Siku za karibuni kumeibuka upotoshaji wa makusudi, tena uliopangiliwa vizuri wa kuwa Magufuli alidai amemaliza rushwa, wizi na ufisadi nchini.
Hebu tutendeni haki, Magufuli hakuwahi kumaliza rushwa, wizi na ufisadi. Ila katika uongozi wake wa serikali na chama tulishuhudia juhudi za dhati za...