Maadui wa Taifa: Kuna watu kwa makusudi kabisa wanapotosha juu ya mgogoro wa Loliondo na hifadhi ya Ngorongoro

Blood of Jesus

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
2,953
5,875
Kuna watu wenye akili zao kwa makusudi kabisa wanaamua kupotosha juu maeneo haya mawili. Kule Loliondo tunaweka alama za mipaka kati ya eneo tengefu na eneo la wananchi. Alama hizi za mipaka zimekuwa zikiwekwa maeneo mengi ya uhifadhi hapa nchini, mfano ni kule Gombe.

Ngorongoro bado tunaendelea kusisitiza kuwa kwa wale wote kwa hiari yao wataamua kuhama nyumba zimejengwa kule Handeni, nyumba 104 ziko tayari, nyingine 400 zinakamilishwa.

HAKUNA ASKARI YEYOTE ALIYEPELEKWA NGORONGORO KUMHAMISHA MTU YEYOTE KWA LAZIMA.! Bado ishu ya kuhama ni hiari ya mtu.

Tuwe wazalendo jamani, tuache upotoshaji.
 
Awamu hii wametokea Mataga na chawa wenye njaa wengi sana.
 
Kwa pesa gani serikali kuwajengea hao wamasai.Hizo pesa katoa huyo mwarabu ili kuwaondosha wamasai.wakati wa Magufuli aliufyata sidhani kama hata ulikuja kuwinda.sasa kaingia mama ndio yanatokea hayo madudu.
 
adui namba moja wa nchi hii, ni MARIA SARUNGU. amefurahi kweli kweli kwamba sasa kapata cha kuongea. anatumiwaga na wazungu siku zote kuleta chokochoko nchini.

Nafikiri ifike mahali sasa serikali ianze kudili na maadui kwa ufasaha. adui mwingine ni Ole Ngurumo, masai wa Ngorongoro ambaye kuna kipindi alileta ukakasi nchini hadi account za NGO yake zikafungwa (ninavyosikia), billions, wazungu walimuwekea ili kufanya makampeni wanayoyataka.

Serikali idili na watu wa aina hii vizuri. siongei kwamba serikali iwadhuru, hapana, kwakweli nisingependa wadhurike, ila ifuatilie nyendo zao zote.

Kwasababu kama wengine wanaishi Nairobi wamepangishiwa, wanaishije? wanakula nni, wapi wanapata pesa, si kuna mfadhili? ungefanya mambo kama haya Rwanda kagame angeshaita hadi balozi wa nchi huzika atoe maelezo.
 
Kuna watu wenye akili zao kwa makusudi kabisa wanaamua kupotosha juu maeneo haya mawili. Kule Loliondo tunaweka alama za mipaka kati ya eneo tengefu na eneo la wananchi. Alama hizi za mipaka zimekuwa zikiwekwa maeneo mengi ya uhifadhi hapa nchini, mfano ni kule Gombe.

Ngorongoro bado tunaendelea kusisitiza kuwa kwa wale wote kwa hiari yao wataamua kuhama nyumba zimejengwa kule Handeni, nyumba 104 ziko tayari, nyingine 400 zinakamilishwa.

HAKUNA ASKARI YEYOTE ALIYEPELEKWA NGORONGORO KUMHAMISHA MTU YEYOTE KWA LAZIMA.! Bado ishu ya kuhama ni hiari ya mtu.

Tuwe wazalendo jamani, tuache upotoshaji.
 
Kwa pesa gani serikali kuwajengea hao wamasai.Hizo pesa katoa huyo mwarabu ili kuwaondosha wamasai.wakati wa Magufuli aliufyata sidhani kama hata ulikuja kuwinda.sasa kaingia mama ndio yanatokea hayo madudu.
Serikali haina fungu la kujenga nyumba 500 za kuwapa wamasai, hizo ni pesa za OBC (kampuni ya waarabu) , wanatumia pesa nyingi sana ili kuchukua hilo eneo, hivi kuna nini huko Loliondo? Kama wamegundia Almasi si waseme tu?!
 
Back
Top Bottom