usafirishaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sam 2023

    JamiiForums Tanzania Kampuni bora za mabasi na kampuni za usafirishaji mizigo

    Habari wakuu, poleni na kazi. Napenda kupata majina ya kampuni 5 bora za mabasi hapa nchini kwa ajili ya kushiriki tuzo. Vigezo ni 1. Ubora wa huduma 2. Mwendo mzuri (50/80) 3. Lugha nzuri kutoka kwa wahudumu na wasaidizi 4. Usafi wa mabasi 5. Maslahi kwa wafanyakazi wa mabasi hayo. Pia...
  2. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Huyu dereva bodaboda na hii treni walikuwa wanarekodi sinema au ni tukio la kweli?

    Kuna kipande cha sinema kinasambaa sana kikimuonyesha afisa Usafirishaji a.k.a bodaboda akilazimisha kupita mbele ya treni iliyo kwenye mwendo. Ila naona hiyo treni ikasimama gafla kitu ambacho sikuwahi na sijawahi kuona wala kushuhidia breki za haraka za treni kuwa sawa na gari. Nashangaa...
  3. Smith Rowe

    JamiiForums Tanzania Wanalalamika biashara ya usafirishaji ni hasara ila kila siku wanazidi kuleta magari

    Bila salamu, Haya makampuni ya usafirishaji kila siku barabarani wanaleta chuma mpya, mfano unakuta mtu alianza na fuso moja anatoa ndizi Moshi anashusha Dar baada ya miezi sita analeta chuma nyingine. Mtu alikuwa anagari mbili route ya Iringa to Dar baada ya mwaka ana gari sita. Bado sisi...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kampuni ya usafirishaji mbadala wa DHL itakayofikisha mzigo hasa Afrika Kusini chini ya wiki moja

    Kama kuna mtu anajua a company inayoweza safirisha small parcel bila regulation na vikao, yaani pay and transport sitaki mbambamba nyingi kama za DHL. Ani link up? Inchi ni za Africa hasa South Africa, Kenya na Dubai.
  5. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Bravo Group Yathibitisha Hakuna Kazi za Kike Wala za Kiume. Wanawake Wasichague Kazi, Wanawake Madereva Wazuri Kuliko Wanaume!, Wapongezwa!.

    Kampuni ya Usafirishaji Makontena, ya Bravo Group Limited Yathibitisha Hakuna Kazi za Kike na Kiume. Madereva Wanawake wa Malori Wapongezwa na Wanawake Wahimizwa Wasichague Kazi Umetolewa mwito kwa wanawake kote nchini, wasichague kazi, na badala yake wachangamkie kazi zozote wenye uwezo nazo...
  6. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Kwani kuna kosa Bodaboda kuitwa Maafisa Usafirishaji au kosa tafsiri?

    Habar wanajf, Nashangaa watu wanalama mitandaoni eti boda hawapaswi kuitwa maafisa tuache kudharau kazi za watu zimeajiri mamilioni ya vijana.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Maafisa usafirishaji (Bodaboda) wakimsindikiza Rais Samia Arusha

    Msafara wa Maafisa Usafirishaji (Bodaboda) wa Jijini Arusha wakisindikiza Msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akielekea Usa River kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi, baada ya Mkutano wa Faragha wa Mawaziri, Naibu Mawaziri Chanzo: Ikulu
  8. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Kuna Haja ya Mataifa Kuzidisha Mapambano Dhidi ya Usafirishaji Haramu wa Binadamu

    Hivi karibuni matukio ya usafirishaji haramu yameonekana kuzidi kushika kasi na kuibuka katika mazingira ambayo watu wengi wasingeweza kudhani. Makala ya hivi karibuni iliyorushwa na kituo cha televisheni cha BBC ilionesha jinsi baadhi ya watu wenye ulemavu wanavyorubuniwa na kupelekwa nchini...
  9. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtanzania afungwa Jela Miaka 30 Kenya kwa Usafirishaji Haramu wa Watoto

    James Sengo Nestroy alikamatwa baada ya kubainika anajihusisha na Usafirishaji Haramu wa Watoto na Watu wenye Ulemavu ambapo aliamriwa na Mahakama, alipe faini ya Tsh. Milioni 563.8 au atumikie kifungo jela. Baadhi ya Waathirika wa Biashara hiyo wengi wakiwa ni Wenye Ulemavu (Raia wa #Tanzania)...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa nauli za mwendokasi: Mkakati wa kuboresha sekta ya usafirishaji wa umma utakaoleta matokeo mazuri katika usimamizi na uendeshaji wa mradi

    Kufuatia Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) kumtangaza bei mpya za nauli, nimeona mtazamo wa baadhi ya watu ukiwa kulekule vitu vinapanda bei sana. Kufuatia mtazamo wa namna hiyo nami nitachangia machache juu ya faida za kupanda kwa nauli za usafiri huo husasani katika suala zima la...
  11. Balozi limited

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wenye ujuzi wa biashara ya nafaka

    Naomba kujuzwa namna ya kufanya biashara ya nafaka, kufungua frem kuuza nafaka kama vile Michele, Unga, kunde, maharage nk Nijue namna inavyofanywa, risk zake, naweza pata haswa wapi, mtaji, masoko, faida nk any thing about it. Thanks
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe yapiga marufuku usafirishaji nje Madini ya Lithium

    Wizara ya Madini na Maendeleo imesema mauzo yote ya Madini ya Lithiam nje ya Nchi yamesitishwa baada ya Uchunguzi kuonesha kuna upotevu wa Tsh. Trilioni 4.2 kila mwaka kutokana na kuuzwa kama Madini Ghafi badala ya kutengeneza Betri halisi. Lithium inayofahamika kama Dhahabu Nyeupe hutumika...
  13. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB, VISA kuleta mapinduzi sekta ya utalii na usafirishaji kupitia kadi za kidijitali

    Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto) akifanya mazungumzo na Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Visa International, Alfred Kelly kuhusu ushirikiano baina ya taasisi hizo katika kuanzisha huduma za malipo ya kidijitali katika sekta ya utalii. Mkutano huo ulifanyika...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya China katika usafirishaji na ushauri wake kwa nchi za Afrika

    Na Gianna Amani Kampuni ya utengenezaji wa magari ya King Long iliyopo katika Mkoa wa Fujian imeeleza namna ilivyopenya katika soko la dunia na kuziambia nchi za Afrika juu ya magari wanayopaswa kuchagua hivi sasa. Kampuni hiyo ambayo ilianzishwa mwaka 1988, mbali na kutengeneza magari tofauti...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali: Helikopta zetu ni za usafirishaji siyo kuvutia Ndege au Meli

    Msemaji Mkuu wa Serikali amesema hayo na kuongeza kuwa watu wanaolalamika na kuhoji juu ya kutotumika Helikopta katika uokoaji kwenye ajali ya Ndege ya Pecision Air wapuuzwe. Amesema Serikali haiwezi kuwa na dhamira ya kuacha wananchi waangamie pale majanga yanapojitokeza na ndiyo maana...
  16. BUSHU3

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Jeshi la Polisi linawashikilia askari wake watano kwa kujihusisha na usafirishaji wa wahamiaji haramu

    Jeshi la Polisi mkoani Mbeya, linawashikilia Askari watano wa Jeshi hilo kwa tuhuma za kujihusisha na usafirishaji wa wahamiaji haramu raia wa Ethiopia kuwapeleka nchini Malawi kupitia mpaka wa Kasumulu uliopo wilayani Kyela. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya,Kamishna Msaidizi wa Polisi, Benjamin...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha adhabu ya kifungo cha maisha kwa kosa la usafirishaji haramu wa binadamu

    Wabunge wamebariki watuhumiwa watakaokamatwa na kutiwa hatiani kwa kosa la usafirishaji wa binadamu, kufungwa jela maisha ili kuimarisha jitihada za serikali za kupambana na ongezeko la uhalifu wa usafirishaji wa binadamu. Aidha, watakaotiwa hatiani watakabiliwa na adhabu ya kulipa faini ya Sh...
  18. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Tanzania yasitisha vibali vya usafirishaji wa mahindi nje ya nchi

    Wasiwasi mpya wa upungufu wa unga wa mahindi umeibuka nchini Kenya baada ya Tanzania ambayo ni msafirishaji mkubwa wa mahindi nchini humo kufungia vibali vya kuuza nafaka hiyo nje ya mipaka yake. Hatua hii ni katika kujilinda dhidi ya baa la njaa kwa kulinda hazina ya ndani ya akiba ya chakula...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Usafirishaji wa Mizigo na Vifurushi (Mikoa Yote Tanzania Bara Na Visiwani)

    Usambazaji wa mizigo mikoa yote ya Tanzania – Bara na Visiwani. Marathon Logistics inapenda kukufahamisha kwamba inatoa huduma za usafirishaji wa mizigo (midogo midogo na mikubwa) na vifurushi ndani ya Tanzania – Bara na Visiwani. Hii ni: Kutoka Dar es Salaam kwenda mikoa yote ya Tanzania –...
  20. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Kero: Abiria wa Vingunguti, Buguruni, hawatendewi haki na mamlaka za usafirishaji umma

    HAKUNA USAFIRI UNAOWAFIKISHA WAKAZI WA ENEO HILI MOJA KWA MOJA MPAKA FERRY. Abiria wa eneo hili wameomba kilio chao kusikilizwa na mkuu wa mkoa, kwani wamekuwa wakipata tabu sana, hivyo kulazimika kupanda mabasi mawili ili kufika ferry, ambayo kwao imekuwa ni mzigo mkubwa kutokana na maisha kwa...
Back
Top Bottom