usafirishaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kwa wakulima wa Morogoro na Dodoma, TRC wamerahisisha usafirishaji wa mazao yenu kwa kuwaletea Mabehewa ya cold chains

    Kwa wale wakulima mliokua mnaogopa kusafirisha mazao yenu kuja Dar kwa kuhofia kuharibika bidha zenu za mazao sasa TRC wanawaletea mabehewa haya kwa ajili ya kuhifaadhi mazao yenu kama mboga, matunda na kufika mjini yakiwa fresh, kwa wanaotaka kusafirisha mazao yao ndan ya majokofu haya unaweza...
  2. Mafyangula

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KTN yafichua jinsi JKIA ilivyogeuzwa njia dhaifu ya usafirishaji dawa za kulevya

    Lango kuu lenye shughuli nyingi zaidi Afrika Mashariki, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, upo katikati ya kashfa ya kimataifa ya dawa za kulevya. Kitengo cha uchunguzi cha KTN kimekusanya ushahidi unaoonyesha jinsi mojawapo ya viwanja vya ndege vyenye shughuli nyingi zaidi barani...
  3. Damaso

    JamiiForums Tanzania Usafirishaji hatari wa Tv kuanzia Inch 60

    Ebu leo wanandugu njooni tuzungumze kidogo. Mara nyingi sana huwa napishana mitazamo na watu juu ya namna ya usafirishaji wa tv kubwa kuanzia inch 60 na kuendelea. Huwa nawaambia kama umeweza kupata milion 1+ kwaajili yakununua tv ya ndoto yako kwanini ushindwe kutoa elfu 50 ya usafiri tv yako...
  4. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania China yasaidia Tanzania kujenga vituo vya Usafirishaji

    Kituo cha Biashara na Usafirishaji cha Afrika Mashariki kilichowekezwa na China kimezinduliwa hivi karibuni jijini Dar es Salaam, Tanzania. Kabla ya hapo, Kituo cha Kimataifa cha Usafirishaji cha Kwala na Bustani ya Viwanda ya China na Tanzania katika Mkoa wa Pwani nchini Tanzania viliweka jiwe...
  5. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Dkt. Serera aipongeza posta kwa ubunifu wa usafirishaji

    DKT. SERERA AIPONGEZA POSTA KWA UBUNIFU WA USAFIRISHAJI 📍Nanenane, Dodoma 🗓️ 06 Agosti, 2025 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Suleiman Serera amelipongeza Shirika la Posta Tanzania kwa hatua kubwa ilizopiga katika utoaji wa huduma kwa njia za kidigitali pamoja na ubunifu...
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Polepole: Rostam Aziz ndiye anayeendesha biashara ya uchimbaji na usafirishaji wa makaa ya mawe

    Wakuu kuna MTU aliwahi kusema TUNDU LISSU Alikamatwa Kwa maelekezo ya ROSTAM AZIZ mara baada ya TUNDU LISSU kugusia Usafishaji wa kimagendo wa Makaa ya Mawe na Madini ya Uranium Tani Kwa matani kwenda nje ya Nchi . Humu JF pia Kuna mdau aliandika kua Madini haya yamekua yakisafirishwa Kila...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Yas kutoa huduma kituo cha Biashara, Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC)

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Yas, Pierre Canton Bacara (katikati), akisalimiana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo (kulia), wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC), iliyofanyika hivi karibuni jijini Dar...
  8. DR. MWAKABANJE

    JamiiForums Tanzania Je bei ya usafirishaji mizigo toka China Kwa CBM ni kiasi gani Kwa wastan

    Naomba kujua wastani wa bei ya usafiri Kwa njia ya Meli toka China kuja Tanzania Kwa CBM. Nimepanga kuagiza bidhaa Fulani Fulani Kwa ajili ya kuuza huku KWa jumla, supply akanipa CBM ya mzigo kuwa ni 7.29 na bei ya manunuzi na usafiri Hadi Kwa agent wangu ni TSHS. 5,800,000/=, nikamuuliza...
  9. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Usafirishaji mizigo kwa SGR

    sg
  10. J

    JamiiForums Tanzania Usafirishaji: Rais Samia apendelea wazawa

    Usafirishaji: Wazawa chini ya Rais Samia waula Mwaka 2020 jumla ya miradi ya wazawa katika Sekta ya usafirishaji mizigo iliyosajiliwa katika kituo cha uwekezaji ilikua ni 6 huku idadi ya miradi ya wageni ikiwa ni 5, katika kipindi cha uongozi wa Rais Samia miradi ya wazawa kwenye sekta ya...
  11. S

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka husika zichukue hatua za haraka kuhusu usafirishaji abiria halmashauri ya Wilaya ya Rombo

    Habari wana bodi, Tanzania nzima hakuna wananchi wanapata shida ya usafiri kama wananchi wa Rombo! Kuna ukiritimba gani uliopo kwenye vyombo vya usafiri Rombo? Kwanini wananchi wanateseka hivi na usafiri? Vijana wengine wameamua kutumia pikipiki zao kusafiri kutoka Moshi mjini hadi Rombo...
  12. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Marekani yasitisha usafirishaji wa silaha kwenda Ukraine, Ikulu inasema

    Marekani imesitisha baadhi ya shehena za silaha kwenda Kyiv, Ikulu ya Marekani imesema, huku vita vya Urusi dhidi ya Ukraine vikizidi kupamba moto. Uamuzi huo ulichukuliwa "kuweka masilahi ya Marekani mbele" kufuatia tathmini ya Idara ya Ulinzi kuhusu "msaada wa kijeshi na usaidizi wa Marekani...
  13. moto nkali

    JamiiForums Tanzania Huduma ya uhakika: Usafirishaji Dar kwenda mikoani

    JE, UNAKUMBANA NA CHANGAMOTO ZA KUTUMA AU KUPOKEA MIZIGO NDANI NA NJE YA DAR ES SALAAM? Hii inakuhusu sana, iwe unafanya biashara au unahitaji huduma binafsi za usafirishaji! TUAGIZE SISI – WATAALAMU WA MIZIGO NA USAFIRISHAJI WA KUAMINIKA Sisi ni kampuni ya Kitanzania yenye uzoefu mkubwa...
  14. moto nkali

    JamiiForums Tanzania Suluhu ya usafirishaji wa mizigo midogo (vifurushi) na mikubwa kutoka Dar kwenda popote kwa mteja

    JE, UNAKUMBANA NA CHANGAMOTO ZA KUTUMA AU KUPOKEA MIZIGO NDANI NA NJE YA DAR ES SALAAM? Hii inakuhusu sana, iwe unafanya biashara au unahitaji huduma binafsi za usafirishaji! TUAGIZE SISI – WATAALAMU WA MIZIGO NA USAFIRISHAJI WA KUAMINIKA Sisi ni kampuni ya Kitanzania yenye uzoefu mkubwa...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa madereva bodaboda (Maafisa usafirishaji)

    Karibuni madereva bodaboda kwenye uzi wenu
  16. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maafisa usafirishaji (bodaboda na bajaji) wanasema mitano tena kwa Rais Samia

    Maafisa usafirishaji Tabora wapo bega kwa bega na Rais Samia Suluhu.
  17. Yusufu Mjasili

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza furniture za maofisini na majumbani kwa gharama nafuu. Tupo Mabibo jijini dar es salaam karibu na chuo cha usafirishaji NIT. 0715 494920

    Karibu sana..
  18. Half american

    JamiiForums Tanzania Maafisa usafirishaji hii tabia yenu ya kujifanya hamna chenchi iacheni

    Habari wakuu. Kuna tabia nimeiona kwa hawa maafisa usafirishaji hasa bodaboda na bajaji, ndani ya wiki 2 nimetumia sana usafiri wao ukifika mwisho wa safari ukampa hela inayohitaji kurudi chenchi hasa tsh 500 & 1000 wengi wanasema hawana ila ukiwakazia watafute chenchi utaona kaingia mfukoni na...
  19. 5

    JamiiForums Tanzania Usafirishaji wa mazao

    Wakuu nauliza vibali maalamu vinavyohitajika kusafirisha mazao kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine ni vip nisaidie hapo
  20. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Afisa Usafirishaji

    Kuna watu wanapenda kuwatia moyo wenzao! Eti afisa Usafirishaji!
Back
Top Bottom