Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Dalmia Mikaya akizungumzia hali ilivyo katika wilaya hiyo hususani muamko wa watu kujitokeza kupiga kura na hali ya utulivu iliyopo hadi sasa
"Hali ya Usalama ni nzuri, watu wamekuwa na amani na utulivu mkubwa. Niendelee kuwasisitiza na kuwahimiza kwa wale ambao bado...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Dar es Salaam. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa Dar es Salaam una jumla ya majimbo ya uchaguzi (12) ambayo ni
Jimbo la Kinondoni
Jimbo la...
Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, David Misime, amethibitisha kuwa hali ya usalama nchini ni shwari na salama, akiwahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi katika vituo vyao vya kupigia kura ili kutimiza haki yao ya kikatiba.
Akizungumza leo, Oktoba 29, 2025, kwenye kipindi cha Jambo Tanzania cha...
Maafisa wa Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora wakiongozwa na SACP Richard Abwao, Kamanda wa Polisi mkoani humo wamefanya mazoezi ya kawaida ya mwendo wa pole na haraka katika viunga vya Manispaa ya Tabora yakilenga kujiweka tayari kulinda amani na usalama kwa wananchi hususani kuelekea uchaguzi mkuu...
INSPEKTA WA POLISI AMWAGA MAZITO YA KUHAKIKISHIA RAIA USALAMA NA USHIRIKIANO OKTOBA 29
Hello, important plz.
Mimi ni police rank ya inspector, naomba nikujuze kwamba tumeshajipanga vizuri kuikomboa nchi, wa Tanzania wasiogope kutoka ndani na wala wasiogope hayo magari hivyo ni vitisho tu...
Wakuu kwema katika jina yule atupatiae mkate wa kila siku.
Mimi ni mtanzania tena maskini tu wa kutupa ila najivunia nao maana vidole siku zote havilingani.
Rejea mada tajwa hapo juu natamani kukutana na wakuu tajwa hapo juu sio kwa nia mbaya bali kutoa ushauri wangu binafsi juu ya uchaguzi...
https://x.com/marxistJorge/status/1976999644975841453?s=19
"Watoto wetu wanahangaika sana , hayupo hapa Kuwaua wala kuwpaiga .Na sisi pia tunatipitia kile kile wanachopitia watoto wetu.Ni lazima tuwaunge Mkono " . TUSIKUBALI KUHADALIWA KWA PESA AU NAFASI ".
Haya ni Maneno ya Hasira na Uchungu...
Ukifanya upembuzi yakinifu utagundua viongozi wengi serikalini sio kwamba hawaoni yanayotendeka.
Shida inakuja ni kuwa wenye uwezo wa kusema hapana ni wananchi wenyewe. Hivyo viongozi wengi wanasubiri kuona nguvu ya umma ikifanya maamuzi.
Fuatilia kwa umakini tu huko maofisini utagundua...
Mgombea ubunge wa Jimbo la Mafinga Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dickison Lutevele maarufu kama Villa, amewahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura ifikapo Oktoba 29, akiwahakikishia kuwa hali ya usalama itaimarishwa ili kila mtu ashiriki uchaguzi kwa amani.
Akizungumza...
Sitaki kuamini kwamba siasa za ndani ndio zimetufikisha hatua hii...
Ila inawezekana Taifa linapokea vitisho vya kiusalama vinayopelekea kua na hari hii tuliyonayo na watawala hawana namna bali ni kutii
Kama sio tatizo ni nini!? Mbona mambo mengi yanaepukika, tuache upumqavu/upu-uzi huo mara...
Hapo jijini Mwanza wakati akitoa hotuba yake alianza kulalamika kikohozi kihozi dadeki tupo naye mpaka october 29 hafiki mbali huyu amini nawaambia afiki mbali.
Bado nawaza Rais wa nchi yeyote anawezaje kuongoza Taifa ambalo jeshi limegawanyika?
Yaani watu unategemea walinde mipaka halafu wanakuwa wamegawanyika!!
Unawezaje kutoboa?
Kawati huo huo wananchi hasa vijana ambao ni nguvu kazi wamekukataa?
Najiuliza nchi Kama hiyo unawezaje kuiongoza?R
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi, amewataka Watanzania kudumisha mshikamano na kulinda umoja wa kitaifa kwa kuheshimu vyombo vya ulinzi na usalama.
Akizungumza leo Oktoba 05, 2025 katika ukumbi wa White House jijini...
Mbona kozi zingine za majeshi huwa hamfanyii mitaani, huwa mnaenda kwenye maeneo maalumu yaliyojificha mnafanya kozi zenu huko kimya kimya bila kuleta bughudha kwa raia wa kawaida?
Kwa nini kipindi hiki cha uchaguzi mkuu mnafanya magwaride mtaani, tena mmeungana majeshi yote, na hiyo yote baada...
Kama vyombo vya usalama vitaruhuru familia nne zitawale watanzania milion 65 ! Tatizo ni uzalendo. Tuna vyombo vya machawa sio vyombo vya usalama .
familia hizo ni
Mwinyi
Samia
Kikwete
Akiongea kupitia mtandao wa Youtube, Shushushu wa zamani wa Idara ya usalama wa Taifa, ndugu Evarist Chahali amesema kuwa maofisa wa kitengo wamedakwa huko Marekani wakiwa ktk plan za kuwadhuru Wanaharakati wa Kitanzania waishio huko.
Chahali akasema kuwa walengwa ni watanzania waliokuwa...
Boss kama utaweza kuzingatia ushauri itakua vyema kwa usalama na utulivu wako na familia kwa ujumla ondoka ulipo nenda sehemu yenye utulivu na amani.
Kwa sasa mahakama ni mikono yao jaribu kuiepuka kama inawezekana ni ushauri tu nakupatia.
Boss wakikuonya huwa wana maanisha kuwa you are next...
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kupitia kanuni zake mpya za mwaka 2023 imefungua ukurasa mpya katika biashara ya kubadilisha fedha za kigeni. Kwa mara ya kwanza, maduka ya kubadilishia fedha yameruhusiwa kufanya malipo kupitia akaunti za benki, hatua inayolenga kuongeza usalama wa miamala na...
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Amani Golugwa, ametoa wito kwa vyombo vya ulinzi na usalama kuacha kuwashambulia wananchi wanaojitokeza kuonesha hisia zao katika masuala yanayohusu maisha na mustakabali wa taifa.
Golugwa ameyasema hayo wakati wa mazungumzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.