urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Ukraine sasa iko katika vita kamili vya kujikomboa

    Hali ya vita vya Ukraine sasa iko wazi kwa kila mshirika. NATO na Ukraine kwa upande mmoja na Russia kwa upande mwingine. Uwanja wa vita rasmi unaeleweka kwa wote kuwa ni Ukraine. Russia kama Nduli Amini, sasa anatakiwa kufurushwa kutoka katika ardhi zote za Ukraine zikiwamo Donbas, Lohansk...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania UN yaisimamisha Urusi katika Baraza lake la Haki za Binadamu

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepiga Kura kuisimamisha Urusi katika Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja huo (UNHRC) kama adhabu kwa uvamizi wake dhidi ya Ukraine Kati ya Wajumbe 193 wa Baraza hilo, 93 walipiga Kura ya kuunga mkono kusimamishwa Urusi, 24 walipinga na 58 hawakupiga Kura Hii...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Zelensky: Mafuta ya Urusi kutowekewa vikwazo kunagharimu maisha ya watu

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ametoa wito kwa Viongozi wa Mataifa ya Magharibi kukubaliana haraka juu ya vikwazo vya Mafuta ya Urusi, akisema kushindwa kwao kufanya hivyo kunagharimu maisha ya Raia wa Ukraine Amesema Moscow imekuwa inapata Fedha nyingi kutokana na mauzo ya mafuta, hivyo...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Urusi vyawalenga watoto wa Rais Putin

    Marekani imesema inaamini Mali nyingi za Rais wa Urusi, Vladimir Putin zimefichwa na Wanafamilia. Kauli hiyo inakuja kufuatia vikwazo vipya vilivyotangazwa dhidi ya Watu wa karibu wa Putin wakiwemo Mabinti zake wawili Taarifa ya Marekani imemtaja Katerina Vladimirovna Tikhonova kama Mkurugenzi...
  5. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mataifa ya Afrika yanayoitegemea Urusi kwa chakula, kumbe ndio maana baadhi yaliogopa kuisema vibaya Urusi

    Mataifa yote duniani yaliombwa yakemee mauaji ya kimbari aliyoyafanya Urusi kule Ukraine, ila kuna baadhi ya mataifa ya Kiafrika yaliingiza mikia kwenye miguu na kusema hayafungamani na upande wowote, baadaye taarifa zimetoka kumbe haya mataifa maskini yanategemea Urusi kwa ngano hivyo kwa...
  6. britanicca

    JamiiForums Tanzania Thread number 2 Hassara Ya Urusi kwenye Vita Ya Ukraine

    Uzi wa awali ulieleza jinsi Urusi alivyopoteza, Vitani ila huu utaangalia Uchumi na uwekezaji MAUZO Mauzo nje yameshuka kwa asilimia 30 tokea amewekwa vikwazo Hungary imesitisha uingizaji wa mafuta Ya Urusi kwa asilimia 20% Ufaransa imepunguza utegemezi wa mafuta ya Urusi Kwa asilimia 30%...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Luteni Jenerali Roger L. Cloutier wa Jeshi la Marekani atekwa na Makomandoo wa Urusi akiwa vitani Ukraine

    Zamotomoto kutoka katika uwanja wa Vita mji wa Mauripol, Makomandoo wa Urusi kutoka kikosi hatari zaidi Ulimwenguni cha Spetsnaz kilichochini ya KGB /FSB wamemteka Kamanda wa Jeshi la Marekani Luten General Roger L. Cloutier Jr, Pamoja na propaganda kadhaa za watu wasio rasmi wala wasemaji wa...
  8. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Chanel yasitisha kuuza bidhaa zake kwa watu wanaozinunua na kupeleka Urusi ikiwa ni baada ya kufunga maduka yake nchini humo

    Kampuni kubwa ya kifahari ya Chanel ya Ufaransa imeacha kuuza bidhaa zake kwa watu wanaonunua na kuzipeleka Urusi, baada ya kufunga maduka yake nchini humo. Moscow na baadhi ya wateja wameishutumu kampuni hiyo kwa kupinga Urusi, na kutishia kususia chapa hiyo. Chanel inasema inazingatia tu...
  9. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya kutengeneza Chip za Kompyuta ya Intel Corp kusitisha huduma zake Urusi

    Kampuni ya kutengeneza Chip za Marekani ya Intel Corp ilisema Jumanne kwamba imesitisha shughuli za biashara nchini Urusi, ikijiunga na makampuni kadhaa kuondoka nchini humo kufuatia uvamizi wake nchini Ukraine. Kampuni hiyo, ambayo ilikuwa imesitisha usafirishaji wa bidhaa kwa wateja wa nchini...
  10. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Vita ya UKRAINE ukilinganisha na IRAQ inaonyesha Ukatili wa US/NATO na upendo wa Urusi

    Kipigo cha Iraq wakuu kilikuwa ni cha kikatili sana. Ziliruka ndege mamia juu ya Anga Siku ya kwanza zikadondosha mabomu kama mvua Baghdad. Hata sisimizi wa Iraq walijua kuna wanadamu katili. Uchunguzi wa UN ulipuuzwa. Anapigwa MTU bila kuonyesha uhalali wa upigwa. Na dunia nzima...
  11. Gan star

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa Urusi : Huwezi kuwaangamiza mchwa bila kumuua Malikia wao, Mwenzako Japan alilijua hilo na akajaribu Bahati yake

    Tumeshuhudia Urusi ikiivamia Ukraine kijeshi , uvamizi huu ulikuwa na lengo la kuiweka Ukraine chini ya himaya ya Urusi ikiwa ni pamoja na kusimika utawala mpya ( Full scale millitary invasion), na hvyo kufagilia mbali malengo ya NATO pamoja na wahuni wa US kujibanza pale. Mambo hayajaenda...
  12. britanicca

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Urusi wanavyoswitch habari ziende wanavyotaka wao na wasikilize wanachotaka wao (walidharau Mwiba mguu waanza kuoza)

    Habari za wanandugu hapa! Wakiwa wamekufa wanajeshi zaidi ya 10,000 wa Urusi na 2600 wa Ukraine na raia 5200 wa Ukraine, Hakuna aliyeamini Kama Kuna Kifaru cha Urusi kitaguswa wala hakuna aliyeamini kama Urusi ataruhusu hata majeshi wake mmoja kuuwawa huko vitani, maana wengi walilibeka...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania UN: Raia 1,471 wameuawa kutokana na mgogoro wa Urusi na Ukraine

    Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Haki za Binadamu (UN-OHCHR) limeripoti raia 1,417 kuuawa tangu kuanza kwa vita vya Urusi na Ukraine, Raia wengine 2,038 wamejeruhiwa 121 kati ya waliouwa ni Watoto. UN-OHCHR imesema idadi ya vifo inaweza kuwa kubwa kuliko iliyoripotiwa. === As of...
  14. ngajapo

    JamiiForums Tanzania Taratibu nchi za ulaya zimeanza kukubaliana na utaratibu wa manunuzi ya gesi kwa mfumo wa rubble. Slovakia yawa ya kwanza kukubali

    Taratibu maji na mafuta vimeanza kujitenga.. Hii ni baada ya Slovakia kukubali rasmi kufanya malipo ya gesi kwa mfumo wa rubble kama Russia inavyotaka iwe.. wamesema hawawezi kumpoteza Russia ambaye ni supplier mkuba wa gesi katika nchi yao.. Slovakia inategemea gesi kutoka urusi kwa zaidi ya...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Zelensky: Askari wa Urusi wanatega mabomu ya ardhini wanapoondoka

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amewaonya watu wake mapema leo Aprili 2, 2022 kuwa wanajeshi wa Urusi wanaoondoka katika maeneo yao wanatengeneza kile amesema ni "mazingira ya maafa" nje ya mji mkuu kwa kutega mabomu ya ardhini katika eneo zima hata karibu na nyumba za watu na maiti. Ametoa...
  16. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Vikwazo vya Urusi vinaweza kuchochea mauzo ya silaha za China kwa Nigeria

    Vikwazo vya Magharibi kwa Urusi na Belarus vinaweza kusukuma Nigeria kuagiza silaha za China zinazoweza kufikiwa zaidi na za bei nafuu Uvamizi wa Februari 24 wa Ukraini uliofanywa na Urusi umevuruga uhusiano wa kisiasa wa kijiografia na kibiashara kote ulimwenguni, kutoka kwa maswala ya kununua...
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Urusi yawaomba wanajeshi wa akiba waliostaafu wajitokeze maana hali ngumu

    Urusi imefikia hatua za kuomba usaidizi wa wastaafu maana hali imekua balaa, Ukraine japo kataifa kadogo lakini kamehimili na kupangua mapigo yote, na kama kawaida kwa vita vya muda mrefu huhitaji wanajeshi wapumzishwe ili wengine waje kwenye mapambano, sasa imekua vigumu kuwarejesha nyumbani...
  18. Sexer

    JamiiForums Tanzania Urusi yaishutumu Ukraine kwa kushambulia ghala lake la mafuta

    Gavana wa jimbo la Belgorod nchini Urusi ameishutumu Ukraine kwa kushambulia ghala lake la mafuta katika mji huo. Vyacheslav Gladkov alisema kupitia Telegram kwamba moto mkubwa uliozuka Ijumaa asubuhi kwenye ghala hilo, ulisababishwa na mashambulizi ya anga kutoka kwa helikopta mbili za...
  19. britanicca

    JamiiForums Tanzania Russia Vs Ukraine hakuna mshindi wa Vita ila kwa Haraka Urusi amepoteza in reality

    Habari za wakuu hapa ni vema uzi uachwe kuonesha nani kapoteza kwa namna tofaut tofauti, Kuna Nyuzi nyingi Sana hapa ila huu utakuwa wa kitaalamu Na shuhuda nilizoshuhudiwa siyo kwa kusimuliwa Wengi wameeleza chanzo cha Vita hii ila kwa hapa naonesha Matokea tu 1. Mpaka sasa week Jana natoka...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Urusi yatishia kusitisha usambazaji gesi Ulaya

    Rais Vladmir Putin alihutubia taifa lake na kutishia kusitisha mikataba ya kusambaza barani Ulaya theluthi moja ya gesi ya Urusi kama hawatalipwa katika sarafu ya kirusi. Amesema amri hiyo inaanza kutekelezwa Aprili mosi. Rais Putin ametishia kusitisha mikataba ya kusambaza barani Ulaya...
Back
Top Bottom