upasuaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania Ingenial Hernal Surgery, ni upasuaji ambao unahusu nini?

    Natamani kujua aina hii ya upasuaji unahusiana na nini, nimejaribu kupitia mtandaoni na ku-search lakini kwakuwa utabibu sio fani yangu nimeishia kudokoa machache ambayo naona bado sijaelewa vizuri. Nawaomba wataalamu wa itabibu wa Jf mnisaidie kujua upasuaji hui unahusu nini kiundani. Nawasilisha
  2. Ujinga mtupu

    JamiiForums Tanzania Watu 167 wafanyiwa upasuaji wa mabusha Mtwara

    Wanaume 167 kati ya 200 wamefanyiwa upasuaji wa mabusha Mkoani Mtwara kwenye kampeni ya matende na mabusha iliyofanyika Mkoani humo kuanzia Feb 06,2023 hadi Feb 14,2023 “Mabusha huwapata Wanaume na Wanawake ila safari hii hakuna Mwanamke aliyekutwa na busha”, taarifa imeeleza. Mratibu wa...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Iringa: Wananchi wahofia kufanyiwa Upasuaji kwenye Kituo cha Afya kisicho na Jenereta

    Mganga Mfawidhi wa Kituo hicho, Dkt. Selestini Vulua amesema kituo hicho ni kati ya Vituo 6 vilivyopo kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi ambapo kinahudumia Kata 7 na Vijiji zaidi ya 30 kwa Huduma ya Upasuaji. Dkt. Vulua amesema "Kuna wakati unafungua Tumbo la Mama halafu Umeme wa TANESCO...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Madaktari Bingwa MOI wapewa mbinu za kisasa za upasuaji wa Vivimbe vya Mishipa ya damu kwenye ubongo

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) zimeanza kutoa mafunzo maalum ya upasuaji wa vivimbe vya mishipa ya damu kwenye ubongo kwa mbinu za kisasa kwa madaktari bingwa waliohitimu katika chuo hicho ambapo wagonjwa...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Nusu Kaputi imechangia vifo 268 vya waliojifungua kwa upasuaji 2018/21

    Wizara ya Afya imetaja sababu nyingine iliyochangia idadi ya vifo vya Wanawake wanaojifungua kwa njia ya upasuaji ni pamoja na Kupoteza Damu wakati au baada ya Upasuaji, Damu Kuganda na Maambukizi ya Bakteria baada ya Upasuaji Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema Wizara ya Afya...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wataalamu waonya upasuaji usio wa lazima kwa wajawazito

    Katika siku za hivi karibuni kujifungua kwa upasuaji kumeonekana kama ‘fasheni’, kwani kuna idadi ya wanawake wengi wanaofika hospitali kuomba kupatiwa huduma hiyo bila sababu za kitaalamu. Wataalamu wa afya wametaja sababu tatu za wanawake kuomba kujifungua kwa upasuaji, ikiwemo ile ya...
Back
Top Bottom