upinzani

  1. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa kila mmoja amejionea umuhimu wa Bunge kuwa na wabunge wa upinzani

    Kwa huu Utopolo unaoendelea bila shaka Kila mtu amejionea kuwa kule bungeni ni muhimu kuwa na wabunge ambao sio kijani pekee. Inshu ya Tozo kwamfano! Ni mpaka Wananchi wenyewe mtaani wanajisemea hakuna wa kuwasemea! Bungeni kule ni watu kupongeza tu. Sasa hivi bei ya nafaka haikamatiki na...
  2. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa upinzani Gabon atakiwa kutotoka nje ya nyumba yake

    Kiongozi wa upinzani wa Gabon, Guy Nzouba-Ndama, amewekwa chini ya kizuizi cha nyumbani ikiwa ni siku tano baada ya kukamatwa kwenye mpaka wa Congo akiwa na mabegi yenye zaidi ya dola milioni 2. (Tsh. Bilioni 3). Kukamatwa kwake kulirekodiwa na kufunguliwa kwa masanduku hayo kuchapishwa kwenye...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Hatutamteua mwanachama yeyote wa Upinzani ndani ya Serikali

    Rais William Ruto ameweka wazi kuwa hana mpango wa kufanya kazi na wapinzani wake wa kisiasa ndani ya serikali akisema hatamjumuisha mwanachama yeyote wa upinzani katika utawala wake. Mkuu huyo wa Nchi alisisitiza kwamba kundi lake la Kenya Kwanza lilikuwa limechukua udhibiti wa Mabunge yote...
  4. JamiiForums Tanzania Angola: Mahakama yatupilia mbali madai ya Upinzani ya kupinga matokeo ya Urais

    Mahakama ya kikatiba ya Angola imekataa madai ya Chama cha Upinzani cha #UNITA ya kutaka kubatilisha matokeo ya Uchaguzi Mkuu ww Agosti 24, 2022 kutokana na madai ya Uchaguzi huo kuwa batili Mahakama imesema malalamiko ya UNITA hayakukidhi matakwa ya kuruhusu chombo hicho cha kisheria...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kwa utendaji kazi uliotukuka wa Rais Samia naanza kuziona dalili za upinzani kutafuta visingizio vya kumkimbia na kumkwepa katika Uchaguzi Mkuu ujao

    Ndugu zangu hivyo ndivyo hali halisi ilivyo, kwasasa upinzani umefika hatua hauelewi ushike lipi na uache lipi, uongee nini na usimame na lipi, ubebe lipi na uache lipi, utembee na lipi na usimame na lipi. Imefika hatua hata kuaminiana wao kwa wao wameacha, maana kila mtu anahisi mwenzie...
  6. JamiiForums Tanzania Hii Combination baina ya Mzee Kinana na Shaka ni dhahiri huu ni mwanzo wa mwisho wa Upinzani Tanzania

    πŸ‘‡πŸ‘‡ Tazama siasa inayopigwa na hawa mabwana then njoo uniambie nafasi ya Upinzani iko wapi kwa sasa. πŸ‘‡πŸ‘‡ KINANA NA SHAKA WATEMBELEA SHAMBA LA MBEGU BORA ZA MAHINDI WILAYANI MISENYI Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana ametembelea...
  7. JamiiForums Tanzania Tozo hazina maumivu makali, Wanasiasa uchwara mnatafuta kiki za kisiasa, mnashugulika na Mwigulu kwajili ya speculation za 2030

    TUACHE UNAFIKI, TOZO HIZI HAZINA MAUMIVU MAKALI, WANASIASA WALIOFELI WANATAFUTA KIKI ZA KISIASA Nasoma vitimbwi vya wanasiasa waliostaafishwa siasa na wananchi mwaka 2020, wanadhani tumesahau uhuni wao, wanadhani wananchi ni wajinga. Kwa taarifa yenu enyi wanasiasa mnaokesha mitandaoni...
  8. JamiiForums Tanzania Angola: Upinzani wawasilisha pingamizi la kisheria dhidi ya matokeo ya uchaguzi Mkuu

    Chama Kikuu cha upinzani UNITA, kimewasilisha pingamizi la kisheria dhidi ya matokeo ya uchaguzi Mkuu wa Agosti 24 wa wiki iliyopita na kusema kuwa Uchaguzi huo ulikuwa na dosari Chama tawala cha MPLA - ambacho kimekuwa madarakani tangu 1975 - kilitangazwa kuwa mshindi wa Uchaguzi huo kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mdude Nyangali ni mpinzani anayechafua taswira ya upinzani

    Watu wa aina ya Mdude Nyangali wa CHADEMA wapo sana kwenye jamii na tabia zao mara nyingi huwa zinakereketa na kujenga mtizamo hasi. Siasa za Mdude Nyangali sio za kiuanaharakati, sio za kistaarabu, sio za kushindana kwa hoja. Siasa za huyo jamaa wa CHADEMA ni za kishari, mihemko na kutukana...
  10. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Angola: Chama Tawala chashinda, Upinzani wagomea matokeo

    Chama Tawala cha Marxist People's Movement for the Liberation of Angola (MPLA) kimepata ushindi wa 51.17% baada ya kura zote kuhesabiwa kikifuatiwa na National Union for the Total Independence of Angola (UNITA) kilichopata 43.95%. Kiongozi wa UNITA, Adalberto Costa Junior amekataa matokeo hayo...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Upinzani - walio waoga (cowards) si Wafuasi

    Imekuwa kawaida kusikia watanzania wakiwaita watanzania wenzao kuwa ni waoga (cowards). Maajabu ya Mussa. Kwani hao wanaowaita wenzao kuwa cowards utaifa wao si ni huu huu au wao ni walamba asali? Uhalisia wa mambo ni kuwa wanaowaita hivyo wenzao, nia yao ni kutokuwepo mstari wa mbele...
  12. JamiiForums Tanzania Tozo zimechukua nafasi ya upinzani

    𝕋𝕆℀𝕆 ℕ𝔻𝕀𝕆 ℕ𝕁𝕀𝔸 ℙ𝔼𝕂𝔼𝔼 𝕐𝔸 π•‚π•Œβ„€π•€π”Ήπ”Έ 𝔾𝔸ℙ𝔼 𝕃𝔸 π•‹π”Έπ•Šπ•‚ 𝔽𝕆ℝℂ𝔼 ℀𝔸 𝕁ℙ𝕄? π™½πšŠ πšƒπš‘πšŠπšπšŽπš’ π™Ύπš•πšŽ π™Όπšžπšœπš‘πš’. Ukiniambia niishauri Serikali yangu kuhusu Tozo nitawashauri kwa haraka kama ifuatavyo. Rais Samia Sio muumini wa task Force kama zile za Magufuli za kupambana na matajiri pamoja na wafamya Biashara kwenye...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Magumu yetu Viongozi wa Upinzani mkwepe lawama vipi?

    Tufike mahali tutoleane uvivu wenyewe kwa wenyewe. Tufike mahali panya wamfunge paka kengele. "Enyi viongozi wetu madarakani, mliochagua kukaa kimya na kututelekeza kondoo wenu, tokeni madarakani washike wenye kudhamiria." Ikumbukwe wavumao baharini papa lakini na wengine wapo. Imekuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani toeni kauli juu ya tozo hizi

    Kwa sasa Taifa la Tanzania linapitia wakati mgumu sana, kila kona mjadala ni Tozo. Mpaka mda huu hakuna chama chochote ambacho kimeita media kwa ajili kukemea unyanganyi huu unaofanywa na mama Mwakatozo akishirikiana na Baba Mwakatozo. Na isitoshe haya matozo yako Bara tu Visiwani hakuna haya...
  15. JamiiForums Tanzania Je, tumfikirie Shaka kwenye nafasi ya juu? Huenda ndio kijana mwenye ushawishi zaidi Tanzania

    Wasalaam, Hebu pitia video hizo zote then njoo u-comment,Huyu kijana naona anastahili nafasi ya juu hapo baadae, Je, Wewe unaonaje? === Tazama, huu ni usiku ila vijana wanagoma kumruhusu kijana huyu aondoke
  16. M

    JamiiForums Tanzania Shaka: Rais Samia ametoa fursa za mikopo kwa Vijana, wanawake na walemavu wote hata kwa wale wa kambi za Upinzani

    Katibu wa Nec Itikadi & Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka akiwa katika mwendelezo wa ziara zake kanda ya Magharibi amenukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari akisema " Chama cha Mapinduzi hakitatazama Itikadi katika kuwanufaisha vijana, wanawake na wenye ulemavu kutoka katika fursa mbalimbali...
  17. JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania Kama hauhitajiki na CCM ufutwe tu

    Wadau habari ya jioni. Mimi napata taabu sana jinsi wanavyosumbuliwa na serikali. Hakuna tume huru polisi wanasaidia kuhakikisha ccm inashinda. Haya Mambo Ni kupotezea muda na kuzeeshana bila sababu. Yaani Kwa sisi thinkers huu ni uhuni na uhalifu mkubwa. Haya Mambo siyo ya kufurahia kabisa...
  18. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Upinzani kuwasilisha ombi la kutokuwa na imani na Rais Ramaphosa

    Vyama vya Upinzani nchini humo vimesema kuwa vitawasilisha ombi la kutokuwa na imani na Rais Cyril Ramaphosa kutokana na tuhuma za Utekaji Nyara na Utakatishaji Fedha. Madai hayo yametolewa na Mkuu wa zamani wa Ujasusi Arthur Fraser, ambaye amedai kuwa Rais alificha takriban Tsh. Bilioni 9.3...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Upinzani hapa kwetu jifunzeni kitu: Ukishindwa usitafute sababu ya kususa ambayo haipo

    Wale makamishina wanne wa tume ya uchaguzi ya kenya wametoa sababu kwa nini hawakubaliani na matokeo yaliyotangazwa na mwenyekiti wa tume yao. Raila ametumia hoja ya makamishina hao kama msingi wa kutokuyatambua matokeo yaliyotangazwa. Tuangalie kwa karibu sababu za kususia matokeo hayo: 1...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Utendaji kazi uliotukuka wa Rais Samia umedhoofisha upinzani Tanzania

    Ndugu zangu Kuna kipindi fulani ilikuwa ukisikia kuwa kesho katibu mkuu wa Chadema Mh. Dr Slaa atakuwa na mazungumzo muda fulani, ni kama nchi ilikuwa inasimama. Vyombo vyote vya habari vilikuwa vinafika hata kabla ya muda husika, kila mtanzania alikuwa anatega sikio kusikia nini kitakacho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…