donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
Naangalia hapa Clouds TV mubashara wanaonesha birthday ya mtoto wa Omari na Paula (Amarah) naona dogo Paten anatumbuiza na kutunzwa minoti ya kwenda.
Kimasihara sana dogo naona ametoboa, atumie sasa upepo huu vizuri kutengeneza future vinginevyo atabaki kua story tu before hajamake chapaa ya kutosha!
Kimasihara sana dogo naona ametoboa, atumie sasa upepo huu vizuri kutengeneza future vinginevyo atabaki kua story tu before hajamake chapaa ya kutosha!