usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwa usalama wa chombo chako cha moto fikiria Blackhorse Africa

    Blackhorse africa ni kampuni ya kisasa yenye uwezo wakukuondolea wasiwasi wa magri yako bajaji, pikipiki na trecta, kwa teknolojia ya kisasakabisa unaweza ukakiona chombo chako cha moto kupitia simu yako popote ulipo unaweza ukajua spidi yake, unaweza ukajua kipo wapi, kimesafiri umbali gani na...
  2. JamiiForums Tanzania Mahitaji ya kamera kwa majumbani na ofisini

    Kwa usalama wa nyumbani na usalama wa ofisi yako Black Horse Africa tupo kwaajili yako. Tuna kamera za kisasa zenye uwezo mzuri wakuona hata kizani bila kupoteza taswira halisi Karibu tukuhudumie .gharam zetu ni nafuu sana wamasiliano 0782719980
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Samia Suluhu Personal Security is Porous

    Women empowerment inalazimishwa mahali haifai. This people are just trying to copy what men normally do but in a dangerous exaggerated way. The Head of presidential security Tanzania Mwenye amepanga hao wanawake is doing a great injustice to Suluhu. Don't put too many women around the...
  4. JamiiForums Tanzania Bandari zetu nazo ziwe chini ya Ofisi ya Rais kwa Usalama wa Taifa

    Naona sasa ni muda muafaka bandari zetu zikawa 'monitored directly' kutoka ikulu na special branch of IT graduate and highly motivated TISS operatives. ... hii itasaidia kupunguza safari za kushtukiza ambazo, naanza kuona, hazileti tija yeyote katika kudhibiti upigaji na kuongeza ufanisi! Picha...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Akutana na Rais Mstaafu wa Nigeria, Olesegun Obasanjo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani amekutana leo na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Nigeria Oluseguni Obasanjo. Taarifa zaidi kutolewa ======== Rais wa Jamhuri ya Muungano leo Mei 3, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Nigeria...
  6. JamiiForums Tanzania Je, Vyama vya wafanyakazi vimeshawahi kuzungumzia Usalama mahala pa kazi

    Ni kweli kwamba mishahara huongeza ufanisi wa kazi, lakini usalama wa kazi huongeza vitu vingine ikiwamo kuepusha majanga ambayo yangepelekea mtu kulazwa hospitali kwa muda mrefu ambayo kwenye long run inapunguza utendaji kazi. Tunaweza sana kuheshimu mishahara lakini nikitazama mazingira...
  7. JamiiForums Tanzania Moja ya picha adimu sana ya wakuu wetu wa Ulinzi na Usalama

    Baada ya huzuni ya mwezi mmoja, sasa wanaendelea na majukumu yao kwani Taifa la watu mil 60 liko chini ya uangalizi wao, Ukubwa ni dawa. Sijui nini kilichowafanya wazee hawa angalau wakacheka.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Rushwa Usalama barabarani - Iringa

    Jana nilikuwa safarini mkoa wa Iringa. Njiani, ukipita Igingilanyi kwa mbele kuna askari polisi wawili walikuwa wanavizia magari yanayokwenda spidi wakiwa wameficha gari yao aina ya spacio. Nilichoona ni kwamba mabasi yanapita kasi huku wakidondosha pesa. Hii ni aibu. Kuna haja ya kubadilika...
  9. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama anakiri hadharani ‘Maadui kupitia mitandao hawakamatiki’

    Hii mbona inafikirisha sana, maana kwa dunia hii ya sayansi na teknolojia taifa linakuwa na maadui ambao wanakuja kwa kila namna. Wapo wanaoonekana na wapo wasioonekana. Kama wapo wasionekana ila uzandiki wao unaonekana kupitia mitandao lakini hawakamatiki hilo ni tatizo kubwa. Kwamba wapo...
  10. JamiiForums Tanzania Tujiulize kuhusu usalama wa vyakula Tanzania

    wakuu, leo mtujikite kwenye mada ya vyakula, katika dunia ya sasa 90% ya vyakula tunavyokula ni industrial processed ni sehemu chache sana zilizobaki hasa vijijini ambapo unapata chakula pure, ambacho hakina preservative, ila mostly vyakula tunavokula vinatoka kwenye industries na makampuni...
  11. JamiiForums Tanzania Kwako Mkuu wa Mkoa wa Dar (Kesi za Wizi Majumbani Zimeshamiri). Usalama hakuna

    Mkuu wa Mkoa wa Dar pamoja na Mambosasa. Hii hari ninayo isikia na kuona mtaani na kila ninapotembelea vituoa vya polisi sio nzuri. Usalama wa raia na mali zoa haupo tena. Watu wanavamiwa mchana, usiku, asubuhi na jioni. Mko wapi? Mfano: Staki shari kuna kesi kibao za watu kuibiwa. Kule...
  12. JamiiForums Tanzania Kuingiliwa kwa Sera na uendeshaji wa vyombo vya Ulinzi na Usalama, wabunge jadilini hili

    Siyo siri, katika Awamu ya Tano iliyopita Vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama viliingiliwa kiutendaji kiwazi wazi. Hii inaweza leta athari kubwa sana lisipokabiliwa mapema. Tunaona sasa hivi kwa mfano hao vijana wa JKT walioahidiwa ajira utafikiri wanaajiriwa kiwandani. Kucheza na hivi vyombo...
  13. JamiiForums Tanzania Maoni: Misingi ya Usalama wa Taifa. Sizungumzii TISS

    Tunapoongelea Taifa, inatakiwa iwe MWIKO kuachia maamuzi yoyote ya kitaifa yafanywe na mtu mmoja au kikundi kimoja cha watu, bila kuwa na vikundi vingine huru (kiufanyaji kazi) vyenye jukumu la kuyapima maamuzi hayo na kuwa na uwezo wa kuyatengua yanapothibitika kuwa hayana faida, yanavunja...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nini jukumu la vyombo vya ulinzi na usalama kuwadhibiti wanasiasa wanahujumu nchi kwa ndimi mbili?

    Naomba tujiulize vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimeshindwa kuingilia kati huu uchafuzi wakisiasa unaofanywa na viongozi waandamizi wakisiasa? Hatuwezi kuwa na Taifa ambalo viongozi leo Wana msimamo huu kuhusu rasilimali na kesho wana msimamo ule kuhusu rasilimali zetu na hakuna...
  15. JamiiForums Tanzania Polisi endesheni magari yenu kwa kufuata Sheria za usalama barabarani, hamko juu ya Sheria

    Polisi wamekuwa wakiendesha magari yao vibaya sana bila kufuata sheria na taratibu za barabarani. Watu wengi wamegongwa na kufa, na wengine kujeruhika kutokana na uendeshaji wao mbovu. Pia uendeshaji mbovu huaribu vyombo ambavyo vimenunuliwa kwa Kodi za wananchi. Na mbaya zaidi magari yao...
  16. JamiiForums Tanzania Orodha ya Wakurugenzi Wakuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) tangu Uhuru

    ORODHA YA WAKURUGENZI WAKUU WA 'TISS' TANGU UHURU. Idara ya usalama wa Taifa (TISS) imeundwa kwa sheria ya bunge namba 15 ya mwaka 1996 (Tanzania Intelligence and Security Service act No. 15 of 1996) iliyosainiwa na Rais Benjamin Mkapa tarehe 20 mwezi Januari mwaka 1997. Sheria hiyo ndio...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kuna Mzanzibar amewahi kuwa Mkuu wa chombo Cha Usalama hapa Tanzania?

    Tunaposema vyombo tunazungumzia JWTZ, TISS, Magereza, Uhamiaji na Polisi. Je, Kuna wazanzibar wamewahi ongoza vyombo hivi katika nafasi ya juu kabisa( mkuu wa chombo)? Tuwafahamu Kama wapo!
  18. JamiiForums Tanzania CAF yamtaja afisa usalama mechi ya Simba Vs AS Vita

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limemteua Inspekta Hashimu Abdallah kuwa Ofisa Usalama wa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF CL) kati ya Simba SC na AS Vita Club FC (DR Congo) utakaochezwa Aprili 3, 2021 saa 10;00 jioni katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam, Tanzania...
  19. JamiiForums Tanzania Mambosasa: Watu wengi wamejeruhiwa kutokana na kukanyagwa na kukosa hewa wakati wa kuaga Mwili wa Rais Magufuli

    Dar es Salaam. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema baadhi ya wananchi walioshiriki shughuli ya kumuaga Rais John Magufuli wamejeruhiwa baada ya kukanyagwa na wenzao. Mambosasa ameeleza hayo leo Jumapili Machi 21, 2021 alipoulizwa na Mwananchi Digital kuhusu...
  20. JamiiForums Tanzania Nilimshinda kwa hoja afisa usalama akaondoka kwa aibu

    Alhamisi mapema nikiwa job tukiwa tumepata taarifa ya msiba wa Rais Magufuli,tukiwa hatujui pa kushika au pakuachia alikuja afisa mmoja wa usalama kikazi. Nikampokea nikasalimiana naye vizuri as usual. Ila siku hii hakuchangamka sana kutokana na taharuki ya msiba. Nikamwambia kila kitu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…