Kwa kweli nimeumia sana niwe mkweli, hawa Rivers nao ni wa kutufunga kweli?
Sawa tulifungwa lakini makosa haya yamechangia
1: kocha alijua wazi na kuona namna mukoko na zawadi hasa hasa zawadi walivyopwaya, na bado hakuchukua hatua yoyote, matokeo yake tukawa tunakimbizwa tu kati na kina ukwe...