usafi

The United States Armed Forces Institute (USAFI) was an educational organization that was part of the United States Armed Forces. It was founded in April 1942, as the Army Institute.Between 1942 and 1974, the USAFI provided education opportunities which included the GED, general examinations at the college level and USAFI Courses to service members in the continental United States, Caribbean, Europe, Hawaii and Japan.The headquarters of the USAFI was in Madison, Wisconsin, at 102 North Hamilton Street.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Baada ya makongamano na shughuli za ibada Tanganyika Peaks–Kawe, nani anawajibika kwa usafi wa mazingira?

    Katika kipindi cha hivi karibuni, eneo la Tanganyika Peaks–Kawe limekuwa likihudumia shughuli mbalimbali kutokana na kufanyika kwa makongamano ya kidini, hususan ibada zinazoratibiwa na Kanisa la Arise and Shine (maarufu kama kanisa la Mwamposa). Viwanja hivyo vimeendelea kuwa na shughuli mbili...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahusika wanaosimamia Vyoo vya Stendi ya Ifakara hawajali usafi

    Hivyo ni vyoo vya Stendi hapa Ifakara na wananchi wanalipia na receipt juu lakini unaingia ndani unakuta hali kama hiyo hata usafi wa kumwaga maji ya sabuni hakuna. Pia kama una hela kuazia jero wanakata 300, ila kama una 200 unaingia kwa hiyohiyo
  3. JamiiForums Tanzania Wanaume pendeni usafi, mnanuka makwapa

    Ni ijumaa nyingine tulivu kabisa, nikiwa nafukiza udi nyumbani kwangu nikakumbuka kitu hiki, ukipishana na wanaume jamani ni aidha uzibe pua au ukubali kunukishwa harufu mbaya ya kwapa, inakuaje mwanaume umevaa vizuri tu ila unanuka kwapa na kuna vikata harufu vya kila aina kwa bajeti anayomudu...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Raha ya Sex ni usafi

    Wakuu habari zenu? Nashindwa kufurahia mapenzi siku hizi , sijui niseme sina bahati. Nimetongoza mademu zaidi ya watatu, lakini wote wakati WA mechi hutoa harufu mbaya Kwa sasa nimeamua kuwa Single.
  5. JamiiForums Tanzania Tender za Usafi, Maintenance na Fumigation Tanzania – Post Hapa Fursa Zote

    Karibuni wanajamii, Nimefungua thread hii kwa ajili ya kukusanya na kushirikishana taarifa za Tender, Zabuni, RFQ, RFP na fursa mbalimbali zinazohusiana na: • Usafi (Cleaning Services) • Maintenance za Majengo na Miundombinu • Fumigation & Pest Control Services Thread hii ni kwa ajili ya...
  6. JamiiForums Tanzania Mpenzi wako anajali usafi au mnavumiliana?

    Ugonile, sijajua ni kwangu tu au namna gani vipi. wanawake naokutana nao sikuiz wananuka midomo ni balaa, yani kila napojiambia hii Pisi ni kali na imenyooka sana siwez kuiacha iviivi nakutana na madudu. Unaopoa bonge la Pisi unasema yes huyu leo naua kunako 5×6, mkifika ukijaribu romance...
  7. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Mayungi ashiriki zoezi la usafi Mkoa wa Mbeya

    Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Mayungi, ameshiriki zoezi la usafi katika Mkoa wa Mbeya pamoja na Balozi wa Mazingira Tanzania, Michael Msechu, vijana wa vyuo, wafanyabiashara wa eneo la Kabwe Standi, viongozi wa chama pamoja na madiwani. Zoezi hilo limeendelea kuhamasisha...
  8. JamiiForums Tanzania Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyoko Kata ya Msamala Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma vyafanyiwa usafi

    Mei 25, Mdau alipost picha za muonekano wa Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyoko Kata ya Msamala Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma, akaonesha jinsi hali ilivyokuwa mbovu na ya kusikitisha na kwamba mazingira yanatia hofu kwa afya za Wanafunzi. Hoja ya Mdau ~ Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni...
  9. JamiiForums Tanzania Tangazo la Huduma za usafi

    TANGAZO LA HUDUMA ZA USAFI Amicable Group Holdings Limited ni kampuni inayotoa huduma za usafi wa viwango vya juu kwa watu binafsi, taasisi, makampuni, ofisi, shule, mabweni, hospitali, viwanda na maeneo mbalimbali ya biashara. Tunapokea kazi za: ✔️ Usafi wa ofisi, nyumba, shule, vyuo na...
  10. JamiiForums Tanzania Tangazo la Huduma za usafi

    TANGAZO LA HUDUMA ZA USAFI Amicable Group Holdings Limited ni kampuni inayotoa huduma za usafi wa viwango vya juu kwa watu binafsi, taasisi, makampuni, ofisi, shule, mabweni, hospitali, viwanda na maeneo mbalimbali ya biashara. Tunapokea kazi za: ✔️ Usafi wa ofisi, nyumba, shule, vyuo na...
  11. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufanya Usafi wa Mwili

    Kuna uzi wangu mmoja nilielezea sana namna nilivyokuwa nachomekea shati kwenye suruali. Leo nataka nilelezee kidogo kuhusu usafi wangu wa mwili. Muhimu ni haya mambo 2: 1.Kupiga mswaki, ambapo huwa napiga mara 3 kwa siku yaani asubuhi nikiamka,mchana baada ya kula na usuku baada ya kula.Hivi...
  12. JamiiForums Tanzania Wanahitajika watu 10 wa mauzo na masoko kwaajili ya usambazaji wa bidhaa za Usafi (Tiles Cleaner) katika kampuni ya Max Pro Limietd

    Max Pro Limited ni Kampuni inayojihusisha na utengenezaji na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali za Usafi kama vile Tiles Cleaner,Hand Wash Soap,Window Cleaner,Shower gel,Air Fresh,Car Shampoo,Hair Shampoo,Sofa Cleaner,Skin Care Products n.k.ambayo ipo Kigamboni Dar es Salaam. Max Pro Ltd...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wajapan na Usafi: Japan 1 - England 0

    Baada ya kuwafunga England leo , pia waliwasafishia uwanja baada ya mechi https://www.facebook.com/reel/832222049153547
  14. N

    JamiiForums Tanzania Hivi unatumia AI kwenye kutafuta ushahuri wa haraka na dharula wa kitaalamu kwenye masuala mbalimbali ya kijamii kama afya, familia, biashara nk?

    Matumizi ya Artificial Intelligence (AI) yamekuwa yakiongezeka kwa kasi katika kutoa ushauri wa haraka na taarifa za awali kwenye maeneo kama afya, familia, biashara n.k. AI inaweza kusaidia kutoa mwongozo wa kitaalamu wa msingi, kuelimisha, na kusaidia kufanya maamuzi sahihi na ya haraka...
  15. JamiiForums Tanzania Je, unahitaji huduma za usafi zenye viwango vya kitaalamu?

    Je, unahitaji huduma za usafi zenye viwango vya kitaalamu? Jibu sahihi ni 𝗔𝗺𝗶𝗰𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗚𝗿𝗼𝘂𝗽 𝗛𝗼𝗹𝗱𝗶𝗻𝗴𝘀 𝗟𝗶𝗺𝗶𝘁𝗲𝗱 (𝗔𝗺𝗶𝗰𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗖𝗹𝗲𝗮𝗻𝗶𝗻𝗴 𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲𝘀) — kampuni iliyosajiliwa kisheria chini ya Sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Karibu ujipatie huduma bora na zinazotegemewa. Simu: 0753786858 Email...
  16. JamiiForums Tanzania Usafi wa nywele

    Izi nywele za sehemu za siri tunyoe wakuu zinatoa harufu at least tupunguze
  17. JamiiForums Tanzania Responded Rais Samia: Wasimamizi wa soko la Karikoo zingatieni miundombinu ya majitaka na usafi

    Akizindua soko kuu jipya la Karikoo leo, Februari 8, 2026, Rais Samia Suluhu Hassan amewahimiza wasimamizi wa soko hilo kuhakikisha suala la usafi linazingatiwa ipasavyo, ikiwemo miundombinu ya majitaka. Amesema kuwa miundombinu ya soko hilo ikisimamiwa vyema itachangia kuwepo kwa mazingira...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Je Mtoto wa kike anapaswa Aanze kufundishwa kufanya usafi wa ndani na Mazingira akiwa na umri gani?

    Je mtoto wa kike anapaswa kuanza kufundishwa kufanya usafi wa nyumbani akiwa na umri gani
  19. JamiiForums Tanzania Je, unahitaji Huduma ya Usafi wa Kitaalamu?

    Je, unahitaji Huduma ya Usafi wa Kitaalamu? Je, unajua kuwa wadudu waliyojificha nyumbani na madoa sugu kwenye tiles zako zinasafishika kabisa kwa njia za kitaalamu? 🏠✨ Tunatoa Professional Cleaning ya kiwango cha juu ✔ Kuondoa uchafu sugu na madoa ya tiles ✔ Kudhibiti na kuondoa wadudu ✔...
  20. JamiiForums Tanzania Je, unahitaji Huduma ya Usafi wa Kitaalamu?

    Je, unahitaji Huduma ya Usafi wa Kitaalamu? Je, unajua kuwa wadudu waliyojificha nyumbani na madoa sugu kwenye tiles zako zinasafishika kabisa kwa njia za kitaalamu? 🏠✨ Tunatoa Professional Cleaning ya kiwango cha juu ✔ Kuondoa uchafu sugu na madoa ya tiles ✔ Kudhibiti na kuondoa wadudu ✔...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…