upinzani

  1. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu alitaka Bunge kujadili Bajeti badala ya kumfananisha yeye na Hayati Magufuli

    Rais Samia amesema siyo afya kwa bunge kuacha kujadili bajeti na kuanza kumlinganisha yeye na hayati Magufuli . --+ Inasikitisha sana kuona wanapiga ngoma mitandaoni lakini ngoma ile inachezwa Bungeni na mnademka vizuri sana. Mnafanya kazi ya kulinganisha watu badala ya kulinganisha ajenda za...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini wanasisasa wa upinzani wamepoteza mvuto katika jamii? Ni uthibitisho kuwa jamii haiwaamini tena?

    Zamani wanasiasa wa upinzani walikuwa wakisimama kuongea ulikuwa unaona jamii nzima inazizima. Na kila mtu anaona wameongea hoja za msingi. Siku hizi hakuna anayeona kama kuna la msingi wameongea na jamii ina wapuuza huku ikiwaponda kimoyomoyo na kimaneno. Mfano ni Halima Mdee anaongea pumba...
  3. JamiiForums Tanzania Viongozi wa upinzani Nchini Somalia na Baraza la Seneti wamepinga uamuzi wa Bunge kuongeza muda wa urais kwa miaka miwili

    Viongozi wa upinzani nchini Somalia na majimbo ya mkoa wa Jubbaland na Puntland, pamoja na baraza la seneti la nchi hiyo, wamepinga uamuzi wa bunge la nchi hiyo kuongeza muda wa urais kwa miaka miwili. Bunge la Somalia Jumatatu lilimwongezea muda Rais Mohamed Abdullahi Farmajo kuwa madarakani...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Bado miaka michache Uchaguzi Mkuu; Upinzani tunalolitaka ni madai ya Tume Huru ya Uchaguzi

    Kama hamtaanza sasa hadi mnahakikisha Tume Huru Ya Uchaguzi imepatikana, msije mkahamasisha watu kuingi kwenye uchaguzi, fanyeni juhudi za wazi zionekane ziwaridhishe wapiga kura, sasa hata kama imebadilishwa au haikubadilishwa wananchi watawaelewa kuwa mlipigania kiume kudai Tume hio. Haya...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ataruhusu maandamo yoyote ya wanaharakati, vyama vya upinzani na hata chama chake?

    Hayati Magufuli alikomesha pasi na ajizi maandamo ya aina yoyote tofauti na mtangulizi wake Mzee JK. Hoja yake kubwa Hayati Magufuli kuhusu kuzuia maandamo ilikuwa ni muda wa kufanya kazi na haukuwa muda wa kuandamana. Aliweza. Ndipo kipindi ambacho kwa takribanI miaka mitano si wanavyuo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Upinzani kushiriki uchaguzi wowote ule chini ya Tume hii ya Uchaguzi ni uwendawazimu

    Wendawazimu huwa wana kawaida moja!. Kurudia kitu kile kile kwa mtindo uleule wakitegemea matokeo tofauti. Itakuwa ni ajabu sana kwa vyama vya upinzani kushiriki uchaguzi wowote kuanzia sasa na hata uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 chini ya tume hii ya uchaguzi. Wahenga walisema kenge huwa...
  7. JamiiForums Tanzania Upinzani ndio unajizika zaidi, umebaki kushadidia masuala ya wanaCCM huku wao wakiwa na matatizo lukuki

    Ule msemo wa kiswahili kuwa nyani haoni kundule unaukweli kwa 100% Upinzani nchini Tanzania upo hoi kabisa, hatujui hata kama 2025 wataweza kusimamisha wagombea. Maana kiuchumi, kisiasa na kisaikolojia wapo hoi bin taabani. Sasa wamebaki kuangalia na kukodolea macho ishu wanaCCM kana kwamba...
  8. JamiiForums Tanzania Algeria: Upinzani watangaza kususia Uchaguzi wa Bunge

    Chama cha upinzani cha kisoshalisti nchini Algeria FFS kimetangaza kitasusia uchaguzi wa bunge wa mapema uliopangwa kufanyika mnamo Juni 12 kikisema mazingira ya kufanyika uchaguzi huo hayaridhishi. Baraza la Taifa la chama cha hicho limesema matayarisho kuelekea uchaguzi huo siyo rafiki na...
  9. JamiiForums Tanzania Kitachowagharimu watanzania kwa sasa ni kukosa upinzani wenye meno kuikosoa Serikali. Tutarajie mambo kwenda shagalabagala

    Serikali makini lazima ikubali kukosolewa na inapokosolewa lazima ijirekebishe. Tumeshuhudia miaka mitano ya serikali isiyotaka kukosolewa na matokeo yake ni aibu. Mfano ni kweli kila taifa linahitaji maendeleo ya miundombinu na sekta zote muhimu. Lakini haya maendeleo lazima yarandane na...
  10. JamiiForums Tanzania Kama vyama vya upinzani vingekuwa vinasusia uchaguzi kwa kipindi chote kilichopita tungekuwa tumepata Katiba Mpya

    Huenda uchaguzi mkuu wa mwaka jana umeleta funzo kwa vyama vya upinzani. Maana sasa wanaonekana kupata funzo. Jambo ambalo wanatakiwa kutambua ni kuwa tume huru ya uchaguzi ambayo itaendesha chaguzi kwa uwazi na ukweli bila upendeleo inahitaka. Tangu mwaka 1995 walipaswa kususia uchaguzi kama...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Naingiwa wasiwasi mno na uungwaji mkono kutoka upinzani, Usije kuwa ni lainisha upigaji kiurahisi

    Nashindwa kuelewa huu uungaji mkono kutoka Kwa wapinzani kuunga juhudi za Chama tawala katika kulisuka Taifa letu na kuelekea Taifa lenye usawa na maendeleo ya kweli. Nashindwa kuelewa kama kweli tuna upinzani uliodhamiria kuondoa Uonevu Kwa watumishi wa Umma ambapo wao kama upinzani walikuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Upinzani na hasa CHADEMA kuingia kwenye mtego huu dhidi ya Rais Samia?

    Ndugu zangu wasalam, Ukiangalia mambo yanavyoenda kasi nchini kwetu, huwezi amini wapo watu wanasuka mipango kila uchwao kuhakikisha vyeo vyao na maslahi yao hayaguswi, kuondoka kwa Magufuli kumeibua mengi ila moja ya mipango ni kama ifuatavyo; Kwamba MATAGA wote wana mpango wa kuomba radhi...
  13. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliua upinzani, Rais Samia Suluhu ameuzika rasmi

    Tangu 2015 JPM alipoingia madarakani, kubwa zaidi alifanikiwa ni kuua upinzani na CCM ilipata kutamba kweli kweli pasi na kupingwa na chama chochote Muda mfupi tu tangu Rais Samia Suluhu kushika nafasi kuiongoza nchi hii upinzani umezikwa rasmi. Kwa sasa Tanzania haina upinzani tena, si ACT...
  14. JamiiForums Tanzania Kiongozi Mkuu wa upinzani Congo-Brazzaville afariki kwa Corona siku ya uchaguzi

    Kiongozi wa upinzani nchini Jamhuri ya Kongo (Congo-Brazzaville) na mgombea wa kiti cha urais amefariki kwa COVID-19 ikiwa ni saa chache tu baada ya vituo vya uchaguzi kufungwa. Guy-Brice Parfait Kolelas alifariki akiwa kwenye ndege akipelekwa nchini Ufaransa kwa matibabu baada ya kuumwa. Saa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Upinzani utapata nguvu zaidi na huenda ukawa mwisho wa CCM

    Namuona Lissu akirejea nchini, namuona Lema utabiri wa Lema ukiwa umetimia. Naona shughuli za kisiasa zikirejeshwa, Katiba Mpya ikiwa njiani kurejeshwa. Kuna dalili bungeni kuibuka mtifuano wa Akina Waitara, Silinde, Polepole vs CCM asilia. Nawaona masheikh wa uamsho wakiachiwa Namuona Mzee...
  16. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni chama Kikuu cha Upinzani kwa vigezo gani?

    ACT Wazalendo ina wabunge 4 wa kuchaguliwa. CHADEMA ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa CUF ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa. CHADEMA haina mbunge wabunge wa viti maalumu wanadai walishawafukuza. J J Mnyika anasema CHADEMA ina wajibu kama chama kikuu cha upinzani. Ndio nauliza CHADEMA ni chama...
  17. JamiiForums Tanzania Uko wapi upinzani waliouasisi Mabere Marando na Lyatonga Mrema?

    Ulikiwa ni upinzani wenye nguvu, maana walikiwa wakisema kitu kina ukweli ndani yake. Walikuwa wakisema juu ya ufisadi flani unakuta ni 98% hakuna chembe ya uongo hata kidogo. Kama wakisisema leo rais amevaa soksi nyeusi basi ni nyeusi kweli. Hawa watu walikuwa wanatisha. Leo hii tunakuwa na...
  18. JamiiForums Tanzania Upinzani nchini hautafanikiwa mpaka Mbowe na Zitto waachane na siasa

    Hawa wanasiasa wawili ni wanafiki sana. Wao siasa ni biasahara na kujaza matumbo yao. Na kwa sababu wao ndio wameshika mipini ya vyama vya Siasa vya Upinzani ni wazi kuwa wao ndio sababu ya kukwamisha siasa za upinzani hapa nchini. Ni watu ambao wapo kwa ajili ya kutumia siasa kujaza matumbo...
  19. JamiiForums Tanzania Upinzani wa nchi hii umelala usingizi wa Pono, waoga na wako kimaslahi zaidi

    Wapendwa salaam! Kama kuna kitu kinanisikitisha katika nchi hii ni vyama vya upinzani kulala usingizi wa wa pono. Tulidhani kua wao ndio mbadala wa pili wa serikali lakini wamekaa kimya huku mambo mengi yakienda ndivyo sivyo. Kwahiyo baada ya kuporwa vitu vingi kwenye uchaguzi ndio kifo chako...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa upinzani akina Zitto, Mbatia, Mbowe nk hawahudhurii shughuli za kitaifa?

    Kwa sasa imekuwa ni vigumu sana kuwaona na hata kuwasikia viongozi wetu wakuu wa upinzani katika matukio muhimu. Kwa mfano katika shughuli muhimu kama msiba wa balozi Kijazi au katika tukio la kuapishwa Katibu mkuu kiongozi mpya balozi Bashiru walipaswa kuwepo lakini hawajaonekana. Ni Prof...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…