usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Nashauri Elimu ya Uvumilivu hasa wa Kimapenzi (Kimahusiano) kwa Majeshi ya Ulinzi na Usalama iwe ni lazima

    Jeshi la polisi mkoa wa Ruvuma, linamshikilia Askari Polisi Keneth Mkwela, kwa kosa la kumjeruhi mwanaume mwenzake kwa kitu chenye ncha kali anayejulikana kwa jina la Andrew Milanzi, baada ya kumfumania akiwa na mwenza wake kwenye nyumba ya kulala wageni. Kutoka: Habari Star TV Tanzania
  2. JamiiForums Tanzania Polisi wa Doria usiku, walinda amani na usalama au wahalifu?

    Ni saa 5 na nusu usiku jana natoka kwenye Restaurant moja Masaki na rafiki yangu Muhindi, nampeleka Upanga mini nirudi nyumbani... Mtaa tuliokiwa ni very busy area na magar yamepaki nje, mbele yangu naona gari ya Polisi.. PT Noah, imenikaribia naona anapunguza mwendo, nikajua nimeblock njia...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Ukiona au kuhisi Idara nyeti ya Usalama unapambana na watu ndani basi anza kulia

    Leo nitaongea Jambo moja la ajabu kidogo. Nahili Jambo naliongea sio Kwa Nia mbaya Ila Kuwa fungua macho nakuitahadharisha serikali ikiwa kuna ukweli basi wajuwe kule tunaenda watatuumiza na watafanya watanzania wasifurahie utanzania wao na Taifa Lao. Mbinu za kiusalama ambazo naziona Kwa sasa...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa Kamanda wa Polisi (RPC) - Tabora: Hali ya ulinzi na Usalama mali na raia manispaa ya Tabora ni mbaya!

    Sielewi polisi wa mkoa wa Tabora na hususani Manispaa ya Tabora chini ya RPC wenu mnakwama wapi. Tabora manispaa ya hatari ya miaka ya 1990s na kidogo 2000s iliyokuwa imejaa uhalifu na ujambazi ni kama inarudi taratibu. Miaka hiyo majambazi hawakuwa na urafiki na taa za barabarani. Kila...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali isiishie tu kukanusha madai ya wapinzani kuwa maisha yao yapo hatarini, bali iwahakikishie usalama wao

    Kumekuwa na madai mengi ya wapinzani kuwa maisha yao yapo hatarini kwa kuwa wanatishiwa maisha na "watu wasiojulikana" Imefikia hatua ya viongozi wetu wa upinzani, hususani wa Chadema, kuikimbia nchi hii na kwenda kutafuta hifadhi ya kisiasa nje ya nchi. Miongoni ya viongozi waliopata Hifadhi...
  6. JamiiForums Tanzania Mashamba ya Mkonge Katika Manispaa ya Morogoro Usalama Umezingatiwa?

    Wanabodi, Hili bandiko la ulizo kuhusu usalama wa maisha ya wakazi wa manispaa ya Morogoro kwa kuwepo mashamba makubwa ya mkonge mali ya magereza huku idadi ya wakazi wake kuzidi kuongezeka na mahitaji ya ardhi kuwa makubwa. Eneo kuanzia Mkambarani hadi Kingolwira kuna mashamaba makubwa kando...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa katika suala la Utawala Bora na Usalama

    RIPOTI ya kwanza ya mwaka 2019 ya Mpango wa Afrika wa Kujitathmini Kiutawala bora APRM umebaini Tanzania kufanya vizuri kwenye suala la ulinzi na usalama mambo ambayo yametajwa na ripoti hiyo kuwa yamekuwepo tangu kupata uhuru. Ripoti hiyo imeipongeza Tanzania katika kusimamia misingi ya haki...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Watu wasiofahamika wa Usalama wana nguvu kuzidi demokrasia ya Watanzania wote

    Kama ni kweli Serikali imetumia usalama kugushi makaratasi ya uchaguzi, kupanga matokeo ya uchaguzi Tanzania nzima na kufilisi wapinzani wafanyabiashara na hata kuwajeruhi au kushiriki kwa namna yeyote kwenye mauaji ya wapinzani ni tishio kubwa sio tu kwasasa lakini kwa miaka mingi sana ijayo...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Sheria ya Usalama Barabarani ya mwaka 1973 mapungufu yake na mapendekezo

    SHERIA YA USALAMA BARABARANI YA 1973 INAELEZA NINI KUHUSU MWENDOKASI? Kifungu cha 51 (8) kinatamka pamojanna mambo mengine (a) Katika maeneo ya makazi mwendokasi usizidi kilomita 50 kwa saa (b) Katika maeneo ambayo si makazi, mwendokasi utadhibitiwa kwa alama za barabarani (c) Magari...
  10. JamiiForums Tanzania Tulioshuhudia Walimu na Watumishi wa Serikali waliopangiwa vijijini wakaacha kazi au kuhama kwasababu ya ushirikina uliokothiri mwaga hapa ushuhuda

    Sina namna yoyote ya kukatisha watu tamaa lakini kiukweli kuna maeneo bila kuwa mtu wa dini au kuwa na kinga ni ngumu sana kuvumilia mikiki mikiki ya Sayansi ya Kitamaduni. Nakumbuka huku Mbeya wilaya ya Songwe kuna dada alipangiwa huko, sasa alivyokuwa anaadhibu wanafunzi kwa viboko kuna...
  11. JamiiForums Tanzania Mchango wangu kwa idara ya usalama wa Taifa juu ya usalama kutoka katika mrengo wa kimazingira

    Habarini wanajamii intel... Leo nimeona ni vema namimi kutoa contribution yangu kwa idara yetu nyeti ya usalama wa Taifa juu ya usalama kutoka katika mrengo wa kimazingira - Environmental Security Kabla sijaendelea naomba kudeclare; *Mimi ni kijana MTANZANIA mzalendo kwa taifa langu. *Mimi ni...
  12. JamiiForums Tanzania Kiboko ya majanga ya moto na vifaa vya usalama Tanzania

    KUTOKANA NA ONGEZEKO LA MATUKIO YA MOTO MAENEO MBAKIMBALI YAKIWEMO MAOFISINI, MAJUMBANI, MASOKONI,MASHULENI NA KWINGINEKO KUTEKETEA KWA MOTO NA KUTOA HASARA KUBWA. Ashe Creation Company Limited ni kampuni iliyosajiliwa kisheria na brella na kufuata taratibu zote za sheria ya usajili wa...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Donald Trump aliwauliza washauri wake wa usalama iwapo aishambulie Iran kijeshi

    Rais Donald Trump aliwauliza washauri wake iwapo atoe amri ya kushambuliwa kwa vinu vya nyukilia vya Iran akiwa amebakiza miezi 2 aondoke madarakani. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa jarida la New York Times. Hata hivyo washauri wake wa usalama walimuonya kutofanya hivyo kwa sababu hatua hiyo...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kwa Vyombo vya Usalama

    Ninavipongeza vyombo vyote vya Usalama pamoja na mifumo yote ya usalama wa Taifa la Tanzania. Kazi yetu iliyotukuka na inayoogofya hata kusimuliwa hapa ndio ujasiri wetu kama Taifa. Kuna Jambo linataka tokea na huenda Jambo hili lisipoangaliwa kwa umakini tunu za Taifa hili zitakuwa ni wimbo...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna nini kati ya CHADEMA, Marekani, Ujerumani, Ubelgiji, Amnesty International na Kenya dhidi ya Usalama wa Tanzania?

    Wakuu, Hili ni bandiko la swali ili kupata uelewa mpana kuhusiana na taswira mpya wanasiasa wa Tanzania na washirika wao wanavyoonesha katika siku za hivi karibuni. Je, kuna uhusiano gani wa ziada nje ya utaratibu wa kawaida kwa nchi tajwa hapo juu na shirika mojawapo la haki za binadamu na...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe akagua & kufunga Mafunzo ya Kijeshi

    DC Jokate akiteleza majukumu yake kikamilifu kwa kuzingatia falsafa ya Hapa Kazi Tu.
  17. T

    JamiiForums Tanzania Mwenye kitabu hiki nakiomba

    Mwenye kitabu cha Evarist Chalali kinachousiana na Afisa usalama ni nani, naomba anisaidie. 🙏🙏🙏
  18. JamiiForums Tanzania Kupunguza idadi ya Maegesho Kariakoo ili kuongeza usalama wa Watu na mali zao

    Nimesoma hivi karibuni Ufaransa itapunguza maegesho 70,000 ya magari katika mji wa Paris,hii inatokana na sababu kuwa maegesho ya magari yanachukua takribani nusu ya eneo la mji wa Paris yakiwa na idadi ya asilimia 13% ya watu katika mji wa Paris. Hapa Tanzania eneo la Kariakoo ambalo ni eneo...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Balozi wa Marekani nchini Tanzania: Serikali ihakikishe usalama wa Viongozi wa Upinzani, iwaachie waliokamatwa na kurejesha mawasiliano kwa wananchi

    Balozi huyo ameandika: Reports of arrests of opposition leaders are extremely concerning. I urge the Government to ensure the safety and security of all opposition leaders, cease these targeted arrests, release detainees, restore telecommunications, and afford due process under the law to all...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini tozo kwa makosa ya usalama barabarani zisishabihiane na uzito wa kosa husika?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Kwanini tozo kwa makosa ya uvunjifu wa sheria za usalama barabarani zisishabihiane na uzito wa kosa husika kama ambavyo kodi ya PAYE inavyoshabihiana na ukubwa wa mshahara? (1) Kwanini dereva wa gari iliyofanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…