urafiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Urafiki na mikopo

    Habari wanajamvi, Katika safari ya maisha, kuna watu ambao huwa wa karibu sana kiasi kwamba wanapohitaji msaada wa kifedha unawasaidia bila kusita, kutokana na heshima na uaminifu mliojenga kwa miaka mingi. Hilo ndilo lililonikuta mimi. Kuna rafiki yangu wa muda mrefu ambaye tumekuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Leo mnamaliza kikao Nakuomba Jin ping kuwa makini na hawa watu hawana urafiki wa kudumu.

    1.Kamwe usiache kumpa silaha Iran 2 kamwe usikubali mikataba ya kununua mafuta kwao.
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukitaka mdumu urafiki JF, msivuane kifuniko cha utamu

    Wala msihusishe mambo ya mahusiano hata kama una mahusiano yako humu basi yawe mbali na marafiki zako humu Mkishavuana tu hicho kifuniko cha utamu basiiii urafiki umekwisha I thank God for this friend of mine 5 -6yrs bado tunapishana na mishale tu Una rafki humu? How many years so far?
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa sana na mke wa mtu alienidhamiria bila kuchoka, nawezaje kumfanya ajue haitawezekana bila kuvunja urafiki wetu?

    Kuna binti mmoja, ni mke wa mtu, lakini ananiumiza kichwa sana siku hizi. Mume wake alimfungulia duka kubwa tu awe anakuwa bize, na kwa kuwa hata mimi nina duka katika mitaa hiyo, tulianza kuzoeana kama majirani. Kila nilipopita na kumuona, sikusita kumsalimia na mara nyingi tulikuwa tunapiga...
  5. JamiiForums Tanzania Usijaribu, usijaribu kuwa na urafiki na wazee(mapai) ni kosa, kosa, kosa, we jipendekeze hayaaaa

    Hiii KESI ya banjo, imenikumbusha KESI ya zenji, yule sheikh kakaaa NDANI wakaja wageni, wakapiga NAE stori, BADAE wakasepa NAE KAWAIDA TU BILA SHIDA, mfanya KAZI WA NDANI hakuona dalili yoyote mbaya Yani friendly, Mara kapotea hakurudi, BADAE kaokotwa daraja la bububuu kauliwa, upelelezi...
  6. JamiiForums Tanzania Urafiki wa polisi na raia umeharibika sana kwa sababu ya matukio kama haya ya watu kufia mikononi mwao kwa mateso na ukweli unageuzwa

    Siku chache baada ya mahabusu Michael Rambau (18), kudaiwa kujinyonga ndani ya Kituo Cha Polisi Kati-Moshi, mkoani Kilimanjaro, waombolezaji waliokuwa wamekusanyika leo nyumbani kwa wazazi wa marehemu huko Rau, Manispaa ya Moshi ili kushiriki ibada ya maziko yake, wanadaiwa kumfukuza na kumzomea...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Friendship connect (tuunge urafiki) tafadhali!

    Nimepost hapa hapa, Friendship connect (tuunge urafiki) tafadhali! Je umezaliwa tarehe zifuatazo 👇 kama jibu ni 'Ndio' karibu tuunge urafiki? 👉 Mei 21 hadi 31, 👉 Juni 1 hadi 20, 👉 Novemba 22 hadi 30 👉 Desemba 1 hadi 21 Napenda kuconnet na wewe mtajwa hapo juu kwa ajili ya urafiki.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Maonesho ya Picha za Kihistoria ya "Pamoja Tunasafiri, Urafiki Wetu Unadumu” Yasawiri uhusiano wa Miaka 65 wa Somalia na China

    Uhusiano kati ya Somalia na China ulioanza tangu enzi na dahari sasa unaendelea kukita mizizi yake zaidi kwenye nchi hizi mbili. Kupitia maonesho ya picha yaliyozinduliwa hivi karibuni na balozi wa Somalia nchini China Hodan Osman Abdi ambayo yamepewa jina la "Pamoja Tunasafiri, Urafiki Wetu...
  9. L

    JamiiForums Tanzania "Dhahabu ya kijani" ya Tanzania itakayooneshwa kwa mara ya kwanza katika maonesho ya uagizaji ya China kuleta matumaini na urafiki mkubwa

    Katika Mkoa wa Njombe uliopo kwenye nyanda za juu za kusini mwa Tanzania, Juliana Yotham Mwalyepelo mwenye umri wa miaka 38 anachunguza safu za miparachichi ambayo imestawi vizuri. Akiwa afisa mkuu mtendaji wa Kampuni ya Chrises Real Solutions, kila tunda kwake si kwamba analiona ni mavuno tu...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Polepole athibitisha unafiki wa urafiki ndani ya CCM

    Polepole athibitisha unafiki wa urafiki ndani ya CCM! Yaani mtu ambaye mlikuwa karibu hutaki hata kujua hali yake hata baada ya Mama mzazi wake kuongea hujali hata kuuliza na hata kusema basi unamuombea na kumuombea shinikizo aachaliwe. Yaani muongeaji pekee ni Heche!!!! huko CCM kuna binadamu...
  11. L

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Jumba la Utamaduni lachanganya sanaa, maendeleo ya mafuta na urafiki wa China na Uganda

    Mchoro wa ukutani wenye urefu wa mita 80 unaoonyesha ndege wa taifa wa Uganda, korongo, pamoja na dragon wa China anayeashiria maelewano, ulisimama kama kitovu cha tamasha la jadi lililofanyika hivi majuzi katika Kijiji cha Kasinyi, jamii iliyopo mbali katika Wilaya ya Buliisa magharibi mwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kumuona kama rafiki ila yeye alinitumia kama rasilimali, kakwama anataka msaada, Nimsaidie ?

    Kuna homeboy tulisoma naye zamani, lakini tukapoteana kwa miaka kadhaa baada ya chuo. Miaka mitatu ilikuwa imempita akiwa mtaani hana kazi, hana ramani, hana pa kuanzia. Siku moja akanipigia simu. Aliomba aje mjini (Dar) aanze maisha upya. Hakuwa na pa kuishi, hakuwa na hata pa kupafikia...
  13. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwenye siasa hakuna uadui au urafiki wa kudumu. Lakini kwa Luhaga Mpina hapana.Hajatumwa na CCm

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kisesa CCM kwa zaidi ya miaka 20, Luhaga Mpina sasa kaondoka kwenye Chama hicho na kujinga na ACT Wazalendo, huko amefika tu na kupewa nafasi ya kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu ujao Kwa kipindi chote akiwa CCM, Mpina alikuwa mpinzani wa ubadhirifu wa mali ya...
  14. JamiiForums Tanzania SLAVE MENTALLITY: Unaweka watu foleni kugombania nafasi ya kuwa rafiki yako, nilijuaga urafiki unakuja kiasili.

    Kuna mtu humu anawaenjoy masela basi na wao wanachekeleeea hawajui kwamba wapo katika "matrix" yake ya kujimbwafai.. Too bad wachache ndio wataelewa.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Niwe muwazi tu, siwezi kuwa na urafiki wa karibu na mtu ambaye kazi yake inahusisha kuua au kuumiza wengine, na kwake hilo ni jambo la kawaida

    POLISI, MAGEREZA, ASKARI WA MBUGA, n.k. Kwangu wataishia kuwa marafiki wa kujuana kidogo, kupiga vistori vya kupoteza muda na kuwatumia iwapo kuna hitaji connection au msaada wa haraka. Kuwa na rafiki mwenye kazi inayofusisha au kafunzwa kuua au kuumiza wengine ni jambo hatari kuwa na rafiki...
  16. JamiiForums Tanzania Urafiki wa Julius Nyerere na Zuberi Mtemvu

    URAFIKI WA JULIUS NYERERE NA ZUBERI MTEMVU Kuna mambo mengi nimeyasikia udogoni kuhusu wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika ambayo kwa wakati ule sikujua kuwa ni mambo yatakayokuja kuwa muhimu na watu watapenda kuyafahamu kwa kina. Katika video moja kuhusu nguvu ya TANU na jinsi chama...
  17. JamiiForums Tanzania Nikifahamu unavaa hivi bora urafiki ufe

    Unakuta mwanaume anavaa zake hivi na sendo na vest anaingia zake town alafu hana habari Kama wewe ni mshkaj wangu bora urafiki uishe maana unakuwa ni utoto na uvulana , mwanaume kamili hawezi kuvaa hivi
  18. R

    JamiiForums Tanzania Vijana Kutumia Akili Unde (AI) kwa Ushauri wa Mahusiano na Urafiki

    Tafiti iliyofanyika nchini Marekani ionyesha kwa asilimia kubwa Vijana wanatumia akili Unde ( Artificial Intelligence AI) Kwa ushauri wa Mahusiano, kama rafiki wa karibu zaidi ya Uhalisia na msaada kitaaluma Ripoti mpya kutoka shirika la Common Sense Media inaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 70...
  19. JamiiForums Tanzania Mazoea na Urafiki Usio na Mipaka Kwenye Biashara ni Saratani Inayoua Malengo Taratibu

    Katika ulimwengu wa biashara, kuna mambo madogo sana yanayoonekana kama ya kawaida—lakini yakiwa hayajadhibitiwa, huwa kama saratani ya kimya kimya. Moja ya mambo haya ni mazoea ya kupitiliza na urafiki usio na mipaka. Haya ni magonjwa ya ndani yanayoweza kuivuruga biashara yoyote, haijalishi...
  20. JamiiForums Tanzania Weka mipaka ya urafiki na watu kukujua sana

    Katika maisha yako jitahidi kuweka mipaka usiruhusu watu wakujue sana , hata urafiki uchoree mstari uwe na mipaka yake kuna maeneo usivuke. Kuna nguvu kwenye kuwa msiri, Adui anayekufahamu ana nguvu kuliko asiyekujua, adui asiyekujua hajui aanzie wapi kukushambulia
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…