usafirishaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Usafiri na usafirishaji wa anga ni jambo la 17 la Muungano, Tujikumbushe mambo 22 ya Muungano

    Ukurasa wa 218 na 219 wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977, unataja Mambo ya Muungano ambayo ni:-. 01. Katiba ya Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Muungano 02. Mambo ya nje 03. Ulinzi na Usalama, 04. Polisi 05. Mamlaka juu ya mambo yanayohusu hali ya hatari,. 06. Uraia. 07...
  2. TODAYS

    Kampuni ya Uswidi inaleta Mapinduzi Katika Usafiri wa Umma Nchini

    Wakati juhudi za kurahisisha huduma za uchukuzi wa umma wa kidijitali ukiongezeka kwa kasi duniani, kampuni ya Uswidi imeingia kwenye soko la Tanzania kuwezesha usafiri wa umma wa kisasa. Kampuni iitwayo EnrouteQ imeanzisha jukwaa la usafirishaji linaloruhusu muundo wa njia, shughuli za gari za...
  3. N'yadikwa

    TCRA yatoa onyo kali kwa Kampuni za Mabasi kuhusu usafirishaji vipeto. Wapewa muda kujisajili

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa onyo kali kwa Kampuni za Mabasi ambazo zimekuwa zikisafirisha vipeto bila kuwa na Leseni. Wamepewa muda hadi Oktoba wawe wamejisajili la sivyo kitanuka.
  4. Fohadi

    Hawa watu wana majukumu gani?

    Naomba kufahamishwa tofauti kati ya majukumu ya Transportation manager na Tracking Officer kwenye kampuni za usafirishaji mizigo.
  5. U

    SoC01 Uboreshaji wa Miundombinu ya usafiri na usafirishaji Vijijini ni kichocheo cha Maendeleo

    Miundombinu ya usafiri na usafirishaji inajumuisha njia zote za usafiri na usafirishaji kama vile barabara, reli, anga na usafiri wa njia ya maji(bahari, maziwa na mito na mabwawa). Miundombinu hii ni kichocheo kikubwa cha maendeleo na ukuaji wa uchumi wa taifa na mtu mmoja mmoja. Lakini kwa...
  6. Avatar

    Ni kosa kufanya biashara ya usafirishaji pesa?

    Baada Gharama mpya za kutuma na kutoa pesa zikianza kutumika, mtu akaanzisha biashara ya kusafirisha pesa kwa boda, let say kuipeleka 1m toka kinyerezi mpaka Kariakoo ni 10k. Hivi linaweza kuwa kosa kisheria? 😀
  7. L

    Kusitishwa kwa baadhi ya safari za ndege mkoani Guangzhou hakutaathiri usafirishaji wa bidhaa nje ya China

    Hivi karibuni kulikuwa na habari kutoka kwenye baadhi ya vyombo vya habari vya nchi za magharibi, inayosema usafirishaji nje wa bidhaa kutoka China uko kwenye hatihati, na makontena yamekwama kwenye bandari za mkoa wa Guangdong (Shekou, Chiwan na Nansha) kutokana changamoto ya virusi vya Corona...
  8. Miss Zomboko

    Tanzania: Serikali yaagiza uvaaji barakoa kwenye mikusanyiko

    Serikali ya Tanzania imeagiza wananchi kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa corona kwa kuvaa barakoa sehemu zenye mikusanyiko, ili kujikinga na wimbi la tatu lililoibuka katika mataifa mbalimbali. Wakuu wa mikoa na wilaya wameagizwa kuhakikisha wanatimiza agizo hilo kwa kuzishirikisha kamati za...
  9. World Logistics Company

    Elimu Jamii: Usafirishaji bidhaa/huduma ndani na nje ya Tanzania

    Habari wadau wa JamiiForums, Salamu kutoka WLC. Tuliomba nafasi kwa uongozi tuje kutoa elimu kwenu kuhusiana na uagizaji wa bidhaa au huduma ndani na nje ya nchi. Tumekuja rasmi. Mzigo wako umekwama bandarini? Uwanja wa Ndege au sehemu yoyote? Tuulize tukupe ushauri wa kitu gani cha kufanya...
  10. W

    Rais Samia amepiga 'hat trick' kwenye Korosho

    Na Emmanuel J. Shilatu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepiga 'hat trick' kwenye zao la Korosho katika mambo yaliyokuwa kero na vilio vya siku nyingi vya Wakulima. I: PEMBEJEO Rais Samia ametatua kilio cha Wakulima cha pembejeo ambapo Safari hii pembejeo...
  11. Meneja Wa Makampuni

    Kampuni gani ya usafirishaji inasafirisha mizigo kwa haraka kutoka China kuja hapa bongo bila kuchelewa?

    Habarini za leo wakuu, Nisaidieni hili swala na mnipe ushauri nataka kununua mzigo toka China ili uje hapa bongo niufanyie biashara bila kuchelewa kwasababu ni order maalum. Je ni kampuni gani ya usafirishaji inasafirisha mizigo kwa haraka kutoka China kuja hapa bongo kwa kutumia meli bila...
  12. D

    Nwezaje kuagiza nchini gari bovu kwa ajili ya kukata na kupata spares?

    Niko nchi fulani ambako kuna salvage cars. Nia yangu ni ku deal na spare Tanzania, hivyo nafikiria kusafirisha haya magari hadi Tanzania na kuyakata ili kupata vipuri. Kutenganisha vipuri nikiwa huku kutanigharimu sana kwenye gharama za kutenganisha na usafiri. Inatakiwa nifanyeje? TRA...
  13. The Spirit of Tanzania

    Ticket za Abood za usafirishaji mizigo zinamuumiza mtumaji

    Naambatanisha ticket ya mzigo (tena nikiwa ndani ya bus). kipengele namba 5 na namba 7 hazitakiwi kuwa hivyo. Abood badilisheni huu utaratibu wa ticket,kwa kuwa haiwezekani mtu alipe ticket ya mzigo na upo kwenye "boot" ya bus ila mzigo ukipotea hamuwajibiki; haifai.
  14. C

    Usafirishaji wa televisheni kutoka China unagharimu kiasi gani?

    Habari wana JF Naomba kujuzwa Kwayoyote anaefahamu gharama za usafirishaji wa TV kwa njia ya Meli inagharimu kiasi gani mpaka hapa Kwetu.
  15. Mr Geniuz Km

    Mimi ni dereva na fundi wa magari, natafuta kazi

    Mimi ni Dereva , mwenye leseni pia ni Mtaalam wa Matatizo ya Gari. Yeyote mwenye uhitaji wa Dereva wa Gari yake nipo Tayari kufanya nae kazi . Nna uzoefu wa miaka 8 wa udereva na uzoefu wa miaka 6 wa Matengenezo ya Magari . Taaluma zote mbili za Udereva na matengenezo ya Magari nimesoma...
  16. K

    Baada ya kuzuia uingiaji na usafirishaji nje bidhaa zifuatazo tumetengeneza faida au hasara?

    Tulimzuia Dangote kutoa makaa ya mawe kutoka S.Afrika, je migodi yetu ya makaa ya mawe ipo hali gani leo? Kutoka kwenye lesson leant tunaamni mawazo yetu yalikua sahihi? Tulidhibiti usafirishaji wa mazao ya chakula nje hasa Kenya ambayo inategemea chakula kutoka kwetu, je Hali ya soko la ndani...
  17. Dumbuya

    Nyanda za Juu Kusini: Uwekezaji kwenye Kusafirisha abiria (Niliyojionea)

    Habari Wanajamvi...Heri ya Mwaka Mpya ! Nipende kuleta kwenu mtiririko wa matukio na hali halisi niliyoshuhudia katika kuelezea sekta ya usafirishaji (abiria) nyanda za juu kusini (Iringa,Njombe,Ruvuma na Mbeya).Kutokana na uchangiaji wa moja kwa moja wa sekta hii kwenye uchumi na uhitaji wa...
  18. juctn Mt

    Mradi wa reli ya kisasa (SGR), mwamba wa changamoto za usafirishaji nchini

    MAY 27, 2019 HABARI, Na Paschal Dotto-MAELEZO Ni Takribani Miaka 120 ambapo historia iliandikwa, mwaka 1912, Serikali ya Kikoloni nchini iliamua kuimarisha sekta ya usafirishaji Kwa kujenga Reli, ambapo njia zake ziliunganisha Miji hasa maeneo ya kilimo, uzalishaji na kibiashara, reli kuu...
Back
Top Bottom