urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kuwa Urusi haichukiwi na nchi nyingi katika mgogoro huu

    Mgogoro huu kati ya Ukraine na Urusi unaongoza kwa propaganda kuliko mgogoro wowote ule toka vita kuu ya pili ya Dunia. Ukisikiliza propaganda za nchi za west unaweza kudhani Urusi imechukiwa na Dunia nzima. Lakini ukweli sio hivyo. Hali halisi Iko hivi. Nchi zinazoichukia ama kuonesha...
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania BBC: Meli ya kivita ya Urusi yalipuliwa

    Kibao kinaaendelea kugeuzwa......ukiingia kushambulia watu kwenye nchi yao unaua mama zao, baba zao, watoto wao kwenye mauaji ya kimbari, jiandae kwa lolote, watapigana mpaka afe wa mwisho... A Russian landing ship has been destroyed and two other boats have been damaged in the occupied...
  3. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Msimamo wa Tanzania kuhusu Urusi vs Ukraine; Ushauri wangu kukabili matokeo

    Baada ya Mataifa makubwa dunia Marekani na Ulaya kuamrisha Afrika iseme msimamo wake na ilaani oparesheni ya Urusi huko Ukraine. Tanzania imetoa kauli ya kwamba sisi HATULAANI, wala HATUUNGI MKONO vita hivyo. Tunachoshauri ni meza ya majadiliano tu. Tanzania ni mwanachama wa kikundi cha nchi...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Zelensky aomba watu duniani waandamane kuipinga Urusi

    Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameomba dunia kuandamana kupinga operasheni ya Urusi nchini Ukraine. Operesheni ya Urusi nchini Ukraine imesababisha mapigano na vifo vya watu wengi tangu kuanza kwake Februari 24 Rais Zelensky amesema kuisapoti Ukraine ni kusapoti uhuru na Maisha. Ametaka...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mwanamageuzi mkongwe wa Urusi Chubais ajiuzulu kama balozi wa Putin

    Pamoja na kukwama kwa wanajeshi wa Urusi kusonga mbele vitani nchini Ukraine , Rais Putin anaonekana amepata pigo kutoka ndani ya Kremlin yenyewe. Mmoja wa washauri wake, Anatoly Chubais, amejiuzulu kutoka jukumu lake kama mjumbe wa kimataifa - afisa mkuu zaidi kujiuzulu tangu kuanzishwa kwa...
  6. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Msiba Urusi, imepoteza kamanda mwingine kule Ukraine

    Haijatokea kwa muda mrefu kwa taifa kupoteza majenerali kama Urusi, ni hatari sana na hasara kubwa na aibu kuu....
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Hatukupiga kura sababu tulichotaka kati ya Urusi vs Ukraine hakikutokea!

    Serikali ya Tanzania imetoa ufafanuzi kuhusu sababu ya kupiga kura ya kutofungamana na upande wowote katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu mgogoro unaoendelea kati ya Russia na Ukraine Imesisitiza pande zote mbili kutafuta suluhu katika meza ya mazungumzo hilo ndilo walilotaka...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Ramaphosa ailaumu NATO kwa mgogoro wa Urusi na Ukraine

    Wachambuzi wa masuala ya siasa wanasema Rais wa Afrika kusini, Cyril Ramaphosa amepunguza ushawishi wake kama mpatanishi wa mgogoro wa vita nchini Ukraine akiwa na pendekezo lenye utata kwamba hatua za NATO ndizo za kulaumiwa kwa uvamizi wa Russia dhidi ya jirani yake wa magharibi. Ramaphosa...
  9. Gan star

    JamiiForums Tanzania Vita ya Ukraine na Urusi: Mwisho wa zama za vifaru umefika

    Ukraine anatembeza show ya kibabe, si ya nchi hii dhidi ya majeshi ya Urusi, ukweli ni kwamba Urusi imeshindwa vibaya kwenye ground war against a well organized Ukrainian defenders! Vifaru vya Urusi ambavyo vinaaminika ndo vifaru Bora kabisa duniani vinapukuchuliwa Kwa Kasi ya 5G huko Ukraine...
  10. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya: Afrika iungane na dunia yote kuipinga Urusi

    Umoja wa Ulaya (EU) umetoa tamko la kuendelea kulaani kitendo cha Urusi kuivamia Ukraine na kushawishi mataifa mbalimbali zikiwemo nchi za Afrika kuipinga Urusi kwa kitendo chake cha kuivamia Ukraine kijeshi. Tamko hilo limetolewa na baadhi ya mabalozi wa nchi za Ulaya waliopo nchini Tanzania...
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Waasi wa Belarus wajiunga kwenye mapambano dhidi ya Urusi

    Wasema imefikia wakati wa Belarus kujiokoa kutoka kwenye mikono ya Mrusi, waelekea Ukraine kufanya yao huko, na hii itasababisha vitaifa vyote ambavyo vimekua vikinyanyaswa na Urusi kujiunga pia kwenye haya mapambano. Huu ndio muda muafaka wa Mrusi kufumwa mkuki maana tayari kalegea na...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Urusi: Mahakama yapiga marufuku Facebook na Instagram

    Mahakama mjini Moscow imepiga marufuku shughuli za Instagram na Facebook zinazoonesha "msimamo mkali" nchini Urusi, ripoti zinasema. "Tunalikubali ombi la upande wa mashtaka la kupiga marufuku shughuli za [Instagram na kampuni mama ya Facebook] ya Meta," Jaji Olga Solopova alisema, kwa mujibu...
  13. Nkobe

    JamiiForums Tanzania Kuuawa kwa majenerali wa Urusi na vita kuchukua muda mrefu ni ishara kuwa jeshi hilo halina uwezo unaosemwa

    Kwa mujibu wa taarifa za ndani ni kwamba Russia ilipanga kuwa imeiteka ikulu ya Kiev ndani ya siku mbili, wapachike vibaraka wao madarakani kisha warudi nyumbani. Lakini sasa hali imekuwa tofauti kama ambavyo ulimwengu umekuwa ukiitizama nguvu ya kijeshi ya Russia. Hadi sasa majenerali 5 wa...
  14. Hero

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzozo wa Ukraine: Julius Malema ataka Waafrika kuungana na Urusi

    Huyu malema sasa amekiwasha kweli kweli na sijui itakuwaje, ila ki msingi ameyasema yaliyomo moyoni mwangu japo kuwa sifurahii kabisa masahibu wanayoyapata wa 'Ukraine' kwa ujuha wa rais wao!
  15. kali linux

    JamiiForums Tanzania Wadukuzi (Hackers) wametengeneza njia ambayo kila mtu ataweza kuchangia kuipiga Urusi na Putin

    Wadukuzi wametengeneza njia ya kushambulia urusi kupitia internet ili kupunguza wimbi la usambazaji wa taarifa za uongo (propaganda) https://bit.ly/369vDDz Njia wanayotumia inaitwa DDOS Attack (Distributed Denial Of Service) Kiufupi ni kwamba user akifungua hio link atatumia kifaa chake kutuma...
  16. 5

    JamiiForums Tanzania Ukraine yadai kuwaua wanajeshi 15,000 wa Urusi

    Maafisa wa kijeshi wa Ukraine wamedai kuwa takriban wanajeshi 15,000 wa Urusi wameuawa tangu Rais Vladimir Putin alipoanzisha uvamizi wake zaidi ya wiki tatu zilizopita. Katika sasisho lililotumwa kwenye ukurasa wa Facebook wa wafanyikazi wakuu wa Ukraine, maafisa walisema kuwa wanajeshi 14,700...
  17. figganigga

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

    Salaam Wakuu, Hii ni Special thread ya Video na Picha kutoka Uwanja wa Mapambano Ukraine kwa Wanajeshi Waliopo Msitari wa Mbele. Hii thread inawahusu timu Ukraine. Picha zinahusu mafanikio ya Ukraine. Mwanajeshi wa Ukriane akiwa na PG-7VM rockets Hiki ni kipigo cha kwanza walichokipata...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Urusi waingia ndani zaidi ya mji wa Mariupol

    Wanajeshi wa Urusi wamesonga ndani zaidi katika mji wa Mariupol ulioathirika zaidi na vita vinavyoendelea nchini Ukraine ambapo inaarifiwa kuwa mapigano makali yamepelekea kufungwa kwa kampuni moja kuu ya chuma cha pua huku serikali ya eneo hilo ikitoa wito wa msaada zaidi kutoka mataifa ya...
  19. profesawaaganojipya

    JamiiForums Tanzania Urusi yatumia kombora la kisasa la hypersonic, huko Ukraine

    Russia imetumia kombora la kisasa kabisa lisilozuilika la hypersonic, kuharibu ghala la silaha nchini Ukraine. USA NA NATO hawana mfumo wa kuweza kulizuia au kuliangusha kombora hilo, NATO wote tumbo joto, USA anajipendekeza kwa mchina ili amgeuke Russia, na Mchina kakomaa na swahiba wake...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Biden amtaka Rais Xi wa China kutoisaidia Urusi

    Rais wa Marekani Joe Biden amemuonya mwenzake wa China Xi Jinping juu ya athari zitakazoikabili Beijing, endapo itatoa msaada wa vifaa kwa Urusi katika uvamizi wake nchini Ukraine. Biden ametoa onyo hilo wakati wa mazungumzo kwa njia ya video na rais Xi juu ya mzozo wa Ukraine. Msemaji wa...
Back
Top Bottom