Fadhili Mpunji
Tarehe 20 na 21 Juni Ethiopia ilikuwa mwenyeji wa mkutano wa amani wa Pembe ya Afrika uliofadhiliwa na China. Huu ni mkutano wa kwanza wa namna hii kuzikutanisha Ethiopia, Eritrea, Djibouti, Kenya, Somalia, Sudan na Sudan Kusini, kufanyika kwenye makao makuu ya Umoja wa Afrika...