usa

  1. A

    USA na Israel wanaomba nchi nyingine ziwasaidie kupigana na Iran

    Kutokana na ripoti za mapema Machi 2026, Marekani na Israel zinakabiliwa na upungufu mkubwa wa makombora ya kuzuia ulinzi wa anga impamoja na mifumo ya Arrow na THAAD . Kuna hatari sana kupigana kwa mda mrefu na Iran. Wachambuzi na maafisa wanaonya kwamba mashambulio yakiendelea kwa nguvu ya juu...
  2. Khanji kapoor

    China yaipa onyo USA na Israel isitishe Vita Mara moja

    Serikali ya Beijing imetoa karipio kali na kuitaka USA na Israel kusitisha kushambulia Iran la sivyo itachukua hatua Kali kwa muda sahihi Source : msemaji wa serkali ya Beijing
  3. P

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Israel + Marekani vs Iran

    Kwa miaka mingi, Marekani na Israel zimekuwa na hofu kuwa Iran inatengeneza bomu la nyuklia. Israel anaamini bomu hilo likikamilika, Iran italitumia kuifuta nchi yao kwenye ramani, hivyo wamekuwa wakitafuta namna ya kuzuia mpango huo kwa nguvu. madarakani Januari 20, 2025, aliweka msimamo mkali...
  4. Lycaon pictus

    FIFA wataifungia USA kwa kuivamia Iran kama walivyoifungia Russia kwa kuivamia Ukraine?

    Tutarajie lolote kutoka FIFA? Kwanza kwa nini waliiban Russia na wanadai hawajihusishi na siasa?
  5. Keyboard_Warrior

    USA: Venezuela vs Iran

    Oya, ina maana USA wameshindwa kurudia kile walichokifanya Venezuela kwa Iran? Yaani wameshindwa kwenda na makomando wao wa Delta force kumnyakua Ayatollah kama walivyomnyakua Maduro? Daaaaah!!!
  6. S

    Balozi wa USA Huckabee:''Raia wa marekani kateni tiketi kimbieni mapema israel kabla hamjachelewa

    Balozi wa marekani nchini Israeli Mike huckabee amewaambia maafisa wa ubalozi ya kwamba kama wanataka kuondoka ndani ya ardhi ya Israel waondoke mapema ''Haina haja ya kupanic kama mnataka kuondoka basi fanyeni mapema muondoke na msicheleweshe safari ''Popote mtakapo kuwepo Kateni tiketi...
  7. M

    Nimeangalia hotuba ya Trump katika bunge la USA. Nimegundua chama cha Democrats hawaijali nchi wala wananchi ila wana-control media nyingi

    Wakati wa hotuba ya rais kwa bunge la Marekani inayoitwa State of union, Democrats wameionyesha dunia kwamba wao ndio tatizo kubwa nchini humo, lakini wao ndio wenye media kubwa hivyo ni rahisi kuamua kipi kionekane, kipi kiaminikie, kipi kifichwe, kipi kifanywe kizungumziwe zaidi, kipi...
  8. A

    Saud Arabia na Qatar Zimemruhusu Iran Apige Base Za USA Kwenye Ardhi zao

    Habari ndio hio ya mjini fresh kabisa Saud Arabia, Qatar, na inasemekana pia Iran atapiga base iliopo UAE, Oman, Kuwait Warabu wameisha choka na ujinga wa USA wamewapa green light Iran wapige base ya USA kwenye nchi zao kama USA akishambulia Iran. Safari hi USA kaukalia wacha awe anatafuta...
  9. K

    Mapendekezo katiba mpya: Lazima kuwe na Bunge la Senate kama Kenya na USA

    Mapendekezo katiba mpya: Lazima kuwe na Bunge la Senate kama Kenya na USA. Idadi ya wabunge ipunguzwe na iendane na idadi ya watu. Kila mkoa uwe na maseta wawili tu. Senate vilevile itasaidia kwa wale watakao laumu wana wabunge wachache.
  10. Eronda

    Gen. Muhoozi Kainerugaba deletes posts accusing USA aiding Bobi wine.

    Gen. Muhoozi Kainerugaba Ugandans army chief and son of President Museveni apologized to the United States after accusing them of plotting to smuggle opposition leader Bobi wine out of the country. “I want to apologize to our great friends the United States for my earlier tweets that I have...
  11. A

    USA kakimbia baada ya kupewa Warning na Iran

    Kelele za Trump oh dunia itaona majabu katika hi week kweli tumeona kweli, bada ya Iran kumwambia tunafanya exercise carries zote zipelekwe 500 Miles ama kama zitabaki zita tandikwa hatutanii ikabidi USA wakimbie.
  12. Idugunde

    Rais Samia anadaiwa kutumia fedha za umma kununua ushawishi wa Warepublican katika jitihada za kukwepa hadhi ya kutengwa kimataifa

    Wakati Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) ikijiandaa kuandaa jalada muhimu kuhusu mauaji ya mwaka 2025, Rais Samia Suluhu Hassan anadaiwa kutumia fedha za umma kununua ushawishi wa Warepublican katika jitihada za kukwepa hadhi ya kutengwa kimataifa
  13. Keyboard_Warrior

    Iran yaipa onyo USA!!!

    Iran imesema shambulio lolote kutoka USA litajibiwa vikali bila kupepesa macho. https://x.com/cnnipr/status/2016201365224108519?s=20 Tehran limewekwa bango linaonyesha Machumachuma ya USA yakizamishwa. Kazi kwa Trump sasa, ashupaze shingo.
  14. Kijakazi

    ice-USA, mwenye uelewa, sijaelewa!

    bado sijaelewa hivi hawa ice ambao wako kwenye news kila mahali tatizo liko wapi? kwa nini stress hizi zoote na maandamano ya kuwapinga, je, wanaonea watu au tatizo ni nini? nilifikiri labda wanafanya control ya watu ambao wako nchini USA illegally au kwa maneno mengine hawakupswa kuwepo USA...
  15. MK254

    Trump aionya Iran dhidi ya kuua waandamanaji, asema USA itashambulia

    Ayatollah ameonywa athubutu kuua hao waandamanaji, atashushiwa mavitu na kuwahishwa kule kwa mabikira, aache watu waikomboe nchi yao kutoka kwa uzombi wa dini. ======================================= Trump warns Ayatollah ‘we will start shooting if you do’ as Iran rocked by another night of...
  16. MK254

    Venezuela ilikuwa imewekeza kwenye mifumo ya kiulinzi ya Iran, Urusi na China, ila USA walipita humo humo

    Jameni hadi raha, kuna wakati huwa nasoma taarifa kama hizi najikuta nafurahia hadi naumwa, USA ni hatari nyingine, wakipania wao hufanya tu, juzi waliichukua meli iliyojinasibu kuwa ya Urusi, licha ya Warusi kusema watailinda. ==============For English Audience ============ The overnight US...
  17. K

    Tujiulize Kwanini ndugu zetu wa Kenya hawapo kwenye kuzuiwa na USA!!

    Hapo chini hakuna majirani na ndugu zetu wa Kenya kwasababu wenyewe wana katiba, HAKI, demokrasia hivyo pamoja na kwamba ni majirani na ndugu zetu hawamo. Vilevile Kenya walipewa $1.6B kwenye Afya Nigeria, Angola, Senegal, Tanzania, Gabon, Benin, Mali, Burkina Faso, Niger, South Sudan, Chad...
  18. Khanji kapoor

    Kiduku wa Korea kaskazini kwenye pigo za wanaume USA ama Israel huingia chimbo kijificha

    Rais korea kaskazini ni comedian Sana Mambo yakishaharibika yeye huingia kwenye mahandaki na masigara yake hatoki hadi Hali itulie🤣🤣 Israel alivokuwa anamshughulikia Iran alikauka Kama hayupo duniani😁 Sasa hivi rafiki yake maduro wa Venezuela anakaangwa na USA kenyewe hakana habari...
  19. R

    Je USA inaweza kuishi peke yake akitengwa na dunia nzima? Maana anachokifanya sasa ni wendawazimu

    1. Amevamia Venezuela 2. Ameua binti huko kwake kwa kutumia askari wa immigration 3. Anataka kuitwaa Greenland kwa nguvu 4. Anawaza kuivamia Columbia 5. Kote alikosulujisha ameshindwa..Rwanda na Congo; Thailand na Cambodia; Israel na Palestine etc etc 6. Amejitoa mashirika mengi ya kimataifa...
  20. R

    Swali la kizushi: USA inaweza ”kuzichapa" Russia na China ikizuka vita kugombea Venezuela?

    China na Russia wana maslahi makubwa Venezuela. Wana biashara ya mafuta. Leo USA amekamata meli za Russia. Suppose China na Russia wanaamua kuingia kwenye vita na USA, nani atatoka mshindi! Denmark anaimudu maana anataka kuinyakua Greenland for security reasons!
Back
Top Bottom