upinzani

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais wa Chama cha CUF, Prof Lipumba atema madini kupitia kipindi cha Dakika 45

    Ikiwa ni kipindi cha wagombea kunadi sera zao kwa wapiga kura kabla ya zoezi zima la mchakato wa kuwapata viongozi Wakuu wa kitaifa hapo Oktoba 28, Mgombea Urais kupitia Chama cha Civic United Front (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba amefanya mahojiano katika kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa kupitia...
  2. JamiiForums Tanzania Upinzani waliomba Jeshi kususia uchaguzi nchini Venezuela

    Kiongozi wa upinzani Venezuela Juan Guaido amelitaka jeshi la nchi hiyo kuunga mkono hatua ya kususia uchaguzi wa bunge unaopangwa Desemba na kusaidia kuongeza shinikizo la kimataifa dhidi ya Rais Nicolas Maduro. Katika hotuba aliyorusha kwenye mitandao ya kijamii, Guaido ameuomba uongozi wa...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yaanza kutoa matokeo ya rufaa za Udiwani na Ubunge zilizokatwa na wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa 2020

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeanza kutoa matokeo ya rufaa za udiwani na ubunge zilizokatwa na wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa 28 Oktoba 2020. Leo tume imetoa matokeo ya rufaa 55 kama ifuatavyo: 1. Imekubali rufaa 15 na kuwarejesha wagombea katika kinyang'anyiro cha uchaguzi. 2. Imekataa...
  4. D

    JamiiForums Tanzania CCM inadandia hoja nzito za upinzani, alianza Kikwete mwaka 2010 na kima cha chini cha mshahara. Huenda hawajui hata kuandaa ilani yao!

    Kwa mantiki hii ipo sasa haja ya moja kwa moja kuipumzisha CCM, kwanini? Kama mtakumbuka kuwa, mwaka 2010 Rais mstasfu Jakaya Kikwete alikuwa na mgogoro mkubwa sana na Katibu mkuu wa TUCTA wa wakati huo Nicholas Mgaya. Mgogoro huo ni kuwa bwana Mgaya alikuwa anashinikiza wafanyakazi kima chao...
  5. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani, mnafanya vizuri wenzenu mchecheto

    Mabibi na mabwana heshima kwenu. Tunapoendelea kusonga mbele na jitihada za kuleta mabadiliko ambayo kila aliye mzalendo angeyapenda, wenye mawazo mgando wanazidi kuingiwa mchecheto. Hofu imewatanda hawakumbuki jana walisema nini, leo wasemeje wala kesho watasema je. Palikuwa na hadithi...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hapa ndipo CCM ya leo inayopumulia mashine ilipofika

    Naweza sema CCM ya leo inaangamia kutokana na watu wake ama kukosa maarifa,au kutokana na wao kukataa tamaa na sasa wanaamua waende tu hivyo hivyo ili mradi tu bado wana dola mkononi. Kwa maneno mengine,kipimo cha namna gani mambo yao yanaenda vizuru sio tena ni namna gani wanakubalika kwa...
  7. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani ni sera mbadala, si 'kuunga mkono juhudi'

    Kumekuwa na wimbi kubwa la watu wanaoelekeza mashambulizi kwa upinzani, hasa mgombea wa CHADEMA, T. A. Lissu. Katika mazingira ya uchaguzi ambapo chama kimoja kinaomba kura kurejea madarakani (chama tawala) na vyama vingine (vya upinzani) vinatafuta kukiondoa madarakani chama tawala, ni udhaifu...
  8. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mkono wa beberu Amsterdam, wapinzani kushindwa kuungana umesababisha CCM kukosa upinzani madhubuti

    Ndugu Watanzania wenzangu. Kipekee napenda kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kuiona tena siku ya leo. Baada ya kuangalia na kutathimini mwenendo wa kampeni zinazoendelea kwenye vyama vyote, huku nikirejea kampeni za 2015, ni dhahiri kuwa uchaguzi wa mwaka huu, 2020, Chama Cha Mapinduzi...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 'Charisma' ya Tundu Lissu itazidi kumpa shida sana Magufuli na CCM kwa ujumla

    Charisma - compelling attractiveness or charm that can inspire devotion in others. Kwa tafsiri ya kiswahili, Charisma ni ule mvuto mtu anaokuwa nao mpaka unatamani kama anaongea aendelee kuongea. Katika siasa Charisma ni kitu cha umuhimu sana, kama huna Charisma, huwezi kuvutia watu...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Akiwa Shinyanga Mjini Rais Magufuli anawataka Wananchi wasichague Mbunge wa Upinzani hata kama anafaa, kweli?

    Hii kauli kama Kichwa cha Habari kinavyosema eti hakuna kuchagua mbunge wa upinzani hata kama anafaa. Maneno kama haya kuzungumzwa na kiongozi mwenye dola ambaye anawania muhula mwingine wa uongozi ni kuhujumu uchaguzi mkuu. Maneno kama haya kuzungumziwa wananchi ni kama kuwatisha kwa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uandaliwe mdahalo wa wagombea Urais wa Vyama vya Upinzani wanaompa changamoto Rais Magufuli

    Napendekeza uwepo mdahalo wa wagombea urais wa vyama vya upinzani wanaompa changamoto ( challenge) mgombea wa chama tawala Dkt. Magufuli. Wagombea wa upinzani watueleze cha zaidi watakachokifanya kushinda yale yaliyokwishafanywa na Rais Magufuli na yale atakayofanya kupitia ilani ya CCM ya...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Ushindi wa CCM Oktoba 2020 itakuwa ni fedheha kwa CHADEMA na ACT Wazalendo na upinzani wote

    USHINDI WA CCM OKTOBA 2020 ITAKUWA FEDHEHA KWA UPINZANI HASA CHADEMA NA ACT. Niliwaambia wapinzani waungane waunde Umoja utakaoitwa MUMAFI (MUUNGANO WA MABADILIKO YA FIKIRA) lakini wamekubali kugawana kura kiulani Sana, kwa ubishi huu wa kujifanya mnajua Sana kuliko watazamaji wanaojua Nini...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Somo la bure kwa Vyama vya Upinzani mwaka huu

    Vyama vya upinzani vimeegemea kuamini kuwa wananchi wanaichukia sana serikali ya CCM kutokana na mambo mawili: mzunguko wa pesa kupungua mitaani, na serikali ya CCM kuwabana sana watu wafuate sheria na kusimamia sana raslimali za nchi bila kuwasikiliza watu wa nje. Hizo ndizo mada za...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Jaribio la kwanza la CCM kwa Upinzani kupima uvumilivu wao

    Jaribio la kwanza ni kuwaengua wapinzani kwa visingizio vya mapingamizi yasiyokuwa mbele wala mkia ili kujihakikishia Idadi ya wabunge wanaosubiri kuapishwa baada ya Uchaguzi hapo October. Hiii hujuma wapinzani wanapimwa wanaweza kufanya nini ikiwa watafanyiwa hivyo. Jaribio la pili ni...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Vyama vya upinzani vijifunze ujazaji fomu kwa wagombea wao kutoka CCM

    Najua ni ujinga na upuuzi kwa NEC kuwaengua wagombea wa vyama vya upinzani kwa makosa madogo madogo katika ujazaji wa form. Lakini pamoja na hilo, vyama vyote vya upinzani vinalo la kujifunza hapa. Unaweza kujiuliza, mbona wagombea wengi wa CCM form zao hazina matatizo? Iko hivi; - Baada tu ya...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Hii nguvu ya Umma waliyonayo wapinzani imetokana na upinzani au inaletwa na CCM?

    Uwezi kuwa chama tawala ukashindwa kutawala kwa nguvu ya umma na nguvu ya hoja. Zipo nguvu tatu muhimu na za msingi katika utawala wa kisiasa ambazo ni 1. Nguvu ya umma- Hii utokana na namna mwanasiasa anavyokubalika na makundi mbalimbali ya jamii anayotaka kuiongoza. Nguvu ya umma udhihirika...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA, tafuteni television station itakayorusha kampeni zenu mubashara

    Popote mlipo, huu Ni ushauri wangu kwenu, mikutano yenu haiwezi kutegemea matangazo ya gari za matangazo na social media, katika pesa mliyonayo, ongeeni na ITV/ AZAM wawe wanarusha matangazo na ratiba za kampeni zenu. Ikishindikana kwa hizo media, basi boresheni CHADEMA TV iwe active LIVE 24...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Sera ya upinzani ingepaswa kuwa moja tu, kuondoa udikteta na kuruhusu Haki na Uhuru

    Nimefurahishwa sana na sera ya Chadema ya, uhuru, haki, na maendeleo. Ila binafsi ningependa kama ingeweza kusomeka, kuondoa udikteta, kuleta haki, na uhuru. Udikteta, kukosekana kwa haki na uhuru, ndo mambo yaliyokithiri kwenye utawala wa Magufuli kwa miaka mitano iliyopita. Kwanini uhuru na...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Kuenguliwa kwa baadhi ya upinzani ni mkakati wa CCM kupunguza idadi ya kura za Tundu Lissu

    Wanajamvi. Tukijaribu kwa kina kutafakari njama kuu ya kuengua wagombea wa ubunge wa majimbo yaliyo mengi ni moja ya mkakati wa kuhakikisha unalenga kupunguza idadi ya kura atakazo pata Tundu Lissu. CCM wamegundua kuwa idadi ya wapiga kura walio wengi watakaokwenda kwenye sanduku la kura...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…