Maeneo makuu ya kazi ya usalama wa taifa

Maeneo makuu ya kazi ya usalama wa taifa

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,076
Reaction score
5,975
Kazi kuu ya usalama wa taifa ni kukusanya na kuchambua habari za kiusalama
Kuna maeneo makuu manne ambayo yanafanywa usalama wa taifa
1. Ujasusi
Inahusu ukusanyaji wa taarifa za kiusalama nje ya nchi hususani nchi adui. Usalama wa taifa huwa wanatumwa kimkakati kwenda nchi fulani ambayo hua mgogoro na nchi yetu lengo ni kufanya ukusanyaji wa taifa muhimu za kiulinzi na jeshi , kama nchi huo itaamua kuvamia basi taarifa zitafika makao makuu mapema hivyo kufanya jitihada za kuzuia haraka order

Hawa majasusi hua wamejitoa maisha yao kwaajili ya nchi kwani ni kazi ya kifo muda wowote. Na ikitokea amekamatwa huku basi haruhusiwi kusema siri za nchi inshort wanakuwa wamebeba siri za nchii just why jasusi akikamatwe hua anajiua mwenyewe kuepuka kutoa siri.

Hizi ni baadhi ya mbinu ambazo hutumia kukusanya taarifa za kiusalama
●open source magazeti, maktaba na Internet
●communication intelligence, kunasa mawasiliano walengwa au kiongozi anaetafuta na serikali kama simu, fax, na n.k
●Signal intelligence, Kuweka kinasa mawasiliano kwa kiingereza kinaitwa wire tapping au kunasa mawimbi ya Sauti.

Kunasa mawasiliano ya kielektroniki .

Imagery intelligence-Kunasa picha au taswira kwa kutumia ndege au drone.
■Financial intelligence kudeal na maswala ya kifedha .
Nitaendelea .......................................

Anyway sijajua Gwajima aliescape vipi
 
Back
Top Bottom