upasuaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Upasuaji wa Mgongo kwa Njia ya Matundu wafanyika Dar, Wagonjwa 13 wafanyiwa upasuaji

    Kufuatia Kongamano la Kimataifa la Madaktari Bingwa wa Ubongo na Mgongo na Mishipa ya fahamu (Global Neurosurgery course) imeelezwa limechangia Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kuanzisha huduma ya upasuaji wa mishipa ya mgongo kwa njia ya matundu (Endoscopic neurospine...
  2. JamiiForums Tanzania Watoto mapacha waliofanyiwa upasuaji wa kutenganishwa waruhusiwa kutoka Muhimbili

    Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) umeishukuru Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kutokana na uwekezaji uliofanyika hospitalini hapa ambao umewezesha huduma mbalimbali za kibingwa na ubingwa bobezi kufanyika ikiwemo upasuaji mkubwa wa kutenganisha...
  3. JamiiForums Tanzania Upasuaji wa urembo kuotesha Nywele kwenye Kipara wafanyika Muhimbili

    Watalaam wa upasuaji Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kushirikiana na wenzao kutoka nchini Marekani wamekamilisha kambi maalum ya siku tano iliyohusisha upasuaji wa urembo na upasuaji wa matibabu (Cosmetic and Reconstructive Surgery) kwa wagonjwa nane. Akizungumza wakati wa kuhitimisha...
  4. JamiiForums Tanzania Hoja ya Mpina kuhusu upasuaji wa kuongeza makalio yazua mjadala Bungeni

    MJADALA mkali umeibuka bungeni kuhusu upasuaji kurekebisha maumbile, ikiwamo kupunguza au kuongeza ukubwa wa makalio katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Luhaga Mpina, Mbunge wa Kisesa (CCM), ndiye aliyeibua zogo bungeni jijini, alipotoa hoja kwamba MNH-Mloganzila imeanzisha huduma hiyo...
  5. JamiiForums Tanzania Watoto wenye jinsia tata wafanyiwa upasuaji Muhimbili

    Hospitali ya Taifa Muhimbili imewafanyia upasuaji wa mfumo wa mkojo na haja kubwa kwa watoto 31 na kati ya hao sita walizaliwa na jinsia tata, ambapo upasuji huo umefanywa na Madaktari Bingwa wa MNH kwa kushirikiana na wataalamu kutoka nchini Ireland na mwingine kutoka Bahrain. Akizungumza na...
  6. JamiiForums Tanzania MOI kufanya upasuaji kwa kutumia Robot

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Profesa Abel Makubi amesema Taasisi hiyo inatarajia kuanza kutoa huduma za kitabibu kwa kutumia roboti ndani ya miaka mitatu ijayo. Akiongea kwenye mahojiano maalum Prof. Makubi amesema “Sasa hivi tunafanya evaluation tuweze...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Upasuaji wa bawasiri

    Wadau naomba msaada kwa mara nyingine tena kwa habari ya bawasiri Nimetumia dawa za kienyeji za kunywa na kupaka nimetumia za tiba mbadala lkn wapi ndipo nikaamua kwenda kwa mtaala mmoja nikaambiwa yeye huwa anakutibu mpk bawasiri ina isha kbs Na jamaa zangu wengi wameenda kwa huyo mtu...
  8. JamiiForums Tanzania Mtoto atolewa Shanga kwenye Mapafu bila upasuaji Muhimbili Hospitali

    Wazazi wameaswa kufuatilia michezo ya watoto kwa karibu zaidi na kuwazuia kuweka vitu mdomoni, puani pamoja na masikioni ili kuwaepusha na madhara mbalimbali ikiwemo madhara ya kudumu na kifo. Kauli hiyo imetolewa na Jopo la Madaktari Bingwa wa Upasuaji wa Kifua na Moyo, Mapafu na Mfumo wa...
  9. JamiiForums Tanzania Singida: Mtoa Matibabu afikishwa Mahakamani kwa kuomba na kupokea Rushwa ya Tsh. 150,000 ili afanye Upasuaji wa Tumbo

    Afisa Tabibu kutoka Hospitali ya Wilaya ya Iramba aliyetambulika kwa majina ya Msafiri Omary Kalomo, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Iramba, kwa shtaka la kuomba na kupokea Rushwa ya Tsh. 150,000 kutoka kwa Neema Msengi Kilimba ili amsaidie kufanya upasuaji wa uvimbe katika Tumbo la...
  10. JamiiForums Tanzania Upasuaji wa kwanza bila kufungua kifua wafanyika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete

    JKCI yaanza kutoa huduma ya kibingwa kuweka 'valve' kwenye moyo bila kufanya upasuaji wa kifua Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeanza rasmi kutoa huduma ya kibingwa ya Uwekaji wa mlango wa moyo (valve) kupitia tundu dogo bila upasuaji wa kifua (Transcatheter aortic valve implantation-...
  11. JamiiForums Tanzania Valvu ya Moyo yabadilishwa bila kufanya upasuaji wa kufungua kifua kwa mara ya kwanza Nchini

    Wataalamu wa magonjwa ya moyo na mishipa ya damu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao wa Hospitali ya Starcare ya nchini India wakifanya upasuaji mdogo wa moyo wa kubadilisha valvu ya mshipa mkubwa wa damu (Aortic Valve) bila kufungua kifua (Transcatheter Aortic Valve Implantation...
  12. JamiiForums Tanzania Historia: Upasuaji wa Kwanza wa Moyo wafanyika Duniani

    SIKU KAMA YA LEO Mwaka 1967 kwa mara ya Kwanza Daktari Christiaan Barnard kutoka nchini Afrika Kusini aliandika historia ya Kuhamisha Moyo wa Binadamu kwenda kwa mwingine (human to human heart transplant) hii ilikuwa haijawahi tokea duniani. Tukio hili lilifanyika Mjini Cape Town katika...
  13. JamiiForums Tanzania Ngiri inaweza kutibika kwa dawa za asili au lazima upasuaji hospitali?

    Ngiri inaweza kutibika kwa dawa za asili au lazima upasuaji hospitali na kama dawa za asili ni zipi hizo?, vipimo gani naweza kwenda pima hospitali.
  14. JamiiForums Tanzania Muhimbili sasa ina teknolojia ya kuyeyusha damu (blood clots) kwa watu wenye stroke pia kutibu uvimbe kwa wanawake (Fibroids) bila kufanyiwa upasuaji

    MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi amesema hospitali hiyo inatumia mtambo wa kuyeyusha damu iliyoganda kwa mtu aliyepata kiharusi. Profesa Janabi alisema hayo Dodoma jana na akasema kwa sasa kwa wanaopata ugonjwa huo wanatibiwa kwenye kifaa hicho...
  15. JamiiForums Tanzania Watoto 45 kufanyiwa upasuaji wa moyo

    Madaktari bingwa wa upasuaji wa moyo na mishipa ya damu kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao kutoka Shirika la Mending Kids la nchini Marekani wakimfanyia mtoto upasuaji wa kuziba tundu lililopo kwenye moyo wakati wa kambi maalumu ya siku tano iliyoanza...
  16. JamiiForums Tanzania Taasisi ya MOI yapokea vifaa tiba vya upasuaji kutoka Jumuiya ya St. Roch ya Uingereza vyenye thamani ya Tsh Bilioni 3

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu ametembelea Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) ambapo kwa niaba ya Waziri wa Wizara hiyo Ummy Mwalimu amepokea msaada wa vifaa tiba vya upasuaji kutoka Jumuiya ya St. Roch ya nchini Uingereza wenye thamani ya Th. 3 bilioni. Katika...
  17. JamiiForums Tanzania Upasuaji wa kuondoa uvimbe kwenye sakafu ya ubongo kupitia pua wafanyika Hospitali ya Mloganzila

    Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imefanya upasuaji wa kuondoa uvimbe kwenye sakafu ya ubongo kupitia pua (Endoscopic transphenoidal pituitary) bila kupasua fuvu la kichwa ambapo tangu kuanza kwa huduma hii takribani watu watano wamenufaika na matibabu hayo. Upusuaji huo umefanywa na...
  18. JamiiForums Tanzania Papa Francis kufanyiwa Upasuaji wa Ngiri leo Juni 7, 2023

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis atafanyiwa upasuaji wa tumbo lake leo Jumatano Juni 7, 2023 alasiri katika hospitali ya Gemelli ya Roma. Anatarajiwa kukaa hospitalini kwa "siku kadhaa" ili kupata nafuu kutokana na upasuaji wa Ngiri, Vatican ilisema. Hernia "inasababisha...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Aishi Manula afanyiwa upasuaji Afrika Kusini

    Mlinda mlango wa Simba, Aishi Manula amefanyiwa upasuaji wa nyama za paja katika Hospital ya Netvare Linksfield 🇿🇦 Kwa mijibu wa daktari wa Simba amesema kwa sasa ni mapema kusema Manula atakaa nje kwa muda gani mpaka pale watakapohudhuria kliniki ya mwisho kesho Ijumaa.
  20. JamiiForums Tanzania Wachangia damu kuokoa maisha ya watoto wanaofanyiwa upasuaji wa moyo

    Afisa Muhamasishaji kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama Kanda ya Mashariki Mary Meshy akimpima kiwango cha damu mwananchi aliyejitokeza kuchangia damu ambayo itatumika kwa watoto watakaofanyiwa upasuaji wa moyo wakati wa kambi maalum ya matibabu itakayofanywa na wataalam wa JKCI kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…