Jeshini kumejaa wazanaki, kwanini kuna upotoshaji kwamba ni wakurya waliojaa ?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Huwa nashangaa sana napoona watu wanasema kwamba jeshini waliojaa ni wakurya, hii siofact ni maneno ya vijiweni tu,

Watu wengi wanakoseaga kudhani kwamba wazanaki ni kabila moja na wakurya sababu wote wana mfanano wa lugha, hili ni kosa! hapa nchini tunaongea wote kiswahili lakini ni makabila tofauti, hata kwenye uongozi wa kikabila wazaramo walikuwa na machifu wao na wakurya walikuwa na machifu wao.

Wengi hudhani wazanaki na wakurya ni kabila moja kwasababu lugha pengine zinafanana, ni sawa na mtanzania na mkenya wanaongea kiswahili ila ni watu wa nchi tofauti, Pia wazaramo kwa asili walikuwa wanaongozwa na machifu wao, wakurya nao walikuwa na machifu wao, kulikuwa hakuna muingiliano.

Kiukweli waliojaa ni wazanaki na hata polisi wa sasa Wambura ni mzanaki nae Sirro aliepita ni mzanaki.

kwa zamani kidogo wakurya ndio walikuwa wamejaa ila ni kipindi cha vita ya Kagera tu, ilipoisha wengi walirudi vijijini ama kuendelea na shughuli zingine,

kwa sasa hata vyeo vingi vya juu ukikuta mtu ni wa mara basi ni mzanaki, ni ngumu sana kukuta wakurya
 
Huwa nashangaa sana napoona watu wanasema kwamba jeshini waliojaa ni wakurya, hii siofact ni maneno ya vijiweni tu,

Kiukweli waliojaa ni wazanaki na hata polisi wa sasa Wambura ni mzanaki nae Sirro aliepita ni mzanaki.

kwa zamani kidogo wakurya ndio walikuwa wamejaa ila ni kipindi cha vita ya Kagera tu, ilipoisha wengi walirudi vijijini ama kuendelea na shughuli zingine,

kwa sasa hata vyeo vingi vya juu ukikuta mtu ni wa mara basi ni mzanaki, ni ngumu sana kukuta wakurya
Kwani kuna kabila ngapi mkoa mara mkuu
 
Umesema kweli. Wakurya wameacha ubabe wao huko mara wamejilundikana Dar Kitunda kuuza mayai. Siyo dhambi kuuza mayai ama kukaanga chips lakini siyo kazi za wanaume.
 
Wazanaki walijipenyeza kutokea rwanda wakikimbia mapigano, walipofika mara wakawa wanaulizwa “wazanaki” au “mwazanaki “ yaani mmeleta nini ndio story yao kwa ufupi
 
Makabila mengi ya Mkoa wa Mara yanaendana,tofauti upo kwa wajaluo na wajita.Hao lugha haziinguliani kabisa.

But makabila mengi yaliyobaki yanaingiliana na kikurya na mengine yabaendana na kijiita-Wajaluo wao hawaingiliani na kabila lolote labda wajaluo wenzao wa Kenya na Sudan
 
Back
Top Bottom