upinzani

  1. JamiiForums Tanzania Tunaweza kuchagua upinzani Afrika? Twende pamoja

    MADHARA YA KUCHAGUA VYAMA VIPYA NA MAWANDA YA DEMOKRASIA. Na Elius Ndabila Zikiwa zimebaki siku chache watanzania kuamua aina ya uongozi wanaoutaka, basi ninaomba nitumie fursa kuwakumbusha jambo moja kubwa wapiga kura kabla hawajaenda kupiga kura tr 28/10/2020. Jambo hilo ni Madhara ya...
  2. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nape: Membe akimaliza kazi tuliyomtuma kuumaliza upinzani atarudi CCM

    Aliyekuwa Katibu wa uenezi wa CCM na baadae kuachiwa jimbo la Mtama na Membe ili awe mbunge na Membe awe Rais, ndugu Nape Nauye amesema upinzani umerudia kosa lile lile walilofanya mwaka 2015 kwa kuwakaribisha Lowassa na Sumaye. Nape amesema Membe akikamilisha jukumu lililompeleka upinzani...
  3. JamiiForums Tanzania Maana ya maendeleo ya nchi yaanzia kwa mtu mmoja mmoja

    Maendeleo ya nchi yanaanzia kwa mtu mmoja mmoja. Elimu, afya, dini, mila, ajira, mazingira anayoishi, na upatikanaji wa habari. Elimu ina beba mwongozo mzito katika haya mengine kwani elimu nzuri itamsaidia mtu kupata ajira nzuri, kuwa na uwelewa wa kutunza afya yake, kuboresha mazingira...
  4. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbeya na Kilimanjaro ni ngome za upinzani. Kwanini Magufuli alipiga magoti kuomba kura Mbeya, lakini hakufanya hivyo Kilimanjaro?

    Nilidhani wakati huu wa uchaguzi wapiga kura ni WAFALME. Kitendo cha Magufuli kupiga magoti na kuwaomba Wanambeya kura kilionyesha unyenyekevu na heshima kwa wapiga kura. Wagombea lukuki wa CCM wamekuwa wakijishusha na kupiga magoti kuomba kura. Nadhani ni utaratibu mzuri. Nimeshangazwa na...
  5. I

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kama upinzani ni uadui, UFUTWE!

    Tumefika nyakati ambapo:- Unaahidiwa kuwa ukichagua upinzani, hutapata au kuletewa maendeleo Kuweka bendera ya upinzani kwenye duka lako ndio chanzo cha kufungiwa biashara zako zote Kuweka bango la mgombea wa upinzani ni kujitafutia dhahama Kumsifia mpinzani, inaonekana ni sawa na kumtukana...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Membe hakuja ACT (upinzani) kwa vile wamekerwa na dhuluma ndani ya CCM, bali kwa vile wamekosa matarajio yao, ndiyo maana wanakuwa kero walikohamia

    Membe ameleta sintofahamu ACT kwa kiasi fulani juzi. Sababu ni matamanio yake yalityomtoa CCM anaona kama vile yanapotea akiwa ACT. Alidhani, na ACT walidhani ni asset , angelileta ushawishi na kukijenga chama, kumbe ni matatizo! Upinzani ujifunze, Hawa watu wasipokelewe tena.
  7. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Leo Mawakala wanaapishwa figisu zimeanza, sahihi za Mawakala zadaiwa kugushiwa. Polisi wachunguza

    “Wagombea wanaambiwa Mawakala wataapa kwenye Tarafa nk. Hakuna ngazi ya Tarafa kwenye Uchaguzi. Mawakala wanapaswa kuapa ama kwa Msimamizi msaidizi ( kwenye Kata ) au kwa Msimamizi wa Uchaguzi ( Kwenye Jimbo ). Baadhi ya wasimamizi wa Uchaguzi wanasumbua wagombea MAKUSUDI”. Zitto Kabwe. “Miaka...
  8. L

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wasimamizi wakuu wa vituo vingi vya kupigia kura ni walimu. Je, mwalimu ndiye atakayemnyima fomu ya matokeo ya uchaguzi wakala wa upinzani?

    Kweli Mungu anatupenda sana Watanzania. Sisi tunaolipwa mshahara mdogo zaidi ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupiga kura, Sisi tunaolazimishwa kuchangia mwenge kwa kukatwa kwenye mishahara yetu ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupigia kura. Sisi tunaolazimishwa kuhudhuria mikutano ya kampeni ndiyo...
  9. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tanzania hakuna Vyama vya Upinzani makini

    JPM alipoingia madarakani alisema ataua vyama vya upizani hawakumuelewa, wakapiga kelele bila tafakuri Kumbe JPM alimaanisha kwa utendaji wake ifikapo 2020 hakuna atakaekuwa na Sera za kueleza kwa wananchi. Nini Matokeo yake Mpaka unafika mwaka wa uchaguzi Si CHADEMA, ACT Wazalendo wala CUF...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani wakihubiri haki huwa wanamaanisha nini?

    TANGU Jumatatu ya Oktoba 19,2020 hadi hivi sasa ninapoandika andiko hili, nashindwa kuelewa wala kupata jibu stahiki juu ya kile ambacho vyama vya Siasa nchini Tanzania vinamaanisha pale vinapozungumzia HAKI. Wagombea na wanachama, wafuasi, wapambe na mashabiki katika vyama hivyo hasa vya...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kabla hata ya uchaguzi mkuu ufanyika tumeanza kuona madhaifu ya wapinzani?

    Zikiwa zimebaki siku chache tu za kupiga kura za uchaguzi wa Urais , Ubunge na Udiwani , tayari tumeisha anza kusikia mgongano wa vyama vya upinzani. Ni kama vile watoto yatima , Maalim Seif anamshangaa Mgombea Urais wa chama chake upande wa JMt kuwa kwanini anapiga kampeni za kugombea Urais...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Upinzani hauwezi kushinda bila kuipasua CCM katikati

    Wakuu amani kwenu na poleni na pilikapilika za kampeni za uchaguzi mkuu. Jambo ninalotaka kuwashirikisha na kuwaasa wapinzani ni kuwa BILA KUIPASUA CCM KATIKATI na kufanya walau nusu ya wanaCCM wapigie kura upinzani, Lissu hawezi kushinda uchaguzi huu. Huu ndio ukweli mchungu. Angalia mahesabu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nimemwelewa Samia aliposema hata tukimchagua Tundu Lissu CCM itaendesha serikali. Usipigie kura mbunge wa upinzani

    Wote hamkumwelewa Samia, Samia kasema kwamba hata tukimpigia kura Tundu Lissu CCM ndiyo watakaoendesha serikali. Bahati mbaya wengi wetu hawajaielewa hii kauli anamaanishanini. Wengi wanamtukana na yeye anafurahia matusi maana kuna kilichojificha ambacho hatukijadili. Hali iko hivi. Samia...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Tahadhari kwa mawakala kwa vyama vya upinzani nchini tarehe 27/10/2020 mkalale kwenye ofsi za vyama vyenu

    Hii ni kengere ya kuwaamsha na kuwakumbusha tu, Mnakumbuka yaliyojitokeza kwa watinia Nia udiwani na ubunge ilivyokuwa kazi kurudisha fomu, watu walitangiziwa njiani na kupolwa fomu. Hiyo ilokuwa ni trela tu, msipojiandaa pia tarehe 27/10/2020 kutakuwa na vituko mpaka mtashangaa, hivyo...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania

    Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, (CCM), Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 15/10/2020 amewambia wakazi wa Chunya mkoani Mbeya kuwa wasipige kura kwa Chama Kingine kwa sababu hata wakipiga kwingine Chama Cha Mapinduzi kinaenda kuunda serikali. Amesisitiza kuwa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Viongozi wa taasisi kama Polisi na NEC kuibeba CCM dhidi ya vyama vya upinzani ni kuelewa kwamba wapinzani wakichukua serikali wataondolewa vyeo vyao

    Wala sio hesabu ngumu. Ni wazi sana kwamba taasisi kama Polisi na NEC mara kwa mara zinafanya ukosefu mkubwa wa usawa dhidi ya vyama vya upinzani. Umewahi kujiuliza kwa nini? Sababu ni moja, viongozi wa taasisi hizi wanajua wazi kwamba Upinzani ukichukua serikali wataondolewa madarakani...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Bunda walijichanganya wenyewe, Utawapelekeaje Barabara watu wanaokutukana?

    “Bunda walijichanganya wenyewe, Ilani hii lengo kutengeneza Barabara kutoka kwa Lugola kule tukaunganishe na ukerewe kuja hadi Bunda baadaye tunaipasua hadi Serengeti lakini utawapelekeaje Watu wanaokutukana?, hata kama ni Malaika utagoma kidogo” "Lakini utawapelekeaje watu wanaokutukana hata...
  18. JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania utashinda tu na kuiondoa CCM 'Madarakani' kama ikianza na haya Muhimu na si blah blah zao

    1. Wajiimarishe kuanzia ngazi za chini kabisa za Wananchi ambapo CCM ndiyo huwa inawashindia 2. Wapambane kuwa Taasisi kweli kweli na siyo Vyama ambavyo vinakuwa 'Active' tu wakati wa Chaguzi 3. Waache Unafiki ( Undumilakuwili ) wao unaowamaliza 24/7 japo Ukweli huu huwa hawaukubali 4. Wasitumie...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Kitila Mkumbo: Vyama vya Upinzani havijajipanga kisera na kiuongozi

    Prof. Kitila Mkumbo ambaye unaweza kumuita kuwa ni engeneer wa Chama kimojawapo cha upinzani hapa nchini (tukirejea sakata la waraka wa mabadiliko ndani ya Chadema) ameeleza kwa kujiamini kuwa bado vyama vya upinzani nchini havijajipanga KISERA NA KIUONGOZI hivyo Rais Magufuli anaenda kushinda...
  20. JamiiForums Tanzania Upotoshaji wa dhana ya uhuru ndani ya upinzani

    Katika siasa za ushindani kama ilivyo ushindani holela wa soko huria kumeibuka upotoshwaji mkubwa wa kutumia fikra za Mwalimu Nyerere nyingi na hapa nitajikita katika dhana ya “UHURU”. Kwa makusudi katika mchakato wa kuwa makuhadi wa soko huria, na pengine pia wapinzani kutokuwa na falsafa ...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…