usahihi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zakaria Maseke

    Mahakama ya Rufaa inaenda kupitia upya usahihi wa haki ya raia wa kigeni kumiliki ardhi nchini Tanzania kwa njia ya kurithi

    Unakumbuka ile kesi ambayo Mahakama Kuu ya Tanzania iliamua kwamba Raia wa Kigeni wanaweza kumiliki ardhi nchini Tanzania kwa njia ya kurithi (where High Court ruled that non-citizen heirs could own land by way of inheritance)? Uamuzi ambao ulitolewa na Mahakama Kuu mwaka 2011. Lakini serikali...
  2. R

    Sayansi imeshindwa kutabiri kwa usahihi matetemeko ya ardhi?

    Huwa kila zinapokuja hizi habari za matetemeko ya ardhi swali hili hunijia akilini. Ni juzi tu huko Uturuki maelfu ya watu wamekufa kutokana na tetemeko la ardhi. Sayansi ya maumbile ya dunia (Geology) imeshindwa kubashiri na kuepusha janga linalotokana na mitetemo ya ya dunia?
  3. Meneja Wa Makampuni

    Rais ndiye anajua kwa usahihi miradi itaisha lini na kiwango cha uchumi wa taifa letu

    Rais ndiye anatafuta pesa zote za miradi na kujenga uchumi wetu. Hivyo ni yeye ndiye anajua kwa undani zaidi ukamilikaji wa miradi na level ya uchumi wa taifa letu. Tuwe makini kumsikiliza Rais wetu anapohutubia.
  4. Chaula_J

    SoC02 Jinsi ya kuutunza na kuutumia muda kwa usahihi ili ufanikiwe kutimiza malengo mbalimbali uliyojiwekea?

    Kila mtu katika maisha ana malengo yake ya kimafanikio, yanaweza kuwa mafanikio ya kiuchumi, kisiasa, kielimu au katika nyanja nyingine zozote za kijamii. Lakini watu wengi hushindwa kutimiza malengo yao kama vile walivotarajia kutokana na sababu tofautitifauti, ikiwemo matimizi mabaya ya muda...
  5. A

    Ijue afya ya udongo ili utumie mbolea kwa usahihi

    1. Afya ya udongo ni nini? Afya ya udongo ni uwezo wa udongo kukidhi mahitaji ya ukuaji na uzalishaji wa mimea kama vile: virutubisho, maji, hewa pamoja na uwezo wa udongo kushikilia mmea 2.0 Virutubisho 16 muhimu kwa ajili ya ukuaji wa mmea A. Virutubisho vinavyohitajika na mmea kwa kiasi...
  6. Marumeso

    Kaa mbali na Mwanamke asiyejua kuandika jina lake kwa usahihi

    Kaa mbali sana na mwanamke anayeandika jina lake kwa staili hii akiamini amelipatia - Mtu anaitwa Lilian yeye anajiandika Lilyan/Liliani au Lylyany. - Janeth yeye anaandika Janethi/Janeti/Janethy - Mary au Maria yeye anaandika Marry/Merri/Meli/Malia - Priscilla/Priscillah anaandika...
  7. Interest

    Waziri Mwigulu: Sijasema fedha za AZAKI ipewe Serikali

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amemaliza mkanganyiko wa taarifa kuhusu fedha za USAID na AZAKI ambayo ilionekana kutoeleweka vizuri na baadhi ya vyombo vya habari, wanaharakati na wadau mbalimbali. Itakumbukwa kuwa juzi akiwa Dodoma alifanya kikao kwa njia ya mtandao na...
  8. M

    Usahihi wa Takwimu za Mikopo Awamu ya 4, 5 na 6

    Watu wanapotosha sana kuhusu mikopo hasa kwenye awamu ya 5 u sahihi wake ktk source ya uhakika uko hivi. Magufuli aliacha deni la $24,652M Alilikuta deni ..... $15,261M Samia amelikuta deni .. $24,652M Kwa miezi hii kalifikisha..$28,054 https://www.bot.go.tz/Publications/Filter/1
  9. Superbug

    Je, nani anajua kwa usahihi zero distance (0) inaanzia wapi?

    Kwenye kuhesabu kilometers na mileage za kila mkoa Kuna zero na hapo kwenye zero ndio huanzia sifuri ya mkoa kwenda mikoa mingine Sasa kwa morogoro Kuna alama iliwekwa na mjerumani je Nani anajua ilipo? Mimi naifahamu barabara kwa anaeijua aseme! Na kwenye Uzi huu kila mtu ataje zero point ya...
  10. F

    What is the right perspective?

    Is there Illicit Money (fedha haramu)? I met a Chinese Project Engineer stationed in Tz, in our exchange, he wondered as to what is "Illicit Money" He has come across the jargon just here in Africa. Worried if there exists Illicit Money and Clean Money in pursuit of liquidity, the...
  11. Jasusi Mbobezi

    Uongo mwingine wa Spika Ndugai kuhusu Yesu kwenda Yerusalemu

    Nimesikia bwana Ndugai ameomba radhi kwa kusema Yesu ana mke, lakini hajaomba msamaha kwa kudanganya kuwa alikwenda Yerusalemu kuhesabiwa. Hata kama alimaanisha Yusufu, bado alidanganya kuwa eti alikwenda Yerusalemu. Biblia haisemi Yusufu alikwenda Yerusalemu, Biblia inasema Yusufu alikwenda...
  12. Cryspina

    Wadada njooni niwape mpya, wakaka msahihishe panapohitaji usahihi

    Habari ya jumapili. Jana tukiwa dinner na gurls, pamoja na rafiki wengine wa kiume,tulijikuta tumeingia katika mjadala juu ya maswala ya wanawake kuomba pesa wanaume na wanaume kutokupenda kuombwa hela, pamoja na swala zima la kujitambua kifikra, finance, kutafuta mali, kujenga Wealth, na kuwa...
  13. mshale21

    Rais Samia: Fedha ambazo zingegharamia Sherehe za miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, zigawanywe sawa

    Dodoma! Akizungumza Leo katika kongamano la Muungano jijini Dodoma, Makamu wa Raisi Dr . Philip Mpango amesema Raisi Samia Suluhu Hassan ameelekeza Fedha zilizotakiwa kutumika katika shughuli za maadhimisho ya miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zigawanywe pande hizo mbili...
  14. Analogia Malenga

    TMA: Usahihi wa taarifa za hali ya hewa umeongezeka hadi 80%

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) wamewataka wananchi kuchukua tahadhari zinazotolewa kwa kuwa ufanisi wa utabiri umeongezeka hadi kufikia 80% kutokana na wataalamu wenye weledi na vifaa vya kisasa wanavyotumia TMA inaendelea kutahadharisha wananchi kuhusu kimbunga JOBO ambacho wamesema...
Back
Top Bottom