upinzani

  1. JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka atamba CCM kuusambaratisha rasmi Upinzani mkoani Mbeya, asisitiza Kinana ni gwiji la Siasa za nje na ndani ya Tanzania

    SHAKA AMMWAGIA SIFA KINANA, ATAMBA KAZI ZA MAENDELEO KUUFUTA UPINZANI MBEYA Demokrasia ya vyama vingi nchini imekuwa na lengo la kuharakisha maendeleo kwa wananchi. Ikiwa chama kinachoongoza serikali kinaifanya kazi hiyo kwa weledi wananchi hawana haja ya kujaribu vyama vingine vya kisiasa...
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta Watu 'Serious' niwape 'Strategies' na waunde Chama 'Strong' cha Upinzani Tanzania kwani vilivyopo sasa viko ICU vinasubiri Kufa na Kuzikwa tu

    Kwa Wanasiasa mlio na utayari jikusanyeni na mkikamilika mnitaarifu haraka ili tuanze Kazi na nitakuwa nawaelekezeni kutokea hapa hapa JamiiForums tu na sitohitaji Kuonana nanyi. Nakipenda sana Chama Cha CCM na Rais Samia ila GENTAMYCINE napenda kuona CCM na Rais Samia 'wakihenyeshwa' 24/7 na...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kama UVCCM tu wanaweza kukusanya maelfu haya kwenye ngome za Upinzani hali ni mbaya zaidi 2025

    Hebu angalia kwa makini video hizi kisha ufikirie Uchaguzi ujao wa 2025 katika angle ya Upinzani kupata hata jimbo moja tu, Huyu ndio Crde Kenani Kihongosi Mkt wa UVCCM taifa huko Mkoani Geita,
  4. JamiiForums Tanzania Nauliza swali NEC na Polisi kuhusu utekwaji wa wagombea wa upinzani katika chaguzi

    Naomba kuuliza hili swali ambalo huwa silielewi linashuhulikiwa vipi na sheria zetu. UTEKWAJI wa WAGOMBEA wa UPINZANI wanaoonekana Wana nguvu kuliko WAGOMBEA wa chama tawala kwanini wanatekwa na kunyanganywa fomu au hata kupigwa hii inakuwaje? Na hizi kesi zinaishaje? Kwanini wanaotekwa au...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna upinzani, vyama vyote ni CCM

    Ukweli sio kama ni mbaya au mchungu kama wasemavyo wahenga, ila uchungu na ubaya wake huja kulingana na maandalizi ya kuupokea. Ukitayarisha akili yako kupokea ukweli wakati wowote wala haitokuwia ugumu kuukubali na kuendelea na maisha yako. Tatizo ni pale tu ukweli unapokuja kisha hukuandaa...
  6. JamiiForums Tanzania Mwinyi alileta upinzani uliofutwa, Samia anaenda kuileta katiba mpya, Kwa hili inabidi niweke hisia zangu pembeni kwa wazanzibari

    Yes, mimi kiukweli ni mmoja wa watu ambae huu muungano sijawahi kuupenda hata kidogo hasa pale ninapoona uongozi wa bara tunachangiana na wazanzibar lakini huko kwao ni wao wenyewe wanajiongoza, huwa inaniuma mno. Ila kuna kitu nimetafakari hapa juu ya mchango wa hawa wenzetu wanaposhika...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ngorongoro?

    Kabla hatujaanza kuchagua upande wa kusemea kuna maswali ya kujiuliza kuhusiana na suala zima la Ngorongoro, Kuna maeneo mengi sana nchini Tanzania watu wanahamishwa kupisha shughuli mbalimbali za kimaendeleo. Baadhi ya sehemu hizo wapo wnaaolipwa fidia na wapo ambao hawaambulii chochote. Katika...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa Act wazalendo wana nia thabiti ya kuimarisha upinzani? Au ndio wanatumika kudidimiza ? Kila siku purukushani zisizoeleweka.

    Mara hawagati kwanza katiba mpya. Mara wanataka tume kwanza mara wanataka vyote
  9. JamiiForums Tanzania Huenda huyu akawa ni mtu hatari Zaidi kwa Upinzani wa Tanzania

    Aina ya Siasa anayofanya Katibu wa NEC itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka ni kete muhimu sana kwa CCM na anguko la Upinzani Tanzania ==== HEBU ANGALIA SHAKA AKISHIRIKI NA WANAWAKE WA MTWARA WALIOMPA TUZO MAALUMU RAIS SAMIA SULUHU HASSAN Wanawake mkoani Mtwara wamemkabidhi tuzo...
  10. JamiiForums Tanzania Huenda huyu akawa ni mtu hatari Zaidi kwa Upinzani Wa Tanzania

    Aina ya Siasa anayofanya Katibu wa NEC itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka ni kete muhimu sana kwa CCM na anguko la Upinzani Tanzania, ==== HEBU ANGELIA SHAKA AKISHIRIKI NA WANAWAKE WA MTWARA WALIOMPA TUZO MAALUMU RAIS SAMIA. Wanawake mkoani Mtwara wamemkabidhi tuzo maalumu Rais...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Upinzani wakimtumia kada mwenye mvuto kutoka CCM, njia ya kuingia Ikulu itakuwa rahisi kwao

    Ukweli ni kwamba Watanzania wengi wamekichoka Chama cha Mapinduzi, lakini ni ukweli pia nje ya Chama cha Mapinduzi hakuna chama mbadala, kwa sasa upepo umebadilika, baada ya kifo cha Magufuli kuna kundi kubwa la wanyonge ambao kwa wingi wao walikuwa ni wafuasi wa mwenda zake, kwa sasa hili kundi...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani vimekufa, vimelala au vinasubiri Uchaguzi Mkuu?

    Vyama vya upinzani vimekufa au vimelala au vinasubiri uchaguzi mkuu utangazwe? Ndio wazuke na kudai tume huru na Katiba mpya, ile kasi imeenda wapi? Mwisho wa siku mtaambiwa siku hazitoshi kwani uchaguzi unakaribia. Tunahitaji muamko sio mgawanyiko katika madai husika ya Tume huru ya uchaguzi...
  13. JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa vya upinzani jifunzeni njia tofauti za kuomba maji ya kunywa na kupewa

    Unaweza kupewa glasi iliyojaa maji ya kunywa kwa njia tofauti. Unaweza kuomba au kuagiza upewe maji, unaweza kubembeleza au kufoka upatiwe maji ya kunywa ukapewa, na unaweza kuyachukuwa mwenyewe bila kuomba ukayapata. Njia zote hizi zina lengo moja tu la kupata maji glasi moja tu ukate kiu bila...
  14. JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi nathibitisha hakuna 'Upinzani' Tanzania bali kuna 'CCM Upinzani' tu Tanzania kwa sasa

    Kwangu Mimi Mpinzani ni Boby Wine ( Robert Kyagulanyi ) na wengine wa nchi zinazojitambua ila siyo kwa walioko Tanzania. Mimi Mpinzani ninayemuheshimu na Kumpenda ni yule tu ambaye 24/7 anamsema Kiongozi aliyeko Madarakani, anayekamatwa, anayepigwa, anayeteswa, asiyetishika Kuuwawa, asiyependa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Magufuli hayupo lakini vyama vya Upinzani vinazidi kusahaulika, sasa hawana wa kumsingizia!

    Nafuatilia kwa karibu ziara ya Katibu mkuu wa CCM Komredi Chongollo akikagua miradi mbalimbali huko Shinyanga Sijaona benders.ya Chadema.wala ACT wazalendo.kwemye kijiji chochote hii maana yake Upinzani unazidi kudorora kila uchwao Kumbe siyo kweli Magufuli alikuwa anawabana wapinzani.ila...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Demokrasia gani inayopiganiwa na vyama vya Upinzani? Sioni Chama cha kukipa Nchi

    CCM ni Chama ambacho kina misingi na utaratibu wa namna kinavyojiendesha ndio maana utaona viongozi wanaachiana madaraka kwa taratibu hizo. Utasikia mtu kapita kwa asilimia 100, bila kupingwa etc.. ni taaratibu zao na Wanachama wao wanazipenda. Huku kwetu upinzani Mtu akishaanzisha Chama au...
  17. JamiiForums Tanzania Hatimae sasa hoja zote za upinzani zinajibika ‘With high confidence and logic’ ikiwemo suala la Katiba

    Ujue tatizo la hoja ni kwamba haifi hadi amma ijibiwe, au ikubalike na kufanyiwa kazi. Huo ndio uzuri au ubaya wa hoja.Hoja haifi kwa kumpiga ngumi mtoa hoja. Nyuma hapo, kuna kipindi ambapo yalikuwa yanajitokeza mambo ambayo kwa mtu mwenye busara na akili ya wastani tu, kusimama hadharani...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Tatizo hamtaki kukubali ukweli, Tanzania hakuna upinzani ni njaa tu zinatusumbua

    Hakuna hata mpinzani mmoja anayeweza kukaza na msimamo akipewa mlungula, Si Ajabu hata huyo mwenyekiti wa Kudumu anakula meza moja na watawala nyie mnahangaika na keyboard Nani angeamini kama Mdee angekua msaliti? Nani angeamini kama Waitara angesaliti? Kipindi cha JPM nadhani mliona...
  19. JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani vinawezaje kuepuka kuonekana vina sura ya kidini?

    Hili suala halisemwi lakini lipo. CUF kilikuwa cha kizuri na tishio cha upinzani. Shida yake kilionekana kama kina sura ya kiislamu. CDM kukawa vizuri sana lakini kikawa kama kina sura ya kikristo. Imekuja ACT wazalendo lakini kinaonekana kama cha Zanzibar na Pwani kwa waislamu. Chama kuwa na...
  20. JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani Tanzania vinaongozwa na madikteta

    Hawa watu ukiwaangalia bila bias utaona ni madikteta wakubwa sana. Cha kushangaza wafuasi wao hawaoni hilo kuwa ni tatizo. Moja ya sifa kuu ya udikteta ni kung'ang'ania madaraka. Cheki wanavyofanya. 1. Mrema ni mwenyekiti wa TLP toka 1999-leo. Miaka 23 2. Zitto amakuwa kiongozi wa ACT toka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…