usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje unajenga nyumba ya makazi karibu na higway? Hujali usalama wa familia yako

    Unakuta mtu kajenga nyumba ya kuishi 40m kutoka bara bara kuu tena imejitenga na centre hivyo magari kwa maeneo hayo yanatembea spidi kubwa. Angalau 100m kutoka barabara kuu ni salama kwa makazi endapo gari litaacha njia.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya maridhiano nini kinafuata, uchaguzi unarudiwa au, Isije kuwa ni maridhiano ya kugawana vyeo maana kila baada ya uchaguzi maridhiano

    Kwa akili ya kawaida mnapokuwa na mgogoro mnatafuta sababu za mgogoro harafu ndo mnakubaliana kuutatua huo mgogoro , Hapo ili kupata suruhu huwa tunatafuta mtu watatu ambaye atakaa katikati kuhakikisha pande zote mbili zinaridhia yale yaliyojadiliwa na kuafikiwa yanatekelezwa. Kama sababu za...
  3. Kevzy

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali naomba mlimalizie Daraja la Kimara mnahatarisha usalama wa wananchi

    Kazi iendelee Kwenu Serikali, mliyempa kandarasi ya kujenga dalaja hilo tajwa hapo juu naomba mumshupalie alimalizie, na kama mnalirekebisha ninyi wenyewe naomba mfanye haraka kulimalizia, limalizieni au lirekebisheni haraka Kama wewe ni mkazi wa Kimara utaelewa nazungumzia nn! Simu yangu...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa na Safari Leo, Nikashauriwa na Afisa wa Cheo Cha Juu wa Vyombo Vya Usalama, Nisisafiri

    Leo ilikuwa nisafiri kuelekea Dar, siwezi kutaja kutoka mkoa gani, maana nitakuwa namweka wazi aliyenishauri. Mkuu huyu wa vyombo vya ulinzi na usalama, ngazi ya mkoa, aliniambia kuwa siyo salama kusafiri leo. Nilimwuliza, mbona tumetangaziwa hali ni shwari, tuendelee na kazi za kawaida...
  5. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Alloyce, P.R.: Nguzo za kimkakati kuhakikisha Idara za Usalama wa Taifa zinafanya kazi ipasavyo

    Katika ulimwengu wa sasa unaobadilika kwa kasi ya ajabu, usalama wa taifa hautegemei tu idadi ya watumishi au zana za kivita, bali unategemea ufanisi, weledi, na wepesi wa Idara za Kijasusi na Usalama katika kubaini, kuchambua, na kuzuia matishio. Ili kuhakikisha idara hizi (kama vile TISS...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Polisi Dodoma: Tumeweka askari wa kutosha sana Mtaani, hali hiyo itaendelea mpaka tutakapoona tarehe iliyopangwa tumepita kwa Usalama

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limesema kuwa majukumu ya ulinzi na usalama wa rai na mali zao ni jukumu lao na sio kikundi cha watu Akizungumza wakati akihojiwa Jambo Tv, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, ACP Gallus Hyera amesema kuwa kama watu wanazo taarifa zinazoashiria uvunjivu wa amani ni...
  7. R

    JamiiForums Tanzania JWTZ kuwahakikishia watanzania usalama si kuwapiga risasi au kuwatisha, ni kuwahakikishia HAKI

    Nimesoma Daily news kuwa JWTZ inawahakikishia wananchi usalama. Bila kutenda haki hakuna uhakikisho wowote. Sana sana mtawapiga risasi, mtawaua watanganyika wenzenu na laana yao itakuwa juu yenu. Hakikisho la kweli ni KUTENDA HAKI. Wahimize hao wanaowatuma watenda HAKI na amani itatamalaki...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba: JWTZ wasiingizwe kwenye siasa, walinde usalama wa nchi.Je, jeshi letu limeingizwa kwenye siasa?

    Amenukuliwa mzee Warioba👇
  9. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Wakati wa utawala wa hayati JPM usalama wa taifa ilikuwa idara makini. Taarifa zilitoka kwa wananchi. Ndio maana hayati JPM alifanya kazi kwa ufanisi

    Utawala wa hayati JPM ulifanya kazi kwa ufanisi na uliweza kuwaridhisha wananchi kuwa upo makini na ulijali maslahi ya wananchi. Idara ya usalama taifa ilikuwa karibu na wananchi. Ndio maana hata kama ni kero ndogo namna gani rais alikuwa na taarifa nayo kwa undani. Kero za wananchi...
  10. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Meya: Kwanini umeacha bar ya bambataa iendelee kufanya kazi na iko barabarani inahatarisha usalama wa walevi

    Kuna Bar inaitwa Bambataa iko barabarani kiasi kwamba walevi ndani wakijaa wengine wanasimama barabarani , nimefatilia kwa nini yenyewe haipo katika list ya Bar hatarishi nikaambiwa ni ya Kigogo mmoja ambae hawezi kuguswa na so called Meta wa jiji
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba, Kauli zako zinahatarisha Usalama wa Nchi

    "Wamepanga kupiga Risasi Waandamanaji ili Waseme ni Serikali " Hiii Kauli haikupaswa kutolewa na Mtu wa aina yako kiuongozi hata km ni Serikali Haramu. Hii ni Kauli inayovua Nguo Vyombo vya Usalama na wakati huohuo kuweka Usalama wa NCHI hatarini.
  12. M

    JamiiForums Tanzania JWTZ wazalendo waungeni Wananchi 7/7, Viongozi wazalendo kumbukeni mafunzo yenu kutoka chuo cha Taifa cha Ulinzi, kuhusu usalama wa Taifa

    Usalama wa Taifa si tu kutokuwepo kwa vita, usalama wa Taifa unahusu umoja wa Kitaifa, Utulivu wa kisiasa, uchumi, teknolojia, masuala ya kijeshi na mazingira. Chadema kimekwisha kuwa chama cha kitaifa kutumia taasisi za serikali kama Jeshi, polisi na usalama kukizuia kufanya kazi ni...
  13. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Tanzania iko katika matishio ya amani na usalama chanzo wivu wa rasilimali zetu

    Katambi ajitetea na agizo lake la kuzuia mikutano :'Sijakiuka Katiba', awashukia vikali CHADEMA Akizungumza leo Juni 27, 2026,wakati wa maadhimisho ya siku ya wazee duniani huko mkoani Shinyanga, Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobasi Katambi amekanusha juu ya kuvunja Katiba na kueleza matishio ya...
  14. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru, umeme ni WA grid ya Taifa unakatika masaa 5, usalama wa nchi u wapi?mwizi wa RASIRIMALI akiukata anatuua wote

    Miaka 60 ya kujitawala, Taifa linategemea umeme wa Grid ya Taifa Ikipata itilafu kama ya Jana Taifa Zima kasoro ikulu tunakuwa gizani. Kwa Nini kila mkoa usiwe na CHANZO chake cha kuzalisha umeme IKITOKEA IMEKATIKA mkoa unawash? Mwizi wa RASIRIMALI alkipitia hapo si atatumaliza wote kasoro ikulu?
  15. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Ninaliona tatizo kubwa kwa kamati ya kuu ya ulinzi na usalama wa Taifa letu, HAYA matamko ya wanasiasa ni ushauri wao kweli? 29/10 mlikuwa wapi?

    Sijui ninayo yaona ndiyo mnayoyaona, ILA kiukweli simwamini Katambi, Wala simwamini mwiguru kama kweli Taifa lipo hatarini kuchafuka, km ni kweli kwanini hawakuona hatari ya 29/10/2025?
  16. N

    JamiiForums Tanzania Je, unawafahamu wafanya-kazi wa USALAMA WA TAIFA?? Uliwahi kuwaona?? Wasome hapa.

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. #USALAMA_WA_TAIFA Je, unawafahamu watu wa Usalama wa Taifa?? Uliwahi kuwaona?? Uliwaona lini?? Uliwaona wapi?? Uliwezaje kuwatambua kama hao ndio wenyewe na sio wanakudanganya?? Nini maana halisi ya Usalama wa Taifa?? Ndugu yangu Mtanzania, sasa ngoja leo...
  17. Cholowao

    JamiiForums Tanzania Je, Tuko Tayari Kukabiliana na Vitisho vya Usalama Julai 7?

    Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na taarifa na mijadala mbalimbali kuhusu uwezekano wa matukio ya vurugu na uvunjifu wa amani yanayoweza kutokea tarehe 7 Julai. Ingawa ni muhimu kutokuwa wepesi wa kuamini kila taarifa inayosambazwa bila uthibitisho rasmi, ni wajibu wa kila mwananchi...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Madai ya Sheikh Mwaipopo Kunusurika Utekaji: Tishio Halisi au Kiki za Kusafisha Bonge la 'Backfire' la Kauli ya Kutahiri Watu?

    Wakuu salama, Kama mnavyofahamu, nchi yetu hivi karibuni imekuwa kwenye taharuki kubwa ya matukio ya watu kutekwa na kupotea. Lakini katika hali ya kushangaza na inayoacha maswali mengi, Sheikh Said Mwaipopo naye amejitokeza na kudai kuwa kuna watu walifika ofisini/nyumbani kwake wakiwa na...
  19. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Waziri wa usalama wa taifa nchini Israel, Itamar Ben-Gvir anyimwa visa ya kutimkia Marekani.

    Niaje waungwana Wakuu niliwahi kuandika humu mara kibao, kwamba Dunia inakwenda inabadilika hatua kwa hatua kiasi ya kwamba kuna mabadiliko mengine yanatokea, au yanaweza kutokea katika mazingira ambayo wengine hawakuyategemea. Hii sio bahati mbaya, bali ni uhalisia wa Dunia jinsi...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Atakaye Jaribu Kuandamana Atajuta na Kuilaani Siku Aliyozaliwa. Amani Na Usalama Wa Taifa ni Lazima Vilindwe kwa Jasho na Damu ili Visitoweke

    Ndugu zangu Watanzania, Duniani Kote na Mataifa yote yanayojitambua hulinda Amani Na Usalama kwa nguvu zote na kwa kila njia . Mataifa yote kuanzia yale Makubwa hadi Madogo hulinda Amani na Usalama kwa jasho na Damu. Tangu enzi na Enzi tokea kuumbwa kwa Ulimwengu Huu Usalama wa Himaya ama...
Back
Top Bottom