Yanga SC mkimaliza na hizi 'mbwembwe' zenu za Usajili ambazo mara nyingi huwa zinawaponza mnitaarifu ili nije na Uchambuzi wangu Kwenu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,523
108,810
Kwa Kuanzia tu ni kwamba Daktari wa Timu ya Taifa ya Congo DR amewashangaa Yanga SC Kumsajili Beki Shabaan Djuma ambaye ni 'proin injury Player' wakati aliwashauri Wasimsajili.

Pili baada ya Kocha Nabi kurejea Likizoni sasa amezozana na Uongozi wa Yanga SC kwa Kumsajili Mshambuliajj Herritier Makambo ambaye Yeye ( Kocha Nabi ) hamkubali na hakumtaka.

Kazi ipo....!!!!
 
Wamesajili na Mwana mziki,,wameachana na pumba fiston abdul razak na sasa wamechukua mashudu fiston mayele kalala

Screenshot_20210802-123047.jpg
 
Back
Top Bottom