasa vijana ambao ni nguvu kazi wamekukataa? Najiuliza nchi Kama hiyo unawezaje kuiongoza?R
  7. McLaren

    Kihongosi: Watu wengi kwa kuwa wamezaliwa wamekuta lami zipo, shule zipo hawajui taifa limetoka wapi

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi, amewataka Watanzania kudumisha mshikamano na kulinda umoja wa kitaifa kwa kuheshimu vyombo vya ulinzi na usalama. Akizungumza leo Oktoba 05, 2025 katika ukumbi wa White House jijini...
  8. Common Folk

    Swali kwa JWTZ: Vyombo vya usalama kufanya gwaride mitaani kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi siyo siasa?

    Mbona kozi zingine za majeshi huwa hamfanyii mitaani, huwa mnaenda kwenye maeneo maalumu yaliyojificha mnafanya kozi zenu huko kimya kimya bila kuleta bughudha kwa raia wa kawaida? Kwa nini kipindi hiki cha uchaguzi mkuu mnafanya magwaride mtaani, tena mmeungana majeshi yote, na hiyo yote baada...
  9. K

    Kama vyombo vya usalama vitaruhuru familia 3 zitawale watanzania milion 65 ! Tatizo ni uzalendo

    Kama vyombo vya usalama vitaruhuru familia nne zitawale watanzania milion 65 ! Tatizo ni uzalendo. Tuna vyombo vya machawa sio vyombo vya usalama . familia hizo ni Mwinyi Samia Kikwete
  10. M

    GE2025 Chahali: Kuna Maofisa Usalama wa Tanzania wamekamatwa Marekani wakipanga kuwadhuru Wanaharakati Watanzania waishio huko

    Akiongea kupitia mtandao wa Youtube, Shushushu wa zamani wa Idara ya usalama wa Taifa, ndugu Evarist Chahali amesema kuwa maofisa wa kitengo wamedakwa huko Marekani wakiwa ktk plan za kuwadhuru Wanaharakati wa Kitanzania waishio huko. Chahali akasema kuwa walengwa ni watanzania waliokuwa...
  11. Mi mi

    Boss ondoka ulipo kwa utulivu na usalama wako ni ushauri tu nakupatia

    Boss kama utaweza kuzingatia ushauri itakua vyema kwa usalama na utulivu wako na familia kwa ujumla ondoka ulipo nenda sehemu yenye utulivu na amani. Kwa sasa mahakama ni mikono yao jaribu kuiepuka kama inawezekana ni ushauri tu nakupatia. Boss wakikuonya huwa wana maanisha kuwa you are next...
  12. Damaso

    Huduma Mpya za Maduka ya Kubadilisha Fedha: Usalama na Maswali ya Gharama

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kupitia kanuni zake mpya za mwaka 2023 imefungua ukurasa mpya katika biashara ya kubadilisha fedha za kigeni. Kwa mara ya kwanza, maduka ya kubadilishia fedha yameruhusiwa kufanya malipo kupitia akaunti za benki, hatua inayolenga kuongeza usalama wa miamala na...
  13. Just Pray

    GE2025 Golugwa: Vyombo vya ulinzi na usalama visiwashambulie raia

    Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Amani Golugwa, ametoa wito kwa vyombo vya ulinzi na usalama kuacha kuwashambulia wananchi wanaojitokeza kuonesha hisia zao katika masuala yanayohusu maisha na mustakabali wa taifa. Golugwa ameyasema hayo wakati wa mazungumzo...
  14. Richard

    Ifahamu Wizara ya Usalama wa taifa ya China na majukumu yake kwa nchi hiyo kubwa Duniani

    https://www.youtube.com/watch?v=j1UH7Yn6gSg Hii ni makala ya pili inozungumzia nchi ambazo zina wizara kamili inoshughulikia Usalama wa taifa. Wiki ilopita nilizungumzia umuhimu wa raisi ajae kufikiria kuanzisha wizara ya Usalama wa taifa ambayo itashughulikia usalama wa nchi na mipaka yake na...
  15. P

    Tetesi: Rais Mfute Kazi Suleiman Abubakr Mombo Mara Moja

    Kwa video zinazoendelea kuwekwa na Dada Mange zikionesha utajiri usiendana na Kipato cha Dgis Mombo na Familia yake. Nashauri Rais Samia Tengua uteuzi wa Mombo mara moja. Leo kuna video ya Hidaya Binti wa Mombo akichezea Dola laki 3 takribani milioni 800 za Tanzania taslim na akiwanyooshea...
  16. Lavit

    Hivi kama mkuu wa usalama anahusishwa na na kashfa za ufisadi wa kupindukia, tunaweza sema bado tuna nchi?

    Wakuu mimi kuna kitu bado sielewi, hivi inawezekana vipi huyu mtu kuwa na kashfa mpaka watoto wake kuanikwa hadharani anaweza vipi kulinda maslahi mapana ya nchi? Kama yeye yuko hivyo vipi hao wa chini yake hali ikoje? Ina maana huko idarani ndo kumeoza kabisa kwa viwango hivi? Hivi bado...
  17. technically

    Hili la kufungia mitandao ni hatari kwa usalama wa Taifa

    Narudia tena hakuna hatari kubwa kiusalama Kama watu kuzibwa midomo. Hakuna hatari kubwa Sana kwenye usalama wa Taifa Kama watu kukosa platform na kuanza kuwasiliana kwa code. Mlianza na Twitter, mkaja kupunguza uwezo wa kufanya kazi kwa Facebook na Instagram na tiktok. Sasa mnaifungia jamii...
  18. Common Folk

    Maxence Melo amshangaa Gerson Msigwa kusema waliovamia Ofisi za Jamiiforums ni Maafisa Usalama

  19. I

    Usalama wa watembea kwa miguu na wachuuzi wa biashara Mbagala rangi 3; Mamlaka zipo likizo?

    Hali ya usalama wa watembea kwa miguu ni changamoto hasa kutokana na wafanyabiashara ndogondogo kufanya biashara zao katika njia za watembea kwa miguu. Hii imefanya watembea kwa miguu kupita pembezoni mwa barabara. Hali inayopelekea usalama wao kuwa mashakani. Kinachoshangaza zaidi...
  20. C

    Eti Kwamba TANZANIA nayo ina inteligence,kwamba tunavyombo vya ulinzi na usalama vyenye uzalendo kwa Taifa lao! Hebu acheni dhihaka.

    Uzalendo wa kweli si kupambana na wananchi na raia wanao toa maoni pinzani dhidi ya mwenendo usio ridhisha wa serikali yao waliyo ipa dhamana . Bali ni kupigania usalama wa taifa na rasilimali zake zote kwa maslahi ya taifa na na raia wake ndivyo ilivyo kwa mataifa mengi duniani yanayo piga...
Back
Top Bottom