usa

  1. MK254

    JamiiForums Tanzania Venezuela ilikuwa imewekeza kwenye mifumo ya kiulinzi ya Iran, Urusi na China, ila USA walipita humo humo

    Jameni hadi raha, kuna wakati huwa nasoma taarifa kama hizi najikuta nafurahia hadi naumwa, USA ni hatari nyingine, wakipania wao hufanya tu, juzi waliichukua meli iliyojinasibu kuwa ya Urusi, licha ya Warusi kusema watailinda. ==============For English Audience ============ The overnight US...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tujiulize Kwanini ndugu zetu wa Kenya hawapo kwenye kuzuiwa na USA!!

    Hapo chini hakuna majirani na ndugu zetu wa Kenya kwasababu wenyewe wana katiba, HAKI, demokrasia hivyo pamoja na kwamba ni majirani na ndugu zetu hawamo. Vilevile Kenya walipewa $1.6B kwenye Afya Nigeria, Angola, Senegal, Tanzania, Gabon, Benin, Mali, Burkina Faso, Niger, South Sudan, Chad...
  3. Khanji kapoor

    JamiiForums Tanzania Kiduku wa Korea kaskazini kwenye pigo za wanaume USA ama Israel huingia chimbo kijificha

    Rais korea kaskazini ni comedian Sana Mambo yakishaharibika yeye huingia kwenye mahandaki na masigara yake hatoki hadi Hali itulie🤣🤣 Israel alivokuwa anamshughulikia Iran alikauka Kama hayupo duniani😁 Sasa hivi rafiki yake maduro wa Venezuela anakaangwa na USA kenyewe hakana habari...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Je USA inaweza kuishi peke yake akitengwa na dunia nzima? Maana anachokifanya sasa ni wendawazimu

    1. Amevamia Venezuela 2. Ameua binti huko kwake kwa kutumia askari wa immigration 3. Anataka kuitwaa Greenland kwa nguvu 4. Anawaza kuivamia Columbia 5. Kote alikosulujisha ameshindwa..Rwanda na Congo; Thailand na Cambodia; Israel na Palestine etc etc 6. Amejitoa mashirika mengi ya kimataifa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Swali la kizushi: USA inaweza ”kuzichapa" Russia na China ikizuka vita kugombea Venezuela?

    China na Russia wana maslahi makubwa Venezuela. Wana biashara ya mafuta. Leo USA amekamata meli za Russia. Suppose China na Russia wanaamua kuingia kwenye vita na USA, nani atatoka mshindi! Denmark anaimudu maana anataka kuinyakua Greenland for security reasons!
  6. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Greenland kwa USA, CHINA na RUSSIA. Mwaka huu tutegemee migogoro mingi mikubwa

    Lengo la Marekani (USA) kutaka kudhibiti au kuwa na ushawishi juu ya Greenland halimaanishi tu “kuitwaa ardhi”, bali linahusiana na maslahi makubwa ya kimkakati, kiusalama na kiuchumi. Kwa ufupi, sababu kuu ni hizi: 1. Usalama wa Kijeshi (Military & National Security) Greenland iko katikati ya...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Inashangaza kuona China anayeikalia Taiwan na Russia aliyevamia Ukraine anailaumu USA kuivamia Venezuela

    Russia imeivamia Ukraine, inaua watu, uchumi etc etc China "inaikalia" Taiwan kinyume na matakwa ya wananchi wa Taiwan. Leo wanatoka na matamko ya kuilaani USA. Moral authority hawana kuisema USA!
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi mnafahamu baada USA kumkamata raisi wa Venezuela kulikuwa na ajenda ambao walijitokeza wakiwa upande wa CCM na account zao,Haya angalia na hii

    Huu mtandao wa propaganda ambao unatumika sana CCM ulipoona delta force imemkamata raisi wa Venezuela nao wakaja kwa njia hii . Kama walikuwa wameona hiyo ndo habari mbona ya Venezuela wajaweka. Hili group la CCM lina amrisha sana .
  9. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Venezuela na Duniani baada ya Kunyakuliwa Nicolas Maduro. Russia, China na USA

    Venezuela ilikuwa ikitizamwa kwa macho ya matamanio na mataifa haya makubwa ya RUSSIA, CHINA na USA. Kwa muda mrefu. USA amewahi kuinyakua makusudi akijua kama angechelewa wenzake wangefaidika nayo.
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Utekaji wa USA kwa maditekta utafanya maditekta wengine walale sehemu zisizojulikana.

    Ile misheni mpaka maduro anakamatwa ni kwamba walijua ramani ya jengo mpaka stoo ya kuweka chawa wakiwa wanawaponda wapinzani. Kwa kiwango kile lazima kibadilishe mshituo wa mbinu nyengine kwa maditekta sasa katika makazi. Kuna mmoja tokea October 29 aliyofanya usije shangaa kumkuta nyumbani...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Marekani ina independent Judiciary, Je mahakama ikimuachia huru Maduro, what will follow from Trump?

    Just to think beyond borders! Suppose Maduro mahakama imemuachia huru, hana hatia je Trump atamruhusu kurudi Venezuela? Nini Trump atafanya?
  12. Mnyenz

    JamiiForums Tanzania Trump ametumia saa mbili tu kukifanya kitu kilichomshinda Putin kwa miaka 3

    Zelensky ana akili kubwa sana, ni vile tu hana resources!!! Putin alishafanya majaribio mengi sana ya kumteka Zele lakini wapiii Kwenye kitengo cha utekaji mrusi kazidiwa mpaka na wasiojulikana Trump anairudisha ile marekani ya kwenye TV na muvi za kijasusi. Imagine unakuja kukamatwa...
  13. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Mambo 10 ya kujifunza baada ya USA kumnyakua rais Maduro wa Venezuela

    VIDEO: Wananchi wa Venezuela wakishangilia anguko la Maduro na genge lake madarakani Great Thinkers, nawakaribisha tuchambue tukio la kukamatwa rais Nicholaus Mafuro wa Venezuela Marekani akikutaka atakunyakua tu hata kama Uwe na Ulinzi mkali kiasi gani, yeye atakutwaa tu akikutaka. Ushirika...
  14. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania USA na ISRAEL ni nchi bora katika "ACTIONABLE INTELLIGENCE" , ingawa naishi kadumbwi chini chini ila naona fahari kuishabikia US/ISRAEL.

    Wanajitahidi sana katika utulivu wa dunia angalau, Simaanishi wao ni perfect ila anagalau kwa miendendo yao usalama na haki zinafanyika duniani ebu jaribu kufikiria dunia ilio chini ya urusi, uchina, uturuki, qatar na iran🤢🤮
  15. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Nicholas Irving, sniper wa jeshi la USA: 80% ya wanaume Afghanistan wanalala na wanaume wenzao, hujihusisha na wanawake kuzalisha ila sio kimapenzi

    https://youtu.be/JckpoXyX2M0?si=UjLYhvyAVyHHVS_R
  16. ngara23

    JamiiForums Tanzania Juzi mlitwambia mmealika kamati ya bunge la USA, leo mmewekewa vikwazo vya kuingia USA

    Tuliwaasa acheni proganda zenu za ovyo. Mzungu hasa Marekani hawezi kuwa mnafiki hata siku 1, yaani huyu USA mwenye sauti kwenye taasisi zote za UN aje adanganye Kwa vikao vyenu vya uchochoroni Yaani juzi tu mlikuwa marafiki hadi kualikana taasisi kubwa kama bunge, Leo hamtakiwi kwenda kwao...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ukipewa nafasi ya kuchagua kuishi kati ya Marekani, Ulaya, Uarabuni na hapa Tanzania utapendelea wapi

    Wengi wametamani kutimiza ndoto ya kuishi sehemu tajwa ili kujiimarisha, kuendeleza malengo yao kadha wa kadha. Ungependelea kuishi wapi kati ya maeneo hayo, USA, Europe, uarabuni au ubaki hapa hapa Bongo. Zingatia mafanikio ya kiuchumi, mahusiano ya kijamii, uhuru wa kujieleza, uhuru wa...
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wachina ni wezi wa teknolojia si wabunifu, ndio maana mzozo wao na USA hauwezi kuisha

    Wachina wengi wanakimbilia sana kusoma nchi zenye teknolojia kubwa sio kwa ajili kusoma bali kuchukua maarifa kupeleka kwao ambacho hizo teknolojia zimetumia mda mrefu kiutafiti. Nchi kama USA wanatumia bajeti kubwa za utafiti ukilinganisha na wachina. Sasa hapa unaweza kusema mchina ni mkali...
  19. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kiukweli ninakerwa na utawala huu unavyoendesha mambo yake ila sikubaliani na hoja kuwa USA na wenzake ndio wakombozi wetu

    Binafsi ninakerwa na serikali hii inavyofanya mambo yake. Kuna mambo yanahitaji diplomacy kidogo tu ila cha kushangaza serikali inatumia nguvu kupitiliza hadi inaamsha hasira za wananchi. Kuna ishu zinahitaji tu maneno sio lazima kutumia bunduki. Msemaji wa serikali na katibu mwenezi wa CCM ni...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba Diamond na team yake ya Wasafi wamenyimwa visa kuingia USA?

    Taarifa zilizopo ni kuwa msanii Diamond na team yake wamezuiliwa kuingia USA, kuna ukweli wowote? na sababu inaweza kuwa ni nini?
Back
Top Bottom