urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aziwasilisha fursa kubwa kutoka kwenye sekta tano kwenye jukwaa la kiuchumi Urusi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametaja sekta tano zenye fursa kubwa za uwekezaji na ushirikiano wa kiuchumi kati ya Tanzania na Urusi, akizialika kampuni na wawekezaji wa Urusi kutumia mazingira mazuri ya biashara yaliyopo nchini Tanzania. Akizungumza...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Urusi imeshidwa kutetea Syria na Venezuela hata Tanzania watashidwa

    Urusi imeshidwa kutetea Syria na Venezuela hata Tanzania watashidwa. Ni ujinga na maono yasiyo na tija kufikiria Urusi ambayo imetekeleza marafiki zake hata wale waliokuwa wana nunua silaha kutoka kwake akija USA Urusi inawatekeleza. Sasa Samia anapoteza muda kwenye kujipendeleza na nchi yenye...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi

    https://www.youtube.com/watch?v=aZJigFrAukU Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu (Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) jijini Moscow, tarehe 4 Juni, 2026
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Dira 2050: Ushirikiano na Urusi

    Dira ya Maendeleo 2050 inahitaji rasilimali, teknolojia na ushirikiano wa kimataifa wa hali ya juu. Urusi ina uwezo wa kutoa mchango mkubwa katika kufanikisha Dira hii. Ziara ya Rais Samia inalenga kuhakikisha ushirikiano huu unabeba matokeo ya kweli yanayofika kwa Watanzania wote...
  5. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Ayoub Rioba wa TBC Baada ya Kuchukua Mamilioni ya Kustaafu Sasa Arudi Na Ziara ya URUSI!

    ANAANDIKA AYOU RIOBA , MSTAAFU TBC ANAYEKULA MAFAO KWA MRIJA:- Ziara ya Rais SSH Urusi ni muhimu sana, hasa tukizingatia historia ya mataifa yetu! Ninafahamu fika kwamba ndugu zetu mabeberu watachukia. Tanzania na Urusi zina historia kubwa kimahusiano. Tuna Watanzania wengi waliosomeshwa Urusi...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Ni uzembe au kutapatapa kama siyo kutengwa ziara ya Samia Urusi kupigwa mabomu na Ukraine?

    Akiwa nchini Urusi kwa ziada ya kikazi, rais Samia alijikuta katika mtanange ambapo mji wa St Peterburg ulishambuliwa na drone za Ukraine. Kwa kiongozi wa nchi, hii inaleta picha gani? Mbali na hilo, alivyokuwa akihangaika kusoma wakati akitoa salamu za kawaida ambazo hazikuhitaji maandishi...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Nitajie nchi za Afrika tokea kupata uhuru au sehemu nyengine urusi ilivyounga mkono nchi zikawa na maendeleo makubwa ya kutisha

    Sawa ni super pawa ila sijawahi kuona sehemu urusi anapounga mkono pakawa salama zaidi ya watu kupitia mateso,vita visivyo kuwa na ukomo,maendeleo yanakuwa kwenye jeshi tu na watawala wala sio wananchi. Tukiwachekea hawa tuna ungana na historia za wengine.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ukijaza Undugu/Uzanzibari/Utanganyika kwenye Uongozi ndiyo yamkuta Mama Samia! 2026 eti una pongeza Urusi kwa ukombozi wa Africa!!!

    Tatizo la kujaza watu kwenye uongozi waliojaa uchawa na uzanzibari. Sasa Mama badala ya kusafiri nje kutafuta uwekezaji na technologia ili kukuza ajira na maendeleo anaenda Urusi eti kuwashukuru wa ukombozi wa Africa. Ukombozi gani wakati yeye mwenyewe hajachaguliwa, wabunge wanachaguliwa mezani...
  9. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Tanzania inatafuta nini Urusi? (BBC)

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameanza ziara ya siku tatu nchini Urusi kuanzia Juni 3 hadi 5, 2026, ambapo atafanya mazungumzo rasmi na Rais wa nchi hiyo, Vladimir Putin, pamoja na kushiriki katika Jukwaa la Kimataifa la Uchumi la St. Petersburg (SPIEF 2026). Hii ni ziara ya kwanza ya...
  10. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu awasili Urusi

    ■Atahutubia jukwaa la kimataifa la uchumi la St. Petersburg ■Anatarajiwa kushiriki kongamano la uwekezaji kati ya Tanzania na Urusi ■Atatunukiwa shahada ya heshima, kunadi fursa za dira 2050
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameenda Urusi kuitisha Marekani?

    Dunia imegawanyika katika pande kuu mbili, mataifa ya Magharibi (US, EU, UK) na Mashariki (Urusi, China, North Korea, nchi za Kiarabu. Kila upande una mitazamo yake kiuchumi, kiulinzi na kidemokrasia. Wakati wa vita vya kiuchumi au vita halisi, Wamarekani huwa wana msemo wao. "Either you are...
  12. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akiwasili nchini Urusi kwa ziara ya kitaifa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili nchini Urusi kwa ziara ya Kitaifa itakayoanza tarehe 3 hadi 5 Juni, 2026 kwa mualiko wa Rais wa Shirikisho la Urusi, Mheshimiwa Vladimir Putin. Soma Pia: Rais Samia kufanya ziara nchini Urusi kuanzia Juni 3...
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Baada ya USA kuipa kisogo Tanzania baada ya matukio ya Oktoba 29. Urusi ya Putin inaweza kuwa msaada?

    Naona kuna dalili kubwa kuwa taifa letu lina hali mbaya sana maana Usa na mataifa ya magharibi wamelitupa. Kukimbila kuwa karibu na Urusi kunaweza kuwa msaada kwa taifa hili ambalo mpaka sasa limechafuka dunia nzima kwa kuwa na serikali ambayo inatuhumiwa kuua watu ili ibaki madarakani? Pia...
  14. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania ZIARA YA MH RAIS SAMIA URUSI NA "GEOPOLITICAL DIPLOMATIC SHIFT" YA DUNIA.

    Dr.Zack. June 2,2026.06:54AM. Baada ya Serikali ya Tz jana kutangaza kuwa Mh Rais Samia Suluhu Hassan kesho June 3,2026 anaanza ziara ya siku mbili Nchini Urusi ilinifurahisha sana. Hii inaweza kuwa ni ziara bora zaidi na ya kimkakati sana tangu Mh Rais Samia Suluhu Hassan aingie Ikulu baada...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mama kwenda ziara Urusi ni tumekuwa loosers

    Hivi wale wanaosema Urusi imeendelea sana tujiulize kuna gari gani linatoka urusi, ndege gani wanatengeneza zaidi ya za kivita, madawa gani au software gani wanatengeneza? Mama Samia kaishiwa sehemu za kwenda mpaka anaenda kwenye nchi yenye vikwazo ili tu apewe vifaa vya kipolisi na kijeshi...
  16. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Metafrax Chemicals katika eneo la Perm nchini Urusi chashambuliwa na Drones za Ukraine!!

    Ndege zisizo na rubani za Ukraine za masafa marefu zilishambulia kiwanda cha Metafrax Chemicals katika eneo la Perm nchini Urusi, takriban kilomita 1,700 kutoka mpaka wa Ukraine, katika mojawapo ya operesheni za ndege zisizo na rubani za Ukraine zilizoripotiwa kushambulia ndani zaidi eneo la...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Urusi yaanza mazoezi ya kutumia silaha za Nyuklia

    Baada ya Ukraine kuwashambulia URUSI kwa drones na kwenda kupiga kwenye Shule ya Watoto wa Primary usiku wa kuamkia Jana, leo Rais Putin kaidhinisha vikosi vyote vya Nyuklia kuanza mazoezi na kujiandaa kumshambulia Adui yao atakayeivamia nchi yao lakini haijawekwa wazi Adui huyo ni nani...
  18. H

    JamiiForums Tanzania ATCL kuanza safari za Urusi juni 2025 - Waziri Mahmoud Kombo

    ATCL KUANZA SAFARI ZA URUSI JUNI 2025 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo, amesema kuwa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), linatarajia kuanza safari za ndege kuelekea nchini Urusi mnamo Juni, 2026. Ameyasema hayo leo Mei 15, 2026 jijini Arusha...
  19. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Jeshi la anga la USA limeishambulia meli ya Korea kasikazini ikiwa na askari 13,000 kuelekea Urusi?

    Je, ni upi uhalisia wa chapisho hili linalosambaa kwa kasi sana kwenye mitandao ya kijamii?
  20. A

    JamiiForums Tanzania Haiwezi kutokea hata kidogo urusi ,china , na korea kuingiza raia wao katika vita vya nuclia kisa iran

    Kuna watu wana comment kwa post hii kuwa usa akimpiga iran kwa nuclia sijui urusi, china , korea zitajibu Thubutu hakiwezi kutokea icho zaidi sana ni malalamiko urusi ,china na korea watalaumu usa sio kumshambulia maana katika hawa hakuna ambaye atakuwa tayari kupoteza raia wao pia kwasababu...
Back
Top Bottom