upako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nikiwa Dar Waislamu na wasomi wengi huniagiza silaha zake za kiroho kama maji na mafuta ya upako

    Hawa manabii waliozuka na kujaa kama nzige wanajipatia waumini wa kuwapa utajiri. Hao wasomi, waislamu na wanasiasa wanawapinga ovyo mtandaoni lakini pembeni utakuta wananunua maji, chumvi, mchanga na mafuta ya upako. Hapa mtandaoni jamii forums sijawahi kuona mtu akisema wazi kama ni mfuasi wa...
  2. JamiiForums Tanzania Bapa limepita na mzee wa upako

    Alianza kama anatania vile mara... "... oooh kunywa pombe sio dhambi.." kumbe mzee wa upako alikuwa anagida bapa huku anaombea na kupaka mafuta ya 'upako' wagonjwa na wenye shida mbalimbali. Akitoka kwenye huduma anapita na bapa, bapa likaweka maskani katika ubongo wake kisha likampotezea...
  3. JamiiForums Tanzania Nyie wakuitwa manabii na mitume kwa nini wote mnakimbilia Dar? Kwani huku wilayani hakuna asiyehitaji upako wenu?

    Kila mtoa huduma ambae ana sadikika ana nguvu kubwa ya uponyaji anaweka makazi na huduma yake katika majiji makubwa, why? Ina maana Hakuna mtumishi mwenye karama kubwa alie inuliwa tandahimba, tarime, bunda, bariadi, etc. Uhalisia ni upi wa kiroho hawa watu wote kuwepo Dar tu. Ina maana Dar...
  4. JamiiForums Tanzania Video: Kwa ambao hamjawahi kuuona upako njooni hapa niwaonyeshe

    This is extra ordinary anointing.
  5. JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani baina ya Makanisa ya Upako na Watu wa mikoani. Kwa sababu ndio waliojazana Huko.

    Habari za jumapili! Kama kichwa kinavyojieleza. Nimegundua kuwa huwezi kukuta mtu aliyezaliwa au kuishi Dar es salaam Kwa zaidi ya miaka 20 ukamkuta kwenye haya makanisa ya Upako. Au huwezi kumkuta mtu aliyewahi kuishi nje ya nchi, nazungumzia nchi za Ulaya, Amerika au Asia. Na kidogo South...
  6. JamiiForums Tanzania Video: Kanisa lenye fimbo za upako

    Angalia hapa jinsi waumini wanavyocharazwa fimbo za upako na mchungaji. Nini maoni yako?
  7. JamiiForums Tanzania Video: Waumini waogeshwa juisi zenye upako

    Angalia hapa jinsi Waumini wanavyomwagiwa juisi zenye upako kutoka kwa Mchungaji. Nini maoni yako?
  8. R

    JamiiForums Tanzania A.Lusekelo( Mzee wa Upako, Pombe Si DHAMBI, ni kosa.

    Salaam, Shalom!! Baada ya Pope wa Katoliki kuwadissapoint waumini, Mzee wa Upako,kama anavyojiita, Tingatinga, ametoka hadharani na kuhalalisha pombe Kwa waumini wake. Ameongea hayo madhabahuni kuwa, BIBLIA haijakataza POMBE,Wala KULEWA, Bali Biblia imekataza ULEVI.😳😳 Amejiumaumaaa...
  9. JamiiForums Tanzania Huyu Prophet Lovi ana nyota Kali sana halafu kwenye mambo ya upako msichukulie poa hata kidogo

    Mitaani huwaga kuna kamsemo maarufu sana : " Dada angu wewe: 1. Huna tako ( shape) 2. Huna sura 3. Huna kazi. 4. Hujasoma. 5.Huna biashara. 6.Huna danga. 7. Hupati psi psi mtaani. Halafu tangazo la mganga linapita unajifanya hutaki kuchukua namba za simu.. Nimeiona hali hii kwenye comments...
  10. JamiiForums Tanzania Wimbo mpya wa Israel Mbonyi uitwao "Nitaamini" umejawa upako na matumaini

    Wakuu, Bila shaka mmewahi kuusikia Wimbo wa 'Nina siri na Yesu', ukiimbwa na mwimbaji mashuhuri wa nyimbo za injili kutoka nchini Rwanda mwenye asili ya Congo, Israel Mbonyi. Sasa siku kadhaa zilizopita alitoa wimbo wake mpya ukienda kwa jina 'Nitaamini'. Ni wimbo mzuri mno, lakini napenda...
  11. JamiiForums Tanzania Je makanisa ya upako ni viwanda vya mapepo?

    kuna watu kama watatu baada ya kumbilia kwenye makanisa ya upako ya uamsho wa kisasa waliingia wazima ila baadae wanasumbuliwa na mapepo. Siku ya jumapili imegeuka kama siku ya leheso ya kutoa mapepo hayo kisha jumapili ijayo zoezi linajirudia tena. Wafanyamazingaombwe na waganga wengi...
  12. JamiiForums Tanzania Kuibuka kwa Makanisa ya Upako wa mafanikio

    Nimetafakari kwa kina kuhusu kuibuka kwa makanisa ya upako wa mafanikio. Kikubwa nilichogundua ni kuwa Tatizo kubwa ni umasikini na matatizo ya aina tofauti tofauti. Kwangu mimi ninaweza kusema kwamba kuibuka kwa makanisa mengi ya aina hii si ishara kwamba Wengi wanamtafuta Mungu saana, la...
  13. JamiiForums Tanzania Waumini wacharazwa fimbo za upako na Mchungaji kanisani ili kupokea Roho Mtakatifu!

    Hivi karibuni Kumeibuka Madhehebu mengi ya kikristo Nchini na hata nje ya nchi ndani ya Afrika yakijinasibu kwamba yanagawa upako kwa kutumua vifaa walivyokuwa navyo wengine wakitumua mawe (Jiwe jeupe la upako), wengine udongo, wengine busu, wengine mafuta na maji ya upako. Hata hivyo hivi...
  14. JamiiForums Tanzania Mzee Wa Upako awavaa Maskofu, asema "Maaskofu wa Katoliki wameitumia nafasi vibaya, wamepotoka"

    ASKOFU LUSEKELO: TEC WAMEPOTOKA KWA KUTOA ANDIKO LA MKATABA WA BANDARI Askofu Kanisa la Tutashinda, Antony Lusekelo ametoa maoni kuhusu Waraka wa uwekezaji wa Bandari uliotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) akidai kitendo kilichofanywa na Baraza hilo kutoa Waraka hadharani...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako: Waraka wa TEC unadhoofisha mipango ya Serikali, haijalishi mipango hiyo ni mizuri au mibaya

    Kwa hakika haupo udini hapa! Amesema "Naongea mambo ya moyoni sikurupuki, sijakurupuka. Haya ninayoongea yatabaki kwenye hansadi mbele za Mungu na katika historia ya nchi hii." Ameongeza "Wanalalamika kuwa tumetoa Waraka na haujasomwa kwenye vyombo vya habari vya kimataifa. Nani atasoma waraka...
  16. JamiiForums Tanzania Maji ya baraka ya (RC) vs maji ya upako ya (Mwamposa)

    Ndugu wanajamii, kuna utofauti upi wa kiimani Kati ya maji ya "baraka " na maji "ya upako"? Je, tofauti pekee ni, yale mengine kuuzwa? Au kuna tofauti zingine za ziada? Je, mkate wa Bwana na keki ya upako Vina tofauti gani? Nashawishika kuamini kuwa bulldozer ana"copy" vitu upande wa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mchungaji mwenye upako/ miujiza ya kutosha mahali nitaona matokeo

    Nahitaji mtu mwenye sifa tajwa,Kwa ajili ya kupata ufumbuzi wa changamoto zangu. Ni vizuri asiwe mwamposa Wala kuhani musa Wala manabii uchwara. Natanguliza shukrani zangu za dhati
  18. B

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Viongozi Baraza la Manabii na Mitume Tanzania, Gwajima na mzee wa upako watajwa

    17 February 2023 Rais wa baraza la manabii na mitume Tanzania Dr. Joackim Peter Kimanza ... shalom waTanzania tupo mbele yenu katika uamsho wa kuwafikia watanzania mpaka ngazi za Vijiji.. kuweza kufikia hilo mimi kama rais wa baraza ninawateua wafuatao ... Toka maktaba :
  19. JamiiForums Tanzania Manabii wanaouza maji na mafuta ya upako nao waingizwe kwenye system walipe kodi

    Habari za muda huu wakuu.. Naomba niende kwenye maada husika. Mimi ombi langu kwa serikali ni kua.. Wale manabii wanaouza maji ya upako wasajiliwe na mamlaka za maji (ewura) ili na wao walipe kodi.. vivyo hivyo mafuta nao ... maana hiyo imekua ni biashara kubwa watu wanatumia shida zetu...
  20. JamiiForums Tanzania Manabii wanaouza maji na mafuta ya upako nao waingizwe kwenye mfumo walipe kodi

    Habari za muda huu wakuu, Naomba niende kwenye maada husika. Mimi ombi langu kwa serikali ni kua wale manabii wanaouza maji ya upako wasajiliwe na mamlaka za maji (EWURA) ili na wao walipe kodi vivyo hivyo mafuta nao, maana hiyo imekua ni biashara kubwa watu wanatumia shida zetu kujinufaisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…