DOLA (the state) nawaomba muingilie Kati zuio la mikutano ya hadhara ya upinzani nchini kwa afya na mstakabali wa taifa letu!

NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

JF-Expert Member
Oct 29, 2019
8,535
17,473
Najua nyie mpo loyal KWA taifa hili,mmelilinda tangu kuasisiwa kwake,

Najua nyie Ndio mmeiruhusu ccm kuwa Chama Tawala tangu kuanzishwa kwake hadi leo,bila nyie CCM isingekuwepo madarakani Hadi leo!

Najua mmewapenda upinzani na mmeulea KWA Namna Moja au nyingine Lakini hamkuweka wazi hisia zenu!

Lakini muda umefika Sasa muonyeshe huruma yenu KWA Hawa jamaa wamepigika sana hakuna rangi ambayo hawajawahi isoma,ccm Chama changu kimewapiga sana Hawa jamaa,kimewatesa Sana Hawa jamaa!naomba mwambie Mwenyekiti wa CHAMA changu ccm aachie mikutano ya hadhara na polisi iwalinde tu SIO kuwazuia kama ilivyo Sasa tekriban Miaka sita sasa iliyopita!!

Taifa linaundwa na itikadi zote na watu wa aina zote hata Katiba haijazuia mikutano ni vile tu Chama changu kinatumia vibaya madaraka yake!!upinzani Wana damu na nyama,Wana watoto wanawategemea wameashajitoa mhanga Sana KWA NCHI yangu Tanzania wapiganieni Ili wa push ajenda zao za Katiba wazi wazi hasa Katika kipindi hiki cha mageuzi makubwa yatakayojiri BAADA ya kumpoteza Rais aliyekuwa Madarakani!!

Acheni upinzani ufanye siasa na jeshi liwalinde kwa kipindi hiki kifupi kuelekea katiba mpya!!Msiwaache ccm hii ya wahuni ambayo imewaacha wazee wenye hekima kama kina Warioba na kufuata hisia za TAMAA zao! Na Sasa wapo tayari kuumiza wananchi kabisa Ili kutimiza matakwa ya hisia zao yanapotokea!!

Barua hii nawaandikia popote mlipo Ili mtambue kuna watu tunataka taifa lenye msawazo SIO taifa lenye mgawanyiko wa kiitikadi,kikanda na kiukwasi!!!

Mpigieni simu Rais samia Mwambieni atekeleze maagizo ambayo kijana kaandika jamii forum na ID yangu Ndio hiyo!!

Tunataka katiba ipatikane KWA njia ya amani na SIO ile njia ya kukausha KIMYA KIMYA wale wanayoipinga madhara yake ni makubwa sana coz kuna watoto wanaowategemea hao wapinga katiba mpya!

Walindeni upinzani walau KWA kipindi hiki wafanye mikutano yao nchini kama kina Shaka,kinana na wengineo wanavofanya !!

Ni mimi mwanaccm ambaye Roho yangu inaishi nyakati za TANU na UVCCM ya kina Warioba na SIO hii ya wahuni wa sasa!!

"Rasimu ya Warioba irudi mezani Sasa iwe Katiba mpya"
 
Najua nyie mpo loyal KWA taifa hili,mmelilinda tangu kuasisiwa kwake,

Najua nyie Ndio mmeiruhusu ccm kuwa Chama Tawala tangu kuanzishwa kwake hadi leo,bila nyie CCM isingekuwepo madarakani Hadi leo!

Najua mmewapenda upinzani na mmeulea KWA Namna Moja au nyingine Lakini hamkuweka wazi hisia zenu!

Lakini muda umefika Sasa muonyeshe huruma yenu KWA Hawa jamaa wamepigika sana hakuna rangi ambayo hawajawahi isoma,ccm Chama changu kimewapiga sana Hawa jamaa,kimewatesa Sana Hawa jamaa!naomba muwaambie Mwenyekiti wa CHAMA changu ccm aachie mikutano ya hadhara na polisi iwalinde tu SIO kuwazuia kama ilivyo Sasa tekriban Miaka sita sasa iliyopita!!

Taifa linaundwa na itikadi zote na watu wa aina zote hata Katiba haijazuia mikutano ni vile tu Chama changu kinatumia vibaya madaraka yake!!upinzani Wana damu na nyama,Wana watoto wanawategemea wameashajitoa mhanga Sana KWA NCHI yangu Tanzania wapiganieni Ili wa push ajenda zao za Katiba wazi wazi hasa Katika kipindi hiki cha mageuzi makubwa yatakayojiri BAADA ya kumpoteza Rais aliyekuwa Madarakani!!

Acheni upinzani ufanye siasa na jeshi liwalinde kea kipindi hiki kifupi kuelekea katiba mpya!!Msiwaache ccm hii ya wahuni ambayo imewaacha wazee wenye hekima kama kina Warioba na kufuata hisia za TAMAA zao! Na Sasa wapo tayari kuumiza wananchi kabisa Ili kutimiza matakwa ya hisia zao yanapotokea!!

Barua hii nawaandikia popote mlipo Ili mtambue kuna watu tunataka taifa lenye mawazo SIO taifa lenye mgawanyiko wa kiitikadi,kikanda na kiukwasi!!!

Mpigieni simu Rais samia Mwambieni atekeleze maagizo ambayo kijana kaandika jamii forum na ID yangu Ndio hiyo!!

Tunataka katiba ipatikane KWA njia ya amani na SIO ile njia ya kukausha KIMYA KIMYA wale wanyoipinga madhara yake ni makubwa san coz kuna watoto wanaowategemea hao wapinga katiba mpya!

Walindeni upinzani walau KWA kipindi hiki wafanye mikutano yao nchini kama kina Shaka,kinana na wengineo wanavofanya !!

Ni mimi mwanaccm ambaye Roho yangu inaishi nyakati za TANU na UVCCM ya kina Warioba na SIO hii ya wahuni wa sasa!!

"Rasimu ya Warioba irudi mezani Sasa iwe Katiba mpya"

Ngoja tuendelee kusubiri kama ugali mezani
 
Back
Top Bottom